Ujue upande wa pili wa Adolph Hitler: Historia inayominywa

Hivi unajua kuwa utaalamu wa NUSU KAPUTI unaotumika leo ni matunda ya utafiti wa waNAZI
Unajua kuwa utaalamu wa MAROKETI wa leo ni Matunda ya Sayansi ya Wanazi.
Ukiwalaumu waNAZI kwenye research za madawa basi usisahau kuwalaumu Wamarekani kwenye TUSKGEE experiment ambapo watu weusi walikuwa wakipandikizwa Virusi vya Gonorrhea halafu kuona watacope vipi katika set waliyoipanga!
Experiment za Kisayansi huwa ziko dirty sometimes behind the scene!
Yote uliyoyataja kuhusu Ujerumani nayafahamu vizuri kwasababu nilijikita kusoma Historia ya Ulaya kama sehemu ya masomo yangu. Hivyo nafahamu unachokisema na kuna kipindi nilikuwa nawaza hivihivi kama wewe.

Turudi kwenya mada: Ukiwa na mawazo ya namna hii basi usije kulaumu Wazayuni (Wayahudi) kwa wanayofanya sasa wala Wakomunisti kwa waliyoyafanya mnamo karne ya 20 maana wao nao walikuwa na mazuri yao mengi tu ambayo yameisadia dunia.

UNAZI haijwahi kuwa falsafa nzuri hata siku moja. Kuwafanyia binadamu majaribio kama panya halijawahi kuwa jambo la kiungwana na la kusifiwa hata siku moja. Sanjari na hilo makosa ya Marekani ya kuwafanyia watu majaribio ya kisayansi kinyume na matakwa yao hakuhalalishi makosa ya Wanazi.
 
Cheki hiyo video mkuu maana haya uliyoandika unatueleza historia ileile tunayoijua kuhusu Hitler iliyoandikwa na maadui wa Hitler.
Umewahi kujiuliza swali kwa mfano Marekani aliingia mwishoni mwishoni kwenye vita ya kwanza ya dunia upande wa Muingereza kwa nini?, maana wakati huo Mjerumani hakuipiga Marekani, na wala hakutangaza vita dhidi ya Marekani na wala hakumchokoza mmarekani kwa namna yoyote, Kwa nini Marekani aliingiza jeshi kuipiga Ujerumani katika vita ya kwanza ya dunia?
Mosi, umesoma historia nusu ndiyo maana kuna sehemu unapata utata. Mambo yote yaliyotokea kipindi cha Adolf Hitler yana mzizi mrefu ambao ulipandwa tokea kipindi cha Ufalme wa Ujerumani.

Iko hivi, Ujerumani tokea kipindi cha Kaiser Wilhelm walikuwa wanatamani sana kuivamia Marekani kijeshi lakini jiografia ya Marekani ilifanya mambo yawe magumu.
Mwaka 1897 kabla ya American Spanish War 1898, Ufalme wa Ujerumani ulipanga kuvamia Marekani ili kupunguza ushawishi wake kwenye siasa za kimataifa.

Walimtuma mwanajeshi wao aitwaye Ebenhard Von Mantey lakini kwa kikosi cha wanajeshi laki moja hivi, lakini baada ya kuona jinsi Marekani alovyomtwanga Uhispania mwaka 1907 wakaamua kuacha kabisa hizo ndoto.

Kipindi cha vita ya kwanza ya dunia Ufalme wa Ujerumani ulishashinda vita hadi kufika mwaka 1916,Ufaransa, Uingereza na Urusi wote walikuwa wameshachakazwa. Wamarekani walikuwa hawana mpango wa kujihusisha na vita za Ulaya kwasababu walikuwa na sera yao kuu ya Isolation Policy.

Kilichokuja kuwaudhi Wamarekani ni The Zimmerman Telegram, ambayo iliandaliwa na waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Arthur Zimmerman ambapo aliingia mkataba na Mexico kwamba Marekani akiingia kwenye vita basi Ujerumani itamsaidia kurudisha majimbo kama Texas, Arizona na New Mexico.

Hii telegram ilipowekwa kwenye magazeti ya Marekani basi mtazamo wa umma ukabadilika kabisa na kosa wakafanya Wajerumani wenyewe baada ya Arthur Zimmerman kukiri kwamba kweli Ujerumani ilikuwa na mpango huo.

Mambo mengine kama The Balfour Declaration of 1917 yalichangia sana na Sykes Picot Treaty of 1916 nayo yalichangia sana. Lakini lazima tuangalia mambo mengine ya msingi pia kwamba Marekani aliingia kwenye vita baada ya Zimmerman Telegram kuvuja.

Pili, kitu kingine cha msingi ambacho unasahau kukitaja hapa ni kwamba kipindi hicho cha vita dunia ilikuwa inaongozwa na mfumo wa Umoja wa Kujihami (Alliance System) ambapo kulikuwa na Allied Powers (France, Soviet Union and Britain) dhidi ya The Axis (Nazi Germany, Italy and Imperial Japan).

