Ujue upande wa pili wa Adolph Hitler: Historia inayominywa

  • Thread starter Missile of the Nation
  • Start date

M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,763
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,763 2,000
1. Hitler alipiga marufuku pombe
2. Hitler alitoa huduma bure za afya bure kwa akina mama wajawizito
3.Hitler alipiga marufuku riba (Usury)
4.Hitler zaidi ya mara mbili anaitaka Uingereza waingie katika mkataba wa amani lakini uingereza inakataa
5. Hitler alikuwa askari jasiri wa kijerumani katika vita ya kwanza ya dunia
6.Hitler alichukia kitendo cha Mazionists wa Ujerumani "kuwazunguuka" Wajerumani na kufunga mkataba wa siri na uingereza ili kuwatumia Mazionist walioko Marekani kuishawishi serikali hiyo iingie katika vita upande wa Uingereza kitendo kilichosababisha Ujerumani ipigwe wakati ilikuwa inakaribia kushinda vita ya kwanza ya Dunia

7. Hitler mwaka 1938 aliwekwa kwenye Gazei la TIMES kuwa Person Man of the Year

bardizbah

bardizbah

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Messages
1,265
Points
2,000
Age
21
bardizbah

bardizbah

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2017
1,265 2,000
1. Hitler alipiga marufuku pombe
2. Hitler alitoa huduma bure za afya bure kwa akina mama wajawizito
3.Hitler alipiga marufuku riba (Usury)
4.Hitler zaidi ya mara mbili anaitaka Uingereza waingie katika mkataba wa amani lakini uingereza inakataa
5. Hitler alikuwa askari jasiri wa kijerumani katika vita ya kwanza ya dunia
6.Hitler alichukia kitendo cha Mazionists wa Ujerumani "kuwazunguuka" Wajerumani na kufunga mkataba wa siri na uingereza ili kuwatumia Mazionist walioko Marekani kuishawishi serikali hiyo iingie katika vita upande wa Uingereza kitendo kilichosababisha Ujerumani ipigwe wakati ilikuwa inakaribia kushinda vita hiyo

7. Hitler mwaka 1938 aliwekwa kwenye Gazei la TIMES kuwa Person Man of the Year

Historia nyingi za mzungu huwa ni tunamezeshwa matango pori ila ukwel huwa upo nyuma ya pazia

Refer gadafi, idd amin, sadam hussein nk

13SEPTEMBER
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,763
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,763 2,000
Historia nyingi za mzungu huwa ni tunamezeshwa matango pori ila ukwel huwa upo nyuma ya pazia

Refer gadafi, idd amin, sadam hussein nk

13SEPTEMBER
Hitler aliitandika Soviet Union, akawa amebakisha Kilometa chache tu kuikamata Moscow Ila msimu wa Winter ukaingia ukasababisha Vifaru , magari ya Kivita yafreeze njiani, hapo ikasababisha Wasoviet wafanye counter attack na kuwarudisha nyuma Wajerumani.

Angalia hiyo video ina mambo mengi
 
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
2,556
Points
2,000
Age
97
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
2,556 2,000
1. Hitler alipiga marufuku pombe
2. Hitler alitoa huduma bure za afya bure kwa akina mama wajawizito
3.Hitler alipiga marufuku riba (Usury)
4.Hitler zaidi ya mara mbili anaitaka Uingereza waingie katika mkataba wa amani lakini uingereza inakataa
5. Hitler alikuwa askari jasiri wa kijerumani katika vita ya kwanza ya dunia
6.Hitler alichukia kitendo cha Mazionists wa Ujerumani "kuwazunguuka" Wajerumani na kufunga mkataba wa siri na uingereza ili kuwatumia Mazionist walioko Marekani kuishawishi serikali hiyo iingie katika vita upande wa Uingereza kitendo kilichosababisha Ujerumani ipigwe wakati ilikuwa inakaribia kushinda vita ya kwanza ya Dunia

7. Hitler mwaka 1938 aliwekwa kwenye Gazei la TIMES kuwa Person Man of the Year

Mfanye tu awe lol model wako mkuu!
Zaa mtoto muite Hitler

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
2,688
Points
2,000
Age
35
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
2,688 2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,763
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,763 2,000
Huyo alipata laana baada ya kuwadhambulia wana wa taifa teule la Israel
Hakujua kuwa kupambana na Israel ni kupambana na Mungu

God first
Hivi hujui kuwa kuna wakati jeshi la Hitler lilikuwa na wayahudi zaidi ya 150000

Miongoni mwao kulikuwa na Majenerali 15 wa Kiyahudi?

