Ujue upande wa pili wa Adolph Hitler: Historia inayominywa

  • Thread starter Missile of the Nation
  • Start date

M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,763
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,763 2,000
1. Hitler alipiga marufuku pombe
2. Hitler alitoa huduma bure za afya bure kwa akina mama wajawizito
3.Hitler alipiga marufuku riba (Usury)
4.Hitler zaidi ya mara mbili anaitaka Uingereza waingie katika mkataba wa amani lakini uingereza inakataa
5. Hitler alikuwa askari jasiri wa kijerumani katika vita ya kwanza ya dunia
6.Hitler alichukia kitendo cha Mazionists wa Ujerumani "kuwazunguuka" Wajerumani na kufunga mkataba wa siri na uingereza ili kuwatumia Mazionist walioko Marekani kuishawishi serikali hiyo iingie katika vita upande wa Uingereza kitendo kilichosababisha Ujerumani ipigwe wakati ilikuwa inakaribia kushinda vita ya kwanza ya Dunia

7. Hitler mwaka 1938 aliwekwa kwenye Gazei la TIMES kuwa Person Man of the Year

 
B

Bokera

Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
77
Points
125
B

Bokera

Member
Joined Jan 14, 2018
77 125
Ushahidi wa kwamba Hitler alikuwa muuaji upo nwingi tu, hata Wajerumani wenyewe wanakiri hivyo. The Nazis were the scum of humanity kama ambavyo Wazayuni walivyo sasa.
Asante sana mkuu, ningependa uzungumzie ni kwanini aldof Hitler aliwaua sana wayahudi? Nimeona kwenye maelezo humu kwamba marekani USSR, German kote walikuwepo na walishiriki kimipango ya kivita.lengo lao hasa ilikua ni kuitaka palestina tu??? Kipindi hicho palestina ilikua na nguvu gani hadi kutumia mzunguko mkubwa hivi kuichukua. Mwisho Kutika vita baridi hadi sasa marekani na urusi haziivi but kote huko kuna wayahudi inamaana wayahudi wa marekani na wale wa urusi wanamgongano wa kimaslahi? Maana kama ni wamoja na wanaushawishi mkubwa kwanini wasizishawishi ziache uadui. Licha ya urusi kuwa na wayahudi tena wenye ushawishi mbona sioni kama anamkingia sana Israel kifua kama ilivyo kwa marekani? Kunanini?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
1,275
Points
2,000
morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
1,275 2,000
Huyo Hitler nae alikuwa myahudi, na kile kilichoitwa Jews persecution ni propaganda tu,

jamaa alitumwa kufanya kazi maalum ili kustawisha uyahudi ulaya.

Kwenye Vita ya pili ya dunia wazungu (non Jewish ) wengi walikufa, ili wayahudi wainuke watawale ulaya vizuri. Walichofanya wayahudi ni kushusha population ya wazungu wale pure, ili wao wa-rise kwenye siasa na biashara.

Jamaa mafia sana hawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
kasome vizuri historia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wiba

wiba

Member
Joined
Jan 18, 2019
Messages
9
Points
45
wiba

wiba

Member
Joined Jan 18, 2019
9 45
1. Hitler alipiga marufuku pombe
2. Hitler alitoa huduma bure za afya bure kwa akina mama wajawizito
3.Hitler alipiga marufuku riba (Usury)
4.Hitler zaidi ya mara mbili anaitaka Uingereza waingie katika mkataba wa amani lakini uingereza inakataa
5. Hitler alikuwa askari jasiri wa kijerumani katika vita ya kwanza ya dunia
6.Hitler alichukia kitendo cha Mazionists wa Ujerumani "kuwazunguuka" Wajerumani na kufunga mkataba wa siri na uingereza ili kuwatumia Mazionist walioko Marekani kuishawishi serikali hiyo iingie katika vita upande wa Uingereza kitendo kilichosababisha Ujerumani ipigwe wakati ilikuwa inakaribia kushinda vita ya kwanza ya Dunia

7. Hitler mwaka 1938 aliwekwa kwenye Gazei la TIMES kuwa Person Man of the Year

Why, why, why, kila neno linazaa neno?? Tuyaache mengine yapite, mwishoni mtasema hitler alikua nabii, or mtasema hitler alikua muislam, and etc. Mengine tuwaachie wenyewe, hakuna tutachokibadilisha, we are human kila siku tunagundua vitu, nshaskia eti vita ya uganda na tz eti ni ya kidini. Pliz guys lets us make our own stories, wajukuu wetu waje kutusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sajorsergiosjanic

sajorsergiosjanic

Member
Joined
Mar 4, 2019
Messages
49
Points
125
sajorsergiosjanic

sajorsergiosjanic

Member
Joined Mar 4, 2019
49 125
Hitler was a saddist. Hivi kuwaua wale watu wa kijipsei nayo ilikuwa na ulazima wowote ule kweli ?? Yale majaribio ya binadamu ambayo Joseph Mengele aliyafanya ya kukata viungo nayo yalikuwa ni uzalendo kwa nchi yake ??