Unapoizungumzia Ujerumani peke yake kama ndiyo ilikuwa inapigana na dunia nzima wakati ilipigana sana Ulaya na Afrika nadhani unakuwa unaficha taswira nzima ya vita ya pili ya dunia.

Marekani kipindi cha mwanzo wa vita yeye alikuwa hafungamani na upande wowote ule (Neutral Power) na alikuwa anagawa mikopo na kuuza silaha kwa kambi zote mbili. Magari ya vita ya Ujerumani yalikuwa yanatumia injini za Ford zilizotengenezwa Marekani, viwanda vya Marekani vilitengenezea hadi nguo za Wanajeshi wa Ujerumani. Hili hujaliona ??

Kosa kubwa ni kwamba mfumo wa Alliance ni mbaya sana kwasababu unakutaka umlinde mshirika wako pale anapokuwa hatarini. Ufalme wa Japan ulivamia Marekani na kulipua kambi ya Pearl Harbour kule Hawaii mwaka 1941 na kimlazimisha Marekani aitangazie vita Japan.

Lakini baada ya kuona mshirika wao ametangaziwa vita na Marekani Ujerumani na Italia nao ikabidi wamtangazie vita Marekani na ndipo walipofanya makosa ya kimahesabu. Marekani akajiingiza vyotevyote na wakaunda The Grand Alliance na Ujerumani ya Hitler ikabakia kiwa historia kwasababu pesa za Marekani zilibadilisha sura nzima ya vita.

NB: Wewe hilo la kusema Marekani ndiyo alianza kumchokoza Ujerumani umelitoa wapi, wakati mara zote ni Ujerumani ndiyo alianzisha chokochoko ??? Hebu tuanzie hapa
 
Mosi, umesoma historia nusu ndiyo maana kuna sehemu unapata utata. Mambo yote yaliyotokea kipindi cha Adolf Hitler yana mzizi mrefu ambao ulipandwa tokea kipindi cha Ufalme wa Ujerumani. Iko hivi, Ujerumani tokea kipindi cha Kaiser Wilhelm walikuwa wanatamani sana kuivamia Marekani kijeshi lakini jiografia ya Marekani ilifanya mambo yawe magumu.
Mwaka 1897 kabla ya American Spanish War 1898, Ufalme wa Ujerumani ulipanga kuvamia Marekani ili kupunguza ushawishi wake kwenye siasa za kimataifa. Walimtuma mwanajeshi wao aitwaye Ebenhard Von Mantey lakini kwa kikosi cha wanajeshi laki moja hivi, lakini baada ya kuona jinsi Marekani alovyomtwanga Uhispania mwaka 1907 wakaamua kuacha kabisa hizo ndoto.
Kipindi cha vita ya kwanza ya dunia Ufalme wa Ujerumani ulishashinda vita hadi kufika mwaka 1916,Ufaransa, Uingereza na Urusi wote walikuwa wameshachakazwa. Wamarekani walikuwa hawana mpango wa kujihusisha na vita za Ulaya kwasababu walikuwa na sera yao kuu ya Isolation Policy.
Kilichokuja kuwaudhi Wamarekani ni The Zimmerman Telegram, ambayo iliandaliwa na waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Arthur Zimmerman ambapo aliingia mkataba na Mexico kwamba Marekani akiingia kwenye vita basi Ujerumani itamsaidia kurudisha majimbo kama Texas, Arizona na New Mexico.
Hii telegram ilipowekwa kwenye magazeti ya Marekani basi mtazamo wa umma ukabadilika kabisa na kosa wakafanya Wajerumani wenyewe baada ya Arthur Zimmerman kukiri kwamba kweli Ujerumani ilikuwa na mpango huo.
Mambo mengine kama The Balfour Declaration of 1917 yalichangia sana na Sykes Picot Treaty of 1916 nayo yalichangia sana. Lakini lazima tuangalia mambo mengine ya msingi pia kwamba Marekani aliingia kwenye vita baada ya Zimmerman Telegram kuvuja.
Pili, kitu kingine cha msingi ambacho unasahau kukitaja hapa ni kwamba kipindi hicho cha vita dunia ilikuwa inaongozwa na mfumo wa Umoja wa Kujihami (Alliance System) ambapo kulikuwa na Allied Powers (France, Soviet Union and Britain) dhidi ya The Axis (Nazi Germany, Italy and Imperial Japan). Unapoizungumzia Ujerumani peke yake kama ndiyo ilikuwa inapigana na dunia nzima wakati ilipigana sana Ulaya na Afrika nadhani unakuwa unaficha taswira nzima ya vita ya pili ya dunia.
Marekani kipindi cha mwanzo wa vita yeye alikuwa hafungamani na upande wowote ule (Neutral Power) na alikuwa anagawa mikopo na kuuza silaha kwa kambi zote mbili. Magari ya vita ya Ujerumani yalikuwa yanatumia injini za Ford zilizotengenezwa Marekani, viwanda vya Marekani vilitengenezea hadi nguo za Wanajeshi wa Ujerumani. Hili hujaliona ??
Kosa kubwa ni kwamba mfumo wa Alliance ni mbaya sana kwasababu unakutaka umlinde mshirika wako pale anapokuwa hatarini. Ufalme wa Japan ulivamia Marekani na kulipua kambi ya Pearl Harbour kule Hawaii mwaka 1941 na kimlazimisha Marekani aitangazie vita Japan. Lakini baada ya kuona mshirika wao ametangaziwa vita na Marekani Ujerumani na Italia nao ikabidi wamtangazie vita Marekani na ndipo walipofanya makosa ya kimahesabu.
Marekani akajiingiza vyotevyote na wakaunda The Grand Alliance na Ujerumani ya Hitler ikabakia kiwa historia kwasababu pesa za Marekani zilibadilisha sura nzima ya vita.
NB: Wewe hilo la kusema Marekani ndiyo alianza kumchokoza Ujerumani umelitoa wapi, wakati mara zote ni Ujerumani ndiyo alianzisha chokochoko ??? Hebu tuanzie hapa

