Wanaotaka kujua ukweli wa umiliki wa eneo na matukio katika eneo la Efatha, Mwenge, Dar es Salaam wasome taarifa iliyoambatanishwa hapa. Mwenye data za umiliki wa eneo tofauti na hizi aziweke hapa ili ukweli ujulikane kwa umma.
Mshauli Mwingira apeleke mahakamani atapata haki,ila aache Papara na unabii wa uongo ni aibu kwa Ukristo.Hiyo tabia ya mwingira inaitwa FanaticismWanaotaka kujua ukweli wa umiliki wa eneo na matukio yaliyotokea eneo la Efatha, Mwenge, Dar es Salaam wasome taarifa iliyoambatanishwa hapa. Kama kuna mtu mwenye data za umiliki wa eneo hilo tofauti na hizi aziweke hapa ili ukweli ujulikane kwa umma.
Wanaotaka kujua ukweli wa umiliki wa eneo na matukio yaliyotokea eneo la Efatha, Mwenge, Dar es Salaam wasome taarifa iliyoambatanishwa hapa. Kama kuna mtu mwenye data za umiliki wa eneo hilo tofauti na hizi aziweke hapa ili ukweli ujulikane kwa umma.
Mbona taarifa haielezi nani aliyevunja jengo la afro plus?kwa nini efatha imekua na migogoro ya ardhi sehemu nyingi?
Efatha Foundation Ltd ilipomiliki eneo hili kihalali na kisheria wakawapa wavamizi notisi ya kuondoka mwaka 2005, wavamizi nane wakatii amri wakaondoka na wavamizi watatu walikaidi kuondoka ambao ni pamoja na Afro Plus Industries Ltd. Baada ya hapo wavamizi watatu waliokataa kuhamaw akafungua kesi mahakamani dhidi ya Efatha Foundation Ltd wakipinga kuhamishwa. Ni vyema ieleweke kuwa Efatha Foundation Ltd iliponunua eneo hili thamani yake ilijumuisha majengo yaliyokuwa yamejengwa humo na Mang'ula Mechanical and Machine Tools Company Ltd iliyofilisika. Hii ni pamoja na jengo alilokuwa anatumia Afro Plus Industries Ltd ambalo linalalamikiwa kubomolewa na kwamba tumeharibu mali. Jengo lililobomolewa ni mali ya Efatha Foundation Ltd na siyo mali ya Afro Plus Industries Ltd kama ilivyodaiwa.