Hasira za Wajerumani dhidi ya Wayahudi ni baada ya Zionists wa Ujerumani kuungana na Zionists wa Marekani kuishawishi Marekani iingane na Uingereza katika vita dhidi ya Ujerumani katika vita kuu ya kwanza ya dunia kitendo kilichopelekea ujerumani ipoteze vita.

Baada ya Hitler kuingia madarakani akaanzisha kampeni ya kunyofoa Wayahudi kutoka katika sehemu nyeti za madaraka kwa sababu aliamini wao ndo waliowauza wakapoteza ile vita ya kwanza ya dunia.

Zionists wa dunia wakaitisha mkutano mkubwa wakatangaza vita ya kiuchumi dhidi ya Ujerumani, ikawa ni marufuku kununua bidhaa zilizotengenezwa Ujerumani ili kuuminya uchumi wa Ujerumani, Hiki kitendo kilizidisha chuki ya Wajerumani dhidi ya wayahudi.

Pia hao Zionists walitoa Ultimatum kwa serikali ya Hitler iwarudishe katika post mbalimbali za kazi ambazo serikali Wayahudi ambao serikali ya Hitler ilikuwa ikiwanyofoa!

Vita ya pili ya dunia ilivyoanza, Ujerumani ikaona kuwa ili pasiwepo na adui wa ndani ni bora hawa wayahudi wakawekwa kwenye camps maalum. Hii hatua haina Tofauti na Marekani ilivyoamua kuwaweka Wamarekani wenye asili ya Japan kwenye camps maalum baada ya Marekani kuingia katika vita dhidi ya Japan.

Wayahudi wengi walikufa kwa njaa kwa sababu baada ya ujerumani kuzidiwa katika vita haikuweza tena kusupply chakula na madawa kwenye camp hizo
 
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2018
Messages
784
Points
1,000
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2018
784 1,000
Religious fanaticism and political fanaticism, ni aina flani ya ukichaa ambao humfanya mtu asiwe anawaza freely kwa ku'focus na ku'reason kama mtu mwenye akili timamu.
I hate a 'Religious fanatisim' bcz it deprives man from reasoning........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
3,346
Points
2,000
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
3,346 2,000
Hio ndio sheria ya dunia.. mshindi wa vita ndio anaandika historia.

Hata kwenye vita yetu na idd amini side ya pili ya ukweli kuhusu vita inatisha na ukweli ni kwamba Tz tusingepata support kubwa kutoka kwa waganda,nchi za sadc, n.k tungechezea kichapo... lakini kwakua tulishinda sisi ndio tunaandika history. Kwahio tunaitwist tutakavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
385
Points
250
Age
30
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
385 250
Akili ya kusoma changanya na zako. Germany ilitumiwa tu kama scape goat ili kufikia malengo ya wazungu mabepari. ikiwa ni pamoja na population control, Middle east manipulation etc hkn kitu km wwii. huo ni uzushi matango pori.
 
Free-will

Free-will

Member
Joined
Aug 8, 2018
Messages
12
Points
75
Free-will

Free-will

Member
Joined Aug 8, 2018
12 75
After WWI kwa vikwazo alivyowekewa ujerumani kama sio Hitler ujerumani Ingekua nchi ya kiboya sana hasa kiuchumi, wajerumani wengi sana wanaendelea kumchukulia Hitler ni mtu muhimu kuwahi kutokea kwenye nchi yao japo wanasheherekea Nazi party kwa siri sana.. Uimara na nguvu iliyonayo ujerumani leo hii inatokana na misingi ya yule mwanaume Hitler.
 