Umeeleza vizuri kuhusu Neutrality ya Marekani mwanzoni mwa vita ya kwanza ya dunia ila baadae wakageuka mwishoni na kuingia upande wa Muingereza.

Ni kwamba Baada ya Uingereza kuwa tayari ameshawekwa katika corner, Zionists wa Ujerumani walifanya kitendo kimoja cha kisaliti cha kuizunguuka nchi yao ya Ujerumani. Kumbuka Zionists walikuwa ni watu influential wenye kumiliki Finance (Mabenki, Msome Rothschild), Media n.k pretty much kama unavyoona hivi leo. Usaliti wenyewe ni kwamba wao ndoto yao ilikuwa ni kuipata ISRAEL at all cost, kwa kuwa Ujerumani haikuwa tayari kuwapa PALESTINE ambayo wakati huo ilikuwa chini ya Ottoman Empire ambayo katika vita ilikuwa ni ally wa Mjerumani basi ikabidi wamfuate Muingereza na kumwambia kuwa wao wana uwezo wa kuileta Marekani na kuiingiza katika vita upande wake lakini kwa condition moja kwamba UINGEREZA IJICOMMIT KUWA BAADA YA KUSHINDA VITA ITAWAPA PALESTINE, Muingereza akakubali. Kweli Mazionists yakafanya mambo yao, yakatumia influence yao kule Marekani na wakafanikiwa kuiingiza Marekani katika vita, Marekani ilivyoingia na kuwa upande wa muingereza vita ikageuka, Muingereza akaanza kushinda ile Vita. Mwaka 1917 mwaka mmoja kabla ya Vita Muingereza akatengeneza Balfour declaration kuwaahidi Mazionists kuwa iko tayari kuwapa ardhi ya palestine.

Kitendo cha Wajerumani kuona wamesalitiwa na Wayahudi wa nchini mwao ili washindwe vita kiliwauma sana ndiyo Maana Hitller ambaye alikuwa askari shupavu katika vita ya kwanza ya dunia ni miongoni mwa kizazi cha Kijerumani kilichokuwa hakiwaamini Wayahudi na hata ilipozuka vita ya pili ya dunia akaona njia moja ya kuondoa usaliti wa ndani ni kuwaweka kwenye makambi (concentration camp).

Ndugu yangu Masharti waliyopewa Wajerumani baada ya vita ya kwanza ya dunia ni ya kionevu mpaka basi, kwanza nchi yao ilimegwa baadhi ya ardhi na kuunda mataifa mengine kama vile scheskolovakia. Pia ardhi yao ya PRUSSIA ilitengwa kutoka mainland kwa hiyo ikalazimika wawe wanapita poland ili kufika Prussia, Tatu waliwekewa masharti ya kulipa gharama za vita kuu ya kwanza ya dunia kuzilipa France na England, ilifikia hatua Ufaransa iliivamia Ujerumani ili kudai chake.

Alipokuja Hitler Madarakani akawapa Wajerumani Tumaini Jipya, Ile aibu na utemi waliokuwa wakifanyiwa kutokana na Versaille treaty akaiondoa, ndani ya muda mfupi akaifanya Ujerumani kuwa powerhouse, Uchumi ukakuwa, Inflation ikaondoka, Ajira zikapatikana, Yaani ndani ya muda mfupi tu Ujerumani ikawa ni nchi ya kutisha.

Uingereza na Ufaransa walivyotangaza vita dhidi ya Mjerumani, Ufaransa ilianguka ndani ya mawiki kadhaa tu, ikawa imebaki England, Lakini Hitler hakutaka kuipiga England, tena kuna wakati aliwaacha Maaskari wa Uingereza waretreat bila kuwadhuru wakati alikuwa na uwezo wa kuwavurugavuruga.