Kama mkataba wa amani Adolf Hitler alifanya mkataba wa amani hadi na Urusi mwaka 1949 (The Non-Aggression Pact) lakini baadae akaamua kuuvunja na kuvamia Urusi ili ateke visima vya mafuta kule Caucases akitegemea vitamsaidia kuendesha mtambo wake wa vita.

Hitler alikuwa ni dikteta aliyezivuruga Ujerumani na Austria kwa kupitia falsafa yake ya Unazi. Wasomi walikuwa hawaruhusiwi kupinga chochote cha serikali na kulikuwa hakuna uhuru wa vyombo vya habari. The Gestapo walikuwa wanaua watu wanaiokosoa serikali hadi ikafika kipindi mume na mke hawaaminiani kabisa.

Kibaya zaidi ni kwamba Hitler alikuwa ni mtu mwenye akili za kibeberu (Imperialistic) kama wenzake. Hakusababisha matatizo kwa wazayuni ambao walikuwa ni maadui zake bali hata wale wasiohusika. Hivi alivamia Chzechslovakia na Poland kwasababu zipi ??
Wow! 👌 Don't forget to add OBAMA.
 
sajorsergiosjanic

sajorsergiosjanic

Member
Joined
Mar 4, 2019
Messages
49
Points
125
sajorsergiosjanic

sajorsergiosjanic

Member
Joined Mar 4, 2019
49 125
Hivi unajua kuwa utaalamu wa NUSU KAPUTI unaotumika leo ni matunda ya utafiti wa waNAZI
Unajua kuwa utaalamu wa MAROKETI wa leo ni Matunda ya Sayansi ya Wanazi.

Ukiwalaumu waNAZI kwenye research za madawa basi usisahau kuwalaumu Wamarekani kwenye TUSKGEE experiment ambapo watu weusi walikuwa wakipandikizwa Virusi vya Gonorrhea halafu kuona watacope vipi katika set waliyoipanga!

Experiment za Kisayansi huwa ziko dirty sometimes behind the scene!
Hivyo hivyo kwa HIV and ARVs.
 
sajorsergiosjanic

sajorsergiosjanic

Member
Joined
Mar 4, 2019
Messages
49
Points
125
sajorsergiosjanic

sajorsergiosjanic

Member
Joined Mar 4, 2019
49 125
Yote uliyoyataja kuhusu Ujerumani nayafahamu vizuri kwasababu nilijikita kusoma Historia ya Ulaya kama sehemu ya masomo yangu. Hivyo nafahamu unachokisema na kuna kipindi nilikuwa nawaza hivihivi kama wewe.

Turudi kwenya mada: Ukiwa na mawazo ya namna hii basi usije kulaumu Wazayuni (Wayahudi) kwa wanayofanya sasa wala Wakomunisti kwa waliyoyafanya mnamo karne ya 20 maana wao nao walikuwa na mazuri yao mengi tu ambayo yameisadia dunia.

