zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
nenda Tanzania Heart institute pale kinondoni yupo Dr Lijah, ama muhimbili yupo Dr Elly, hawa ni wataalam wa magonjwa ya ngozi toka chuo pekee Tanzania, KCMC.
Hii sasa ni kituko.
nenda Tanzania Heart institute pale kinondoni yupo Dr Lijah, ama muhimbili yupo Dr Elly, hawa ni wataalam wa magonjwa ya ngozi toka chuo pekee Tanzania, KCMC.
Hii sasa ni kituko.
Usidanganyike sweetdada, dr. Mgonda ndie consultant Dermatologist hapa Dsm.
Magonjwa ya ngozi ni magumu sana kutibu matinabu yake yanaweza kuchukua miezi mitatu au zaidi ndio uanze kuona mabadiliko. Matatizo mengine huwa hayatibiki kabisa.
The best thing rudi Kwa dr. Mgonda mueleze atakupa way forward
Ikishindikana kabisa nitafute kwenye togholo@gmail.com. Nitakushauri chakufanya.
Weka bayana watu wajue sio unafichaficha we unajua ni wangapi wana matatizo kama hayo au ndo mpk wakupm acha mambo yako bana????
1) Ponda Ponda aloe vera (mshubiri mwitu), chemsha, chuja halafu kunywa maji yake kutwa mara 2 (kila masaa 12).
2) Ponda ponda aloe vera kabla hujachemsha, sugulia taratibu kwenye ngozi yote iliyoathirika.
(angalia usichemshe uliokwisha-jisugulia mwilini, hiyo tupa).
Fanya kwa siku 7, ulete majibu hapa hapa.
Mkuu kuwa mwangalifu sana, asilimia 60% ya Aloe Vera pori (Magaka)ni sumu! na hatari zaidi ni yale yenye magamba makubwa makubwa!
Hata kama kule kwa madokta wapo bize, hapa utashauriwa mambo ya kisiasa tuu.Samahani nimeleta mada hii huku kwa sababu jamii dokta hakuna aliyerespond na watu wengu mnajikita kwenye jukwaa la siasa..nisaidieni na samahaani
Samahani nimeleta mada hii huku kwa sababu jamii dokta hakuna aliyerespond na watu wengu mnajikita kwenye jukwaa la siasa..nisaidieni na samahaani
Wanajamii wenzangu nawaomben wale wanaojua tiba mbadala kwa ugonjwa wa ngozi, upo mwilini kama mba, yani unapausha ngoz kwa kutengeneza kama viduara viduara. Nimetumia dawa nyingi sana za hospitalini unaisha na badae unatokezea tena,DAWA ZA KUPAKA NA KUMEZA nimetumia nyingi mno, tafadhali nawaomba msaada kwa dhati nipate pona.
Natanguliza shukran zangu kwenu.
Nadhani ni karibu na Jangwani kwani ndiyo pamekuwa kama pfisi za Heads of Dept nyingi pale sasa hivi, au tuseme opposite na post office za MUCHS