Ebwana tuendelee kutafuta ukweli wa hizi ishu.

CHEKI VIDEO YA THE GREATEST STORY NEVER TOLD YOUTUBE INAWEZA KUKUPA PERSPECTIVE YA UPANDE WA PILI BADALA YA MAINSTREAM HISTORICAL PERSPECTIVE
 
Hitler aliitandika Soviet Union, akawa amebakisha Kilometa chache tu kuikamata Moscow Ila msimu wa Winter ukaingia ukasababisha Vifaru , magari ya Kivita yafreeze njiani, hapo ikasababisha Wasoviet wafanye counter attack na kuwarudisha nyuma Wajerumani.

Angalia hiyo video ina mambo mengi
Kwa iyo na vita vya berlin napo vifaru vilikuwa vime freeze?.maana walichezea kichapo mpaka berlin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeeleza vizuri kuhusu Neutrality ya Marekani mwanzoni mwa vita ya kwanza ya dunia ila baadae wakageuka mwishoni na kuingia upande wa Muingereza.

Ni kwamba Baada ya Uingereza kuwa tayari ameshawekwa katika corner, Zionists wa Ujerumani walifanya kitendo kimoja cha kisaliti cha kuizunguuka nchi yao ya Ujerumani. Kumbuka Zionists walikuwa ni watu influential wenye kumiliki Finance (Mabenki, Msome Rothschild), Media n.k pretty much kama unavyoona hivi leo. Usaliti wenyewe ni kwamba wao ndoto yao ilikuwa ni kuipata ISRAEL at all cost, kwa kuwa Ujerumani haikuwa tayari kuwapa PALESTINE ambayo wakati huo ilikuwa chini ya Ottoman Empire ambayo katika vita ilikuwa ni ally wa Mjerumani basi ikabidi wamfuate Muingereza na kumwambia kuwa wao wana uwezo wa kuileta Marekani na kuiingiza katika vita upande wake lakini kwa condition moja kwamba UINGEREZA IJICOMMIT KUWA BAADA YA KUSHINDA VITA ITAWAPA PALESTINE, Muingereza akakubali. Kweli Mazionists yakafanya mambo yao, yakatumia influence yao kule Marekani na wakafanikiwa kuiingiza Marekani katika vita, Marekani ilivyoingia na kuwa upande wa muingereza vita ikageuka, Muingereza akaanza kushinda ile Vita. Mwaka 1917 mwaka mmoja kabla ya Vita Muingereza akatengeneza Balfour declaration kuwaahidi Mazionists kuwa iko tayari kuwapa ardhi ya palestine.

Kitendo cha Wajerumani kuona wamesalitiwa na Wayahudi wa nchini mwao ili washindwe vita kiliwauma sana ndiyo Maana Hitller ambaye alikuwa askari shupavu katika vita ya kwanza ya dunia ni miongoni mwa kizazi cha Kijerumani kilichokuwa hakiwaamini Wayahudi na hata ilipozuka vita ya pili ya dunia akaona njia moja ya kuondoa usaliti wa ndani ni kuwaweka kwenye makambi (concentration camp).

Ndugu yangu Masharti waliyopewa Wajerumani baada ya vita ya kwanza ya dunia ni ya kionevu mpaka basi, kwanza nchi yao ilimegwa baadhi ya ardhi na kuunda mataifa mengine kama vile scheskolovakia. Pia ardhi yao ya PRUSSIA ilitengwa kutoka mainland kwa hiyo ikalazimika wawe wanapita poland ili kufika Prussia, Tatu waliwekewa masharti ya kulipa gharama za vita kuu ya kwanza ya dunia kuzilipa France na England, ilifikia hatua Ufaransa iliivamia Ujerumani ili kudai chake.

Alipokuja Hitler Madarakani akawapa Wajerumani Tumaini Jipya, Ile aibu na utemi waliokuwa wakifanyiwa kutokana na Versaille treaty akaiondoa, ndani ya muda mfupi akaifanya Ujerumani kuwa powerhouse, Uchumi ukakuwa, Inflation ikaondoka, Ajira zikapatikana, Yaani ndani ya muda mfupi tu Ujerumani ikawa ni nchi ya kutisha.

Uingereza na Ufaransa walivyotangaza vita dhidi ya Mjerumani, Ufaransa ilianguka ndani ya mawiki kadhaa tu, ikawa imebaki England, Lakini Hitler hakutaka kuipiga England, tena kuna wakati aliwaacha Maaskari wa Uingereza waretreat bila kuwadhuru wakati alikuwa na uwezo wa kuwavurugavuruga.

Ebwana tuendelee kutafuta ukweli wa hizi ishu.

