Ujue upande wa pili wa Adolph Hitler: Historia inayominywa

Ushahidi wa kwamba Hitler alikuwa muuaji upo nwingi tu, hata Wajerumani wenyewe wanakiri hivyo. The Nazis were the scum of humanity kama ambavyo Wazayuni walivyo sasa.
Asante sana mkuu, ningependa uzungumzie ni kwanini aldof Hitler aliwaua sana wayahudi? Nimeona kwenye maelezo humu kwamba marekani USSR, German kote walikuwepo na walishiriki kimipango ya kivita.lengo lao hasa ilikua ni kuitaka palestina tu??? Kipindi hicho palestina ilikua na nguvu gani hadi kutumia mzunguko mkubwa hivi kuichukua. Mwisho Kutika vita baridi hadi sasa marekani na urusi haziivi but kote huko kuna wayahudi inamaana wayahudi wa marekani na wale wa urusi wanamgongano wa kimaslahi? Maana kama ni wamoja na wanaushawishi mkubwa kwanini wasizishawishi ziache uadui. Licha ya urusi kuwa na wayahudi tena wenye ushawishi mbona sioni kama anamkingia sana Israel kifua kama ilivyo kwa marekani? Kunanini?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kasome vizuri historia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why, why, why, kila neno linazaa neno?? Tuyaache mengine yapite, mwishoni mtasema hitler alikua nabii, or mtasema hitler alikua muislam, and etc. Mengine tuwaachie wenyewe, hakuna tutachokibadilisha, we are human kila siku tunagundua vitu, nshaskia eti vita ya uganda na tz eti ni ya kidini. Pliz guys lets us make our own stories, wajukuu wetu waje kutusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wow! 👌 Don't forget to add OBAMA.
 
Hivyo hivyo kwa HIV and ARVs.
 

Turudi kwenya mada: Ukiwa na mawazo ya namna hii basi usije kulaumu Wazayuni (Wayahudi) kwa wanayofanya sasa wala Wakomunisti kwa waliyoyafanya mnamo karne ya 20
Usije kushupaza midomo kuhusu The so Called Ugaidi right?!
 
daaah,hiyo ndiyo dunia ya wababe Enzi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa uteule wao upo wapi?
au Hawa ule uteule na ahadi za Ibrahim haziwahusu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii ilikuwa mission kubwa, wanajeshi walitembezwa miezi mitatu kwenye barafu. Why? Mrusi akaja kuwauwa kirahisi. Kuna agenda ya Siri Kati ya V. I na Hitler wakati huo. Chimba nondo utajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako ni mmoja mkuu bado umeza kwenye kizaa,yaani unaleta story hizo hizo walizoandika hao washind,hapa tunachohitaji ni kutafakari njjee ya box,wakubwa wa dunia hawezi wakakuandika kwenye kumbukumbu zao na kuruhusu usomwe kwa mbwembwe namatifa yote n.k kama hukuwa upande wao,ebu jiulize, swali dogo tu, kati ya Mwl Julius Kambarage Nyerere na Mandela ni nani anaye staili KUTAMBULIWA KAMA BABA WA AFRIKA? ukipata jibu ,Jiulize tena ni nani Anaheshimika na kukumbukwa sana na Wazungu had kesho?
 
mkuu, uko vizuri lakini ukweli haupingiki kwamba bila kuwa upande wao no one will recognize you
Na kwa ufupi ni kwamba tumeshachelewa hatuwezi kutibu hilo
Ninachojiuliza mimi sijui Afrika tulikuwa wap wakat wenzetu wanafanya mambo makubwa duniani karne hizo
Tofauti na maneno ya kufariji waafrika kutoka kwa Water Rodney nadhani kutakuwa na historia halisi kuhusu uwepo wa wabongo wakti huo kabla ya ukoloni
 
iko wapi hiyo video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…