Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,306
Kwa iyo na vita vya berlin napo vifaru vilikuwa vime freeze?.maana walichezea kichapo mpaka berlin
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi lote zuri ndo lile lililokuwa Urusi likafyekelewa huko huko Urusi
Berlin ilishambuliwa na nchi zote kama watu wengi wawe wanakula ugali kwenye sahani moja, point yangu ni kuwa USSR kwenye ile vita pamoja na Ufaransa ndio nchi zilizokuwa ovyo sana katika kundi la Triple Entente. Kwa Fall of Berlin mrusi credits zake ndogo sana