CHEKI VIDEO YA THE GREATEST STORY NEVER TOLD YOUTUBE INAWEZA KUKUPA PERSPECTIVE YA UPANDE WA PILI BADALA YA MAINSTREAM HISTORICAL PERSPECTIVE

Mkuu umeandika vizuri mambo mengi lakini umeandika historia ya upande moja sana wa shilingi. Tujitahidi kupitia vyanzo mbalimbali ili tupate ukweli ambao hauna upendeleo (Unbiased facts)

Mosi, unaposema Ujerumani walionewa sana kwenye The Versailles Peace Treaty of 1919 unasahau jinsi walivyoionea Urusi mwaka mmoja nyuma kwenye The Treaty of Brest Litovsk of 1918 ambao ulisainiwa na wakina Vladmir Lenin ili kuitoa Urusi kwenye vita ya kwanza ya dunia.

Mkataba uliwataka Warusi wakubalia kuwapa Wajerumani majimbo yake ya Baltic States (Lithuania, Latvia and Estonia), huku Waturuki wakichukua majimbo ya Urusi ya South Caucasus (Georgia, Armenia na Azerbaijan) na mwisho kabisa kuyaachia majimbo yake muhimu kama Ukraine, Finland na Poland.

Ndiyo maana kwenye mkataba wa Versailles Ujerumani aliposema ameonewa Waingereza na Wafaransa wakasema kwamba hata yeye aliwaonea Warusi kwenye Mkataba wa Brest-Litovsk. Hivyo hapa kusema Ujerumani alionewa na mataifa ya Ulaya nadhani ni muono wa mambo katika upande moja wa shilingi.

Pili, kuna sababu nyingi sana ambazo zilimfanya Marekani kumpiga Ujerumani, hivyo ukisema kwamba Wamarekani waliingia mwenye vita kisa Wayahudi nadhani utakuwa unapingana na uhalisia wa kihistoria. Marekani iliingilia vita za dunia kwasababu za kiuchumi na hili sijaona ukilitaja kwanini ?? Marekani ilimpa mikopo mikubwa sana Muingereza ya kiasi cha USD 3 Billions huku Ujerumani akiwa na mikopo ya USD 26 Million. Uingereza angeanguka unadhani madeni haya angelipa nani ??

NB: Kusema Ujerumani alionewa na kusahau kwamba yeye alifanya mambo ya ajabu kwa wenzake unamaanisha nini mkuu ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother walikuwa wanapigwa pande zote- Mashariki wanapigwa na SOVIET
Magharibi wanapigwa na USA+England+France na wengineo
Iko hivi mkuu, Ujerumani wakati anaanza Operation Barbarossa mwaka 1941 Ufaransa ilikuwa imeshaanguka kitambo sana (Mwaka 1940) kwa mkono wa Ujerumani kwa muda wa mwezi moja na siku kumi tu na utawala mpya wa vibaraka ulishawekwa (The Vichy France). Hivyo kusema alipigana na Ufaransa siyo sahihi sana.

Taifa lililomtwanga Ujerumani vibaya ni Umoja wa Kisovieti ambapo Ujerumani alitumia asilimia 80% ya silaha zake zote. Ujerumani alichoshwa sana na Warusi na jeshi lake kubwa lilichinjiwa huko Ukraine, Poland, Leningrad na Stalingrad: Ujerumani alizidiwa maana vita kwenye upande wa Mashariki (Eastern Front) ilipigwa kwa miaka minne. Baada ya kushindwa kuvamia Urusi, kwa mara ya kwanza Hitler alikiri mbele ya majemdari wake kwamba ameshindwa na Umoja wa Kisovieti.

Winston Churchill alinukuliwa akisema hivi "It was the Soviet Union that gutted out the power of the German war machine" Ujerumani alizidiwa na Wasovieti ambao walikuwa ni wengi sana, ambapo mbali na hapo viwanda vyao vya kijeshi havikidhurika kabisa kwasababu vilikuwa vimehamishiwa kule Siberia na wakawa wanaendelea kuzalisha silaha kwa wingi (Mass production of weapons).

Kuvamia Urusi lilikuwa ni kosa ambalo hata majemedari wake walimshauri asilifanye kwa haraka. Wakati vifaru vya Ujerumani (Panzers) vilikuwa vinaganda kwenye barafu vile vya Urusi kam T-35 vilikuwa vinapita sehemu zote bila shida.

NB: Halafu mkakati wa vita wa Ujerumani "The Blitz-Krieg" au "lightning war" ulilenga kupigana vita ndani ya muda mfupi na kwa nguvu kubwa bila madhara makubwa kwa upande wake. Alifanikiwa Ufaransa kufanha hivi Ufaransa lakini Urusi alishindwa maana walirefusha vita kwa maksudi na Ujerumani akachoka na wakamtwanga vilivyo.

Tusipindishe uhalisia.........

Mkuu unaielezeaje fact kwamba Moscow ilikuwa imebaki kilometa chache tu kukamatwa na majeshi ya Hitler na pia unaielezeaje effect ya Ile winter iliyogandisha vifaa vya Wajerumani kiasi kwamba vikashindwa kumove kwenye barafu nzito?
 