UNAZI haijwahi kuwa falsafa nzuri hata siku moja. Kuwafanyia binadamu majaribio kama panya halijawahi kuwa jambo la kiungwana na la kusifiwa hata siku moja. Sanjari na hilo makosa ya Marekani ya kuwafanyia watu majaribio ya kisayansi kinyume na matakwa yao hakuhalalishi makosa ya Wanazi.
Turudi kwenya mada: Ukiwa na mawazo ya namna hii basi usije kulaumu Wazayuni (Wayahudi) kwa wanayofanya sasa wala Wakomunisti kwa waliyoyafanya mnamo karne ya 20
Usije kushupaza midomo kuhusu The so Called Ugaidi right?!
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
847
Points
1,000
Age
23
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
847 1,000
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
847
Points
1,000
Age
23
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
847 1,000
Alitaka kuingia nao mkataba wa amani kabla ya kuipiga london, na tena baada ya kuwakung'uta wafaransa kuna kikosi kikubwa sana cha Uingereza kilikuwa stranded akawapa free passage warudi Uingereza bila kumdhuru mwanajeshi hata mmoja, Wanahistoria wanasema hiyo ilikuwa ni mistake kubwa sana maana Muingereza na wanajeshi wake waliporudi wakaona huu mziki mnene wakamuomba Brother America aingilie kati!. Kwa bahati mbaya Mjapani akapiga Pearl habour hapo mmarekani akaona sasa muda wa kuingiza timu umewadia. Wanahistoria wanakwambia Uingereza ilishabakiwa na Chakula cha wiki mbili tu kabla ya Mmarekani kuwafinance kwa kuwapa mkopo wa pesa zaidi ya dola bilion 40 ambazo kwa thamani ya leo ni zaidi ya dola bilion 400 ( Uingereza alimaliza kulipa huo mkopo mwaka 2006), Pia Mmarekani akaisupply uingereza zana nzito za kijeshi na pia yeye mwenyewe kuingia front
Laiti Hitler angejua, Kile kikosi cha Muingereza angekibutua na kuwapelekea kichapo kulekule uingereza kwa kupiga viwanda, reli na meli za muingereza!. Kama London ingeanguka, Ingekuwa vigumu Mmarekani kuingiza Jeshi kupigana peke yake. Kumbuka wakati huo Ufaransa tayari bendera ya Hitler ilikuwa ikipepea pale Paris!
daaah,hiyo ndiyo dunia ya wababe Enzi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
847
Points
1,000
Age
23
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
847 1,000
  • Hao ni Puppet masters au Chess players wa hii kitu inayoitwa Global order!
  • Wanamiliki World Financial systems
  • Wanamiliki Media kubwa kubwa kuanzia TV na Printed press
  • Wanamiliki politicians influential kama vile Congressmen, Senators etc
  • Wanamiliki entertainment industry kama vile Hollywood , Studio kubwa etc
Wakiamua kukutangaza kuwa wewe ni katili, muuaji, coordination yao inatisha
Wakiamua kukupiga vikwazo usiuze au kuuziwa bidhaa kadha wa kadha utaisoma namba
Wana uwezo wa kutengeza artificial economic recession

Nitakupa mfano
(1) Bolshevick revolution ya urusi iliyopelekea mauaji ya Wakiristo zaidi ya milion 20 huko Urusi, walikuwa wao
(2) Young Turks revolution iliyopindua utawala wa Sultan kwenye Ottoman empire mwaka 1908 walikuwa ni wao, hawa Young Turks historia inawatambua kama Crypto-Jews wa Uturuki, Hata muasisi wa Taifa la leo la Uturuki la kisasa aitwaye Mustafa Kemal Atartuk naye alikuwa ni miongoni mwa hao Young turks na alikuwa Freemason (hili liko documented ni historical fact), Hawa Young Turk ndiyo waliofanya Mauaji ya Kutisha ya Kimbari ya Wakiristo wa Armenia ( ZAIDI YA WAKIRISTO MILION 1.5 WALIUAWA KWENYE ALMENIA GENOCIDE)

Ndugu yangu hawa watu siyo wa mchezo mchezo, Ni Network may be behind the scene yupo Shetani mwenyewe, maana mipango yao ni ya muda mrefu
Sasa uteule wao upo wapi?
au Hawa ule uteule na ahadi za Ibrahim haziwahusu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Shushani Ngomani

Member
Joined
May 28, 2017
Messages
39
Points
95
S

Shushani Ngomani

Member
Joined May 28, 2017
39 95
Hitler aliitandika Soviet Union, akawa amebakisha Kilometa chache tu kuikamata Moscow Ila msimu wa Winter ukaingia ukasababisha Vifaru , magari ya Kivita yafreeze njiani, hapo ikasababisha Wasoviet wafanye counter attack na kuwarudisha nyuma Wajerumani.

Angalia hiyo video ina mambo mengi
Mkuu hii ilikuwa mission kubwa, wanajeshi walitembezwa miezi mitatu kwenye barafu. Why? Mrusi akaja kuwauwa kirahisi. Kuna agenda ya Siri Kati ya V. I na Hitler wakati huo. Chimba nondo utajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
O

Ottoh-Man

Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
10
Points
45
O

Ottoh-Man

Member
Joined Oct 31, 2018
10 45
Mkuu umeandika vizuri mambo mengi lakini umeandika historia ya upande moja sana wa shilingi. Tujitahidi kupitia vyanzo mbalimbali ili tupate ukweli ambao hauna upendeleo (Unbiased facts)

Mosi, unaposema Ujerumani walionewa sana kwenye The Versailles Peace Treaty of 1919 unasahau jinsi walivyoionea Urusi mwaka mmoja nyuma kwenye The Treaty of Brest Litovsk of 1918 ambao ulisainiwa na wakina Vladmir Lenin ili kuitoa Urusi kwenye vita ya kwanza ya dunia.

