Ujue una laana kama.......................... ........

Mmmmmmhhhhh saw a wakuu,naona mipweint yote inanihusu,hay a bana kwa raha zenu!
 
...Ukiwa mnoko kuchongea wenzio makazini
...Ukiwa mbeya kukosanisha watu....
 
Hawa walochangia sredi hii kama wangepewa kazi ya umalaika tungekuwa na laana dunia nzima. Yaani hapa ukicheka umelembewa laana.
 
Ukiwa una mwamvuli halafu una rowa kwa mvua.
 
hii kama inauhusiano na ile ya arsenal pale juu lazima yawe mashetani mekundu hayo..
teh teh teh sikuelewa vizuri,nilidhani mashetani hasa kumbe ana maana yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…