Mosi, Jiografia ya nchi nayo inachangia sana kukusaidia ushinda vita. Hujajiuliza kwanini Ujerumani kwenye The Battle of England aliamua kutumia jeshi la anga na siyo majini ?? Uingereza isingekuwa kisiwa nakuambia basi historia ingekuwa nyingine kabisa.

Jiografia ya Urusi iliwabeba na imewabeba tokea enzi za Napoleon Bornaparte alipovamia Urusi mwaka 1812. Nguvu kubwa ya Ujerumani ilikuwa ni jeshi la anga akichanganya na nguvu ya vikosi vya ardhini huu mkakati wao uliitwa "The blitzkrieg" ambapo anakija kwa spidi huku akichanganya nguvu ya jeshi la ardhi huku akiwa muda huo huo anatumia jeshi la anga kuvunja mstari wako wa vita na kwenda nyuma yako huku akikubana katikati.

Pili, Ili kufanikisha huu mkakati wa The Blitzkrieg "The element of surprise is of paramount importance". Hitler alipovamia Umoja wa Kisovieti alienda na Wanajeshi kama milioni 3 na laki 7. Magari ya vita laki 6, vifaru 3,648, ndege zaidi ya 2,700 na silaha nzito 7,000.

Mwanzoni Ujerumani aliwatandika sana Warusi, kumbe walishamsoma mapema kwamba Ujerumani anataka kushinda vita kwa haraka kwasababu hana rasilimali za kutosha kupigana vita (mafuta, chuma na mpira alikuwa anaagiza nje). Alitegemea kabisa kwamba akiwapiga warusi basi atateka visima vya mafuta, migodi ya chuma na mashamba ya chakula Ukraine.

Bahati mbaya Warusi walikimbia maksudi wakisubiria baridi ili waanze shughuli. The Moscow-Counter Defense iliwaumiza sana wajerumani na Warusi walikuja na silaha mpya za kivita ambazo Ujerumani hakutegemea kama angekuwa nazo. Hitler aliwalaumu sana mashushu wake kwa kushindwa kugundua hili mapema.

Tatu, Warusi walikuwa ni wengi mno kwa idadi na Stalin alikuwa anatumia "Conscription" kujaza jeshi lake. Kiufupo kwenye ile vita walikufa zaidi ya Warusi kama milioni 26: Ilifika kipindi Ujerumani alichoka mwenyewe, maana anaua sana lakini wanakuja sana. Manpower ya Urusi ilikuwa ni kubwa sana, hasa kwenye nchi ya kijamaa ni jambo rahisi sana kufanya rapid mobilization of troop.

Nne, vifaru vya Ujerumani vilikuwa vya kisasa lakini havikuwa vigumu kama vile vya Urusi: Wanasema Armor Plating ya Panzers ilikuwa siyo ngumu kama ile Armour Plating ya Russian T-35. Baada ya vifaru vyake kuganda na kushindwa kupita kwenye barafu Ujerumani alipata tabu sana kukamata hata Moscow mwaka 1941. Mwaka mmoja baadae kule Stalingrad akaabika vilevile tena na kukubali kushindwa.

Tano, Urusi ni taifa lenye kila aina ya rasilimali hivyo waliweza kupigana vita bila kutegemea sana bidhaa za nje. Kuanzia chakula hadi malighafi za kuendeshea viwanda vya silaha vya Siberia.

NB 1: Kiufupi Urusi alikuwa amejipanga sana kuliko Ujerumani, maana kama angekuwa hajajipanga sidhani kama angeweza kudumu miaka yote minne ya vita dhidi ya Ujerumani.

NB 2: Kichekesho kikubwa ni kwamba kabla ya huu uvamizi Ujerumani alikuwa anategemea sana mafuta ya Urusi na walimuuzia sana, sasa akaamua kuvamia ili ajimilikisha. Wanajeshi wake walisema hivi "Russia is an Iron giant with clay feet" huku Waingereza wakisema Urusi yote ingeanguka ndani ya wiki kama 15 hivi, walichokutana nacho ikawa gumzo mpaka leo hii.

Hivi unadhani kwanini baada ya Vita ya pili ya dunia Marekani aliamua kuungana na mataifa ya Ulaya ili kupambana na Umoja wa Kisovieti "It was an extremely powerful military behemoth" silaha zake chache tu ilizoziacha baada ya kuanguka ndizo zinampa Vladmir Putin kiburi hapa duniani.
 
Huyo alipata laana baada ya kuwadhambulia wana wa taifa teule la Israel
Hakujua kuwa kupambana na Israel ni kupambana na Mungu

God first
Huyo Hitler nae alikuwa myahudi, na kile kilichoitwa Jews persecution ni propaganda tu,

jamaa alitumwa kufanya kazi maalum ili kustawisha uyahudi ulaya.

