Ujue Mti chonganishi

Kwa upande wang, sioni kama huo mti una maana yoyote huo ni mmea tu, lakini kitu kimoja ambacho nataka watu wajue ni kwamba imani inajenga kitu na kikawa, endapo ukiamini hivyo huo mti usijaribu kuupanda kwenu coz utaua kama ulivyoamini but kama hutambui na huabudu vitu kama hivyo haiwezi tokea.
 
Mti chonganishi
 

Attachments

Mshana Njoo.

Kuna mahala nimekuta watu wakizungumzia juu ya Mti mmoja hivi unaopenda kupandwa sana kwnye Garden majumbani na njee ya nyumba.
Ni mti wenye matawi mazuri unaokua kwa kasi, na una kivuli kizuri huku matawi yake yakikua kwa ngazi yakitawanyika.

(Nadhani mtaukua mmeeleweka kwa maelezo nikipata pia picha nitamuwekea).
Kwa kesi nyingi Mti huo umehusishwa na kufarakanisha ndoa ,ndoa nyingi ambazo wamepanda mti huo kwenye maeneo yao utakua hazina maelewano na hata nyingi kua zimevunjika kabisa.

Video ya maelezo yake ipo sema nashindwa kufanya Upload.
Mti huu unependwa saana.

Karibuni.
 
Most likely ndio huohuo.. Je ulianzisha mada mpya? Imeunganishwa huku kwakuwa tayari kuna hii mada
 
Watuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.


Haki ya Mungu wewe utakuwa ni mwanamme wa Dar tu maana nyie kwa ukosefu wa nguvu za kiume hamjambo. Natanguliza pole kwako.
 
Daah hii habari nimeisikia last week kwa mtu,na akanipa kabisa na ushahidi,nyumbani ninao mmoja sina budi kuukata maana lisemwalo lipo
 
Wengine wanauita mti wa uzazi wa mpango kwa jinsi unavyoacha intervals kati ya matawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…