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
13,855
Points
2,000
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
13,855 2,000
1. Hitler alipiga marufuku pombe
2. Hitler alitoa huduma bure za afya bure kwa akina mama wajawizito
3.Hitler alipiga marufuku riba (Usury)
4.Hitler zaidi ya mara mbili anaitaka Uingereza waingie katika mkataba wa amani lakini uingereza inakataa
5. Hitler alikuwa askari jasiri wa kijerumani katika vita ya kwanza ya dunia
6.Hitler alichukia kitendo cha Mazionists wa Ujerumani "kuwazunguuka" Wajerumani na kufunga mkataba wa siri na uingereza ili kuwatumia Mazionist walioko Marekani kuishawishi serikali hiyo iingie katika vita upande wa Uingereza kitendo kilichosababisha Ujerumani ipigwe wakati ilikuwa inakaribia kushinda vita ya kwanza ya Dunia
7. Hitler mwaka 1938 aliwekwa kwenye Gazei la TIMES kuwa Person Man of the Year
Hitler was a saddist. Hivi kuwaua wale watu wa kijipsei nayo ilikuwa na ulazima wowote ule kweli ?? Yale majaribio ya binadamu ambayo Joseph Mengele aliyafanya ya kukata viungo nayo yalikuwa ni uzalendo kwa nchi yake ??

Kama mkataba wa amani Adolf Hitler alifanya mkataba wa amani hadi na Urusi mwaka 1949 (The Non-Aggression Pact) lakini baadae akaamua kuuvunja na kuvamia Urusi ili ateke visima vya mafuta kule Caucases akitegemea vitamsaidia kuendesha mtambo wake wa vita.

Hitler alikuwa ni dikteta aliyezivuruga Ujerumani na Austria kwa kupitia falsafa yake ya Unazi. Wasomi walikuwa hawaruhusiwi kupinga chochote cha serikali na kulikuwa hakuna uhuru wa vyombo vya habari. The Gestapo walikuwa wanaua watu wanaiokosoa serikali hadi ikafika kipindi mume na mke hawaaminiani kabisa.

Kibaya zaidi ni kwamba Hitler alikuwa ni mtu mwenye akili za kibeberu (Imperialistic) kama wenzake. Hakusababisha matatizo kwa wazayuni ambao walikuwa ni maadui zake bali hata wale wasiohusika. Hivi alivamia Chzechslovakia na Poland kwasababu zipi ??
 
ujoka

ujoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Messages
988
Points
1,000
ujoka

ujoka

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2014
988 1,000
Historia nyingi za mzungu huwa ni tunamezeshwa matango pori ila ukwel huwa upo nyuma ya pazia

Refer gadafi, idd amin, sadam hussein nk

13SEPTEMBER
Hadi idi amin mzee ni matangopori ?
 
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
13,855
Points
2,000
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
13,855 2,000
After WWI kwa vikwazo alivyowekewa ujerumani kama sio Hitler ujerumani Ingekua nchi ya kiboya sana hasa kiuchumi, wajerumani wengi sana wanaendelea kumchukulia Hitler ni mtu muhimu kuwahi kutokea kwenye nchi yao japo wanasheherekea Nazi party kwa siri sana.. Uimara na nguvu iliyonayo ujerumani leo hii inatokana na misingi ya yule mwanaume Hitler.
Sawa kabisa Hitler aliiokoa Ujerumani lakini kwa gharama zipi: Kusababisha vifo na mateso kuanzia Ulaya hadi Afrika. Kiufupi Hitler alikuwa ni beberu kama wenzake wa Uingereza na Ufaransa ambao walikuwa na lengo la kutawala na kunyonya nchi za wenzao kimabavu.
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,763
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,763 2,000
Hitler was a saddist. Hivi kuwaua wale watu wa kijipsei nayo ilikuwa na ulazima wowote ule kweli ?? Yale majaribio ya binadamu ambayo Joseph Mengele aliyafanya ya kukata viungo nayo yalikuwa ni uzalendo kwa nchi yake ??