Kwenye Vita ya pili ya dunia wazungu (non Jewish ) wengi walikufa, ili wayahudi wainuke watawale ulaya vizuri. Walichofanya wayahudi ni kushusha population ya wazungu wale pure, ili wao wa-rise kwenye siasa na biashara.

Jamaa mafia sana hawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mosi, Jiografia ya nchi nayo inachangia sana kukusaidia ushinda vita. Hujajiuliza kwanini Ujerumani kwenye The Battle of England aliamua kutumia jeshi la anga na siyo majini ?? Uingereza isingekuwa kisiwa nakuambia basi historia ingekuwa nyingine kabisa.

Jiografia ya Urusi iliwabeba na imewabeba tokea enzi za Napoleon Bornaparte alipovamia Urusi mwaka 1812. Nguvu kubwa ya Ujerumani ilikuwa ni jeshi la anga akichanganya na nguvu ya vikosi vya ardhini huu mkakati wao uliitwa "The blitzkrieg" ambapo anakija kwa spidi huku akichanganya nguvu ya jeshi la ardhi huku akiwa muda huo huo anatumia jeshi la anga kuvunja mstari wako wa vita na kwenda nyuma yako huku akikubana katikati.

Pili, Ili kufanikisha huu mkakati wa The Blitzkrieg "The element of surprise is of paramount importance. Hitler alipovamia Umoja wa Kisovieti alienda na Wanajeshi kama milioni 3 na laki 7. Magari ya vita laki 6, vifaru 36489, ndege zaidi ya 2700 na silaha nzito 7000. Mwanzoni Ujerumani aliwatandika sana Warusi, kumbe walishamsoma mapema kwamba Ujerumani anataka kushinda vita kwa haraka kwasababu hana rasilimali za kutosha kupigana vita (mafuta, chuma na mpira alikuwa anaagiza nje). Alitegemea kabisa kwamba akiwapiga warusi basi atateka visima vya mafuta, migodi ya chuma na mashamba ya chakula Ukraine.

Bahati mbaya Warusi walikimbia maksudi wakisubiria baridi ili waanze shughuli. The Moscow-Counter Defense iliwaumiza sana wajerumani na Warusi walikuja na silaha mpya za kivita ambazo Ujerumani hakutegemea kama angekuwa nazo. Hitler aliwalaumu sana mashushu wake kwa kushindwa kugundua hili mapema.

Tatu, Warusi walikuwa ni wengi mno kwa idadi na Stalin alikuwa anatumia "Conscription" kujaza jeshi lake. Kiufupo kwenye ile vita walikufa zaidi ya Warusi kama milioni 26: Ilifika kipindi Ujerumani alichoka mwenyewe, maana anaua sana lakini wanakuja sana. Manpower ya Urusi ilikuwa ni kubwa sana, hasa kwenye nchi ya kijamaa ni jambo rahisi sana kufanya rapid mobilization of troop.

Nne, vifaru vya Ujerumani vilikuwa vya kisasa lakini havikuwa na nguvu kama vile vya Urusi: Wanasema Armor Plating ya Panzers ilikuwa siyo ngumu kama ile Armour Plating ya Russian T-35. Baada ya vifaru vyake kuganda na kushindwa kupita kwenye barafu Ujerumani alipata tabu sana kukamata hata Moscow mwaka 1941. Mwaka mmoja baadae kule Leningrad akaabika vilevile tena na kukubali kushindwa.

Tano, Urusi ni taifa lenye kila aina ya rasilimali hivyo waliweza kupigana vita bila kutegemea sana bidhaa za nje. Kuanzia chakula hadi maloghafi za kuendeshea viwanda vya silaha vya Siberia.

NB 1: Kiufupi Urusi alikuwa amejipanga sana kuliko Ujerumani, maana kama angekuwa hajajipanga sidhani kama angeweza kudumu miaka yote minne ya viya dhidi ya Ujerumani.

NB 2: Kichekesho kikubwa ni kwamba kabla ya huu uvamizi Ujerumani alikuwa anategemea sana mafuta ya Urusi na walimuuzia sana, sasa akaamua kuvamia ili ajimilikisha. Wanajeshi wake walisema hivi "Russia is an Iron giant with clay feet" huku Waingereza wakisema Urusi yote ingeanguka ndani ya wiki kama 15 hivi, walichokutana nacho ikawa gumzo mpaka leo hii.

Hivi unadhani kwanini baada ya Vita ya pili ya dunia Marekani aliamua kuungana na mataifa ya Ulaya ili kupambana na Umoja wa Kisovieti "It was an extremely powerful military behemoth" silaha zake chache tu ilizoziacha baada ya kuanguka ndizo zinampa Vladmir Putin kiburi hapa duniani.

Asante sana kwa hili bandiko.