Mkataba uliwataka Warusi wakubalia kuwapa Wajerumani majimbo yake ya Baltic States (Lithuania, Latvia and Estonia), huku Waturuki wakichukua majimbo ya Urusi ya South Caucasus (Georgia, Armenia na Azerbaijan) na mwisho kabisa kuyaachia majimbo yake muhimu kama Ukraine, Finland na Poland.

Ndiyo maana kwenye mkataba wa Versailles Ujerumani aliposema ameonewa Waingereza na Wafaransa wakasema kwamba hata yeye aliwaonea Warusi kwenye Mkataba wa Brest-Litovsk. Hivyo hapa kusema Ujerumani alionewa na mataifa ya Ulaya nadhani ni muono wa mambo katika upande moja wa shilingi.

Pili, kuna sababu nyingi sana ambazo zilimfanya Marekani kumpiga Ujerumani, hivyo ukisema kwamba Wamarekani waliingia mwenye vita kisa Wayahudi nadhani utakuwa unapingana na uhalisia wa kihistoria. Marekani iliingilia vita za dunia kwasababu za kiuchumi na hili sijaona ukilitaja kwanini ?? Marekani ilimpa mikopo mikubwa sana Muingereza ya kiasi cha USD 3 Billions huku Ujerumani akiwa na mikopo ya USD 26 Million. Uingereza angeanguka unadhani madeni haya angelipa nani ??

NB: Kusema Ujerumani alionewa na kusahau kwamba yeye alifanya mambo ya ajabu kwa wenzake unamaanisha nini mkuu ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako ni mmoja mkuu bado umeza kwenye kizaa,yaani unaleta story hizo hizo walizoandika hao washind,hapa tunachohitaji ni kutafakari njjee ya box,wakubwa wa dunia hawezi wakakuandika kwenye kumbukumbu zao na kuruhusu usomwe kwa mbwembwe namatifa yote n.k kama hukuwa upande wao,ebu jiulize, swali dogo tu, kati ya Mwl Julius Kambarage Nyerere na Mandela ni nani anaye staili KUTAMBULIWA KAMA BABA WA AFRIKA? ukipata jibu ,Jiulize tena ni nani Anaheshimika na kukumbukwa sana na Wazungu had kesho?
 
Kesiman9

Kesiman9

Member
Joined
Jun 23, 2016
Messages
27
Points
45
Kesiman9

Kesiman9

Member
Joined Jun 23, 2016
27 45
Tatizo lako ni mmoja mkuu bado umeza kwenye kizaa,yaani unaleta story hizo hizo walizoandika hao washind,hapa tunachohitaji ni kutafakari njjee ya box,wakubwa wa dunia hawezi wakakuandika kwenye kumbukumbu zao na kuruhusu usomwe kwa mbwembwe namatifa yote n.k kama hukuwa upande wao,ebu jiulize, swali dogo tu, kati ya Mwl Julius Kambarage Nyerere na Mandela ni nani anaye staili KUTAMBULIWA KAMA BABA WA AFRIKA? ukipata jibu ,Jiulize tena ni nani Anaheshimika na kukumbukwa sana na Wazungu had kesho?
mkuu, uko vizuri lakini ukweli haupingiki kwamba bila kuwa upande wao no one will recognize you
Na kwa ufupi ni kwamba tumeshachelewa hatuwezi kutibu hilo
Ninachojiuliza mimi sijui Afrika tulikuwa wap wakat wenzetu wanafanya mambo makubwa duniani karne hizo
Tofauti na maneno ya kufariji waafrika kutoka kwa Water Rodney nadhani kutakuwa na historia halisi kuhusu uwepo wa wabongo wakti huo kabla ya ukoloni
 
fogoh2

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
2,176
Points
2,000
fogoh2

fogoh2

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
2,176 2,000
Hitler aliitandika Soviet Union, akawa amebakisha Kilometa chache tu kuikamata Moscow Ila msimu wa Winter ukaingia ukasababisha Vifaru , magari ya Kivita yafreeze njiani, hapo ikasababisha Wasoviet wafanye counter attack na kuwarudisha nyuma Wajerumani.

Angalia hiyo video ina mambo mengi
iko wapi hiyo video
 

Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,917
Top