Kama mkataba wa amani Adolf Hitler alifanya mkataba wa amani hadi na Urusi mwaka 1949 (The Non-Aggression Pact) lakini baadae akaamua kuuvunja na kuvamia Urusi ili ateke visima vya mafuta kule Caucases akitegemea vitamsaidia kuendesha mtambo wake wa vita.

Hitler alikuwa ni dikteta aliyezivuruga Ujerumani na Austria kwa kupitia falsafa yake ya Unazi. Wasomi walikuwa hawaruhusiwi kupinga chochote cha serikali na kulikuwa hakuna uhuru wa vyombo vya habari. The Gestapo walikuwa wanaua watu wanaiokosoa serikali hadi ikafika kipindi mume na mke hawaaminiani kabisa.

Kibaya zaidi ni kwamba Hitler alikuwa ni mtu mwenye akili za kibeberu (Imperialistic) kama wenzake. Hakusababisha matatizo kwa wazayuni ambao walikuwa ni maadui zake bali hata wale wasiohusika. Hivi alivamia Chzechslovakia na Poland kwasababu zipi ??
Hivi unajua kuwa utaalamu wa NUSU KAPUTI unaotumika leo ni matunda ya utafiti wa waNAZI
Unajua kuwa utaalamu wa MAROKETI wa leo ni Matunda ya Sayansi ya Wanazi.

Ukiwalaumu waNAZI kwenye research za madawa basi usisahau kuwalaumu Wamarekani kwenye TUSKGEE experiment ambapo watu weusi walikuwa wakipandikizwa Virusi vya Gonorrhea halafu kuona watacope vipi katika set waliyoipanga!

Experiment za Kisayansi huwa ziko dirty sometimes behind the scene!
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,763
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,763 2,000
Hitler was a saddist. Hivi kuwaua wale watu wa kijipsei nayo ilikuwa na ulazima wowote ule kweli ?? Yale majaribio ya binadamu ambayo Joseph Mengele aliyafanya ya kukata viungo nayo yalikuwa ni uzalendo kwa nchi yake ??

Kama mkataba wa amani Adolf Hitler alifanya mkataba wa amani hadi na Urusi mwaka 1949 (The Non-Aggression Pact) lakini baadae akaamua kuuvunja na kuvamia Urusi ili ateke visima vya mafuta kule Caucases akitegemea vitamsaidia kuendesha mtambo wake wa vita.

Hitler alikuwa ni dikteta aliyezivuruga Ujerumani na Austria kwa kupitia falsafa yake ya Unazi. Wasomi walikuwa hawaruhusiwi kupinga chochote cha serikali na kulikuwa hakuna uhuru wa vyombo vya habari. The Gestapo walikuwa wanaua watu wanaiokosoa serikali hadi ikafika kipindi mume na mke hawaaminiani kabisa.

Kibaya zaidi ni kwamba Hitler alikuwa ni mtu mwenye akili za kibeberu (Imperialistic) kama wenzake. Hakusababisha matatizo kwa wazayuni ambao walikuwa ni maadui zake bali hata wale wasiohusika. Hivi alivamia Chzechslovakia na Poland kwasababu zipi ??
Cheki hiyo video mkuu maana haya uliyoandika unatueleza historia ileile tunayoijua kuhusu Hitler iliyoandikwa na maadui wa Hitler.

Umewahi kujiuliza swali kwa mfano Marekani aliingia mwishoni mwishoni kwenye vita ya kwanza ya dunia upande wa Muingereza kwa nini?, maana wakati huo Mjerumani hakuipiga Marekani, na wala hakutangaza vita dhidi ya Marekani na wala hakumchokoza mmarekani kwa namna yoyote, Kwa nini Marekani aliingiza jeshi kuipiga Ujerumani katika vita ya kwanza ya dunia?
 
Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,859
Top