Kitu kingine pia ni kwamba Wasovieti nao hawakuwa watu wazuri na Hitler motive yake ya kuvamia Soviet ni kwa sababu Soviet walishaanzisha vita za kujitanua ulaya Magharibi, walishakamata nchi mbalimbali karibu na Ujerumani Magharibi na Hivyo Hitler akaona bora afanye Offensive mission dhidi ya Soviet Union ili kuwadhibiti wasifikirie kuja Ujerumani.

Kuhusu Hitler na yeye kuvamia Poland ni kwa sababu kule Poland kulikuwa na watu wa asili ya Ujerumani ambao siasa za nationalism na kikabila zilipelekea mauaji ya kutisha ya watu wa asili ya Kijerumani, Hitler akaona ana jukumu la kwenda kuzuia haya mauaji ya Kimbari dhidi ya hao watu.

Kuhusu Hitler Kuingia na kuichukua Austria mwaka 1938 ni kwamba kulikuwa na Sapoti kubwa ya watu wa Austria kuungana na Ujerumani, hii ni baada ya Waustria kuona maendeleo makubwa na ndani ya muda mfupi ya Ujerumani, na kwa kuwa watu wengi wa Ujerumani ni Waaustria kwa hiyari yao waliunga mkono hili jambo , na ili kuonyesha gesture ya muungano wa amani Vikosi vya Austria vilienda hadi Berlin wakati Vikosi vya Hitler vikiingia Austria, Vikosi vya Hitler vilipokelewa kwa nderemo na vifijo na wana Austria
 
Mkuu naomba tuwekane sawa kidogo, Poland, Finland, Latvia, Estonia na Ukraine zilikuwa ni sehemu za Ufalme wa Urusi hadi kufika mwaka 1918: Warusi walilazimishwa na Wajerumani kuyaacha haya majimbo ili kujitoa kwenye vita ya kwanza dunia.

Ujerumani mbali na kutaka rasilimali za Urusi alivamia kwasababu ya Ukoministi ambao ulikuwa unasambaa kwa kasi sana barani Ulaya. Communist International (Commintern) ilipenyeza maajenti wake ambao walitengeneza vyama vya siasa Ulaya kote. Mwaka 1920 mji wa Bavaria Ujerumani yalifanyika mapinduzi ya kikomunisti ambayo yalizimwa mapema.

Lakini naomba nikuunge mkono kwamba Urusi alikuwa na mpango wa kupindua Ulaya nzima kwa kupitia ukomunisti. Ndiyo maana Hitler kwenye hotuba moja alinukuliwa akisema kwamba "Uvamizi wangu dhidi ya Urusi utaisaidia sana Ulaya" maana yeye aliamini kwamba wale Wayahudi wa Moscow wasingeishia pale bali wangeenda Ulaya yote.

Mfano hai kabisa angalia kipindi cha The Spanish Civil War 1936. Urusi alipeleka silaha nzito kuwaunga mkono wakomunisti na Hitler naye akapeleka silaha nzito ili kumuunga mkono General Franco. Hii ndiyo ilikuwa Proxy Way ya kwanza kabisa ya kusambaza ukoministi duniani. Kuanzia mwaka 1945 nia ya Urusi ndiyo ikafahamika alipoanza kuvamia Ujerumani, Korea, Iran, Hungary, Czechskovakia, etc....

Ndiyo maana hata kabla Hitler hajashika madaraka moja ya Kazi ya kubwa ya The Nazi Storm Troopers au Blackshirts wa Mussolini ilikuwa ni kuwaua wakomunisti walioko ndani ya nchi zao pamoja kuvifuta kabisa vyama vya kikomunisti.

NB: Ilikuwa ni rahisi kwa Ujerumani kuungana na Austria kwasababu Adolf Hitler mwenyewe alizaliwa Austria.
 
Watu huwa hawajui kuwa Miongoni mwa Mauaji ya kimbari, yaliyopelekea zaidi ya WAKIRISTU MILIONI 20 kufa yalitokana na BOLSHEVICK revolution huko urusi ambayo vinara na viongozi wake wakuu walikuwa Wayahudi wa Urusi.

Kabla ya BOLSHEVICK revolution iliyopelekea kusimikwa kwa UKOMUSNITI Urusi, Mtawala wa Pale alikuwa ni Mfalme, Mlezi wa kanisa la Orthodox. aliuawa kinyama yeye na familia yake, mauaji yale yalifanywa na Wakomunisti ambao vinara ni Wayahudi.

Ukisikia kwa nini Wayahudi walikuwa wakichukiwa ulaya ni kwa sababu nyingi ikiwemo kula njama kuangusha tawala mbalimbali za Ulaya
 
Mmmh
1544261613740.gif

Wakomunisti waliua mamilioni ya Wakristu wa Urusi na hata kuvunja maelfu ya makanisa. Hili halina ubishi kabisa mkuu.
 
Siku zote hata ufanye mema 1000 basi hayo yote hufutwa na baya moja tu.
 
Back
Top Bottom