Ujio wangu

Ujio wangu

Nina hofu sana na ujio wako Amwit52! Huu ujio wako ni ya ngapi humu? Shaka nyingi sana kwako.
 
warembo wa humu ndani. si unajiona mfano wewe ulivyo mrembo?
Asante sana. Hivi unajua wengine wote waliweka picha sio zao? unawaona warembo ila sio picha zao... wewe hii picha ni yako?
 
Asante sana. Hivi unajua wengine wote waliweka picha sio zao? unawaona warembo ila sio picha zao... wewe hii picha ni yako?

kumbe? bila shaka hii ni yako. ndio nilipokuwa mdogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom