Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu
we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
huenda akawa Obama, atawale amerika,
huenda akawa Diamond, MTV MAMA nazo
akashinda,
huenda akawa Samatta, acheze soka
tp mazembe,
huenda akawa Nyerere, mwanzilishi wa
Taifa,
nakuomba nerea, usitoe mimba yangu
we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani ni
yake,
huenda akawa Dr.Juma Ayalinde
mazingira,
huenda akawa Barnaba, nyimbo nzuri
akatunga,
huenda akawa Mugabe, aongoze
Zimbabwe
huenda akawa Mandela, mkombozi wa
Afrika,
nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu
we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
nakuomba Nerea, Nerea, Nerea,
usitoe mimba yangu,
Nerea, Nerea, Nerea
usitoe mimba yangu,
huenda akawa Kagame (atawale)
Dr Slaa (tuungane)
huenda akawa Kawawa
huenda akawa nyambui,
huenda akawa malaika, Mungu
ametupatia,
huenda akawa Yamoto,
huenda akawa.......
Huenda akawa Malaika, Mungu
ametupatia......
we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
huenda akawa Obama, atawale amerika,
huenda akawa Diamond, MTV MAMA nazo
akashinda,
huenda akawa Samatta, acheze soka
tp mazembe,
huenda akawa Nyerere, mwanzilishi wa
Taifa,
nakuomba nerea, usitoe mimba yangu
we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani ni
yake,
huenda akawa Dr.Juma Ayalinde
mazingira,
huenda akawa Barnaba, nyimbo nzuri
akatunga,
huenda akawa Mugabe, aongoze
Zimbabwe
huenda akawa Mandela, mkombozi wa
Afrika,
nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu
we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta sahani
yake,
nakuomba Nerea, Nerea, Nerea,
usitoe mimba yangu,
Nerea, Nerea, Nerea
usitoe mimba yangu,
huenda akawa Kagame (atawale)
Dr Slaa (tuungane)
huenda akawa Kawawa
huenda akawa nyambui,
huenda akawa malaika, Mungu
ametupatia,
huenda akawa Yamoto,
huenda akawa.......
Huenda akawa Malaika, Mungu
ametupatia......