Hizi shuhuda zimenitisha mnoMzee naweza kukubaliana na wewe cos kwenye mtaa nilio kulia kuna nyumba ilijengwa na rubani miaka ya tisini mwanzoni ilipandwa hii miti ilivyo komaa tu yule rubani akafa akaacha familia yaani watoto wa nyumba moja wakaanza hadi kushikiana visu kwa sababu za kijinga tu hadi ndugu wakaingilia kati na kuwatenganisha familia nzima hadi mama yao na kuacha nyumba tupu ndio hali ikawa shwari lkn hadi leo hii mpangaji yoyote atakae panga pale lazima afulie kama ni kazi atafukuzwa tu hadi sasa limebaki jengo zuri lkn ni gofu watu wanaliogopa wanao kuja kupanga ni wageni kutoka mbali. Kwa factor hii unsnishawishi na saizi hii miti ni mikubwa haswa.
Kisa cha pili hapo hapo mtaani kuna mkenya alikuja kuwekeza tz na akapata uwanja hapo hapo mtaani na kujenga jumba lake na watoto wote ndani kuwaona ilikua ni wanavyo rudishwa na magari kutoka shule. Nae alipanda hii miti huwezi amini amechoka saizi watoto wanaranda randa tu mitaani hadi wale ambao sio wa kishua nao wanawashangaa maana wamezidi kuzurula. Yaani hadi sio poa
Wakuu hii habari inaweza ikawa kweli bora nyumba ukaizungusha mipera watoto wale hadi wawabebee wenzao shule kuliko hii miti ya kizungu
Mtani yule aunt yangu alikuwa na huo mti kwake, mti umekuwa mkubwa sana sana,Hizi shuhuda zimenitisha mno
Mtoto kasimama juu ya kapu la kuweka nguo chafu kajinyonga, na kafa.[emoji24][emoji24][emoji24]Mtani yule aunt yangu alikuwa na huo mti kwake, mti umekuwa mkubwa sana sana,
Siku hiyo binti yake wa miaka 8 ametoka shule, gari imemleta hadi gatin, mama mzazi yupo, baba mzazi yupo, bibi mzaa mama yupo na mjakazi pia yupo.
Mtoto kaingia ndani kama ilivyo kwa watoto atatupa beg sebuleni sweta koridoni, soksi huko viatu huko.
Kidogo mama anaingia ndani anashauti wewe mtoto weka nguo vizuri.
Mama kaondoka kidogo kwenda town wengine walibaki.
Kidogo mjakazi anaingia ndani anaita baba baba njoo muone huyu anapenda michezo ya hatari.
Baba anaingia ndani kukuta mtoto kaingia chumba cha bafu yaani pana room ya kuanika vinguo vyao vya ndani palikuwa na kakamba ka manila, yaani ile manila wameigiwa mara 3 hivyo kamba imefungwa ili waanike vinguo vyao vya ndani.
Mtoto kasimama juu ya kapu la kuweka nguo chafu kajinyonga, na kafa.
Mtaa mzima pamoja na wafiwa walitoa ile miti.
Hata kuni zake hakuna aliyetumia.
Continue Rest in Paradise mjukuu.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nasikia kila ashok tree juu yake kabisa kule huwa Kuna nyoka mkubwa anakaa, nyoka yule ambaye alimlagai Eva akala tunda.. J3 ni kweli?
Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
mkuu mshana ukiukata huo mti na ukafeli kuimaliza mizizi yake chini je! utakuwa hujafanya kitu apo? vipi baada ya kuikata aliyeikata hatopata madhara?[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nina mwezi sasa korodani zinauma kweli. nafikiri itakuwa huu mti, naukata kesho. Shxzx type