mkuu ukifanya mchanganuo wa username yako unapata mwitA25!!!ndio nani huyo?
Karibu sana, nakusubiri... Nikuandalie kinywaji gani?nipo njiani nakuja mrembo.
We unaonekana ulikuwepo kwa jina jingine tena nahisi wewe ni WA KUSOMA*coz mgeni hawezi kuja kwa ukali kiivyo tena siku ya kwanza. Mi nina hofu nawewe kuwa ni GAMBA.Ndio nimeingia hivyo JF. Mkipenda nikaribisheni au mnune.
Baridi au? na kitafunio gani?Togwa.
Haya, karibu. Utaangalia movie au album tu peke yake?room temperature mpenzi. bila kitafunwa.
Unaweza, hamna shaka. Ukitaka unaweza hata kutumia kama profile picture ili watu wajue kabisa kua tuna uhusiano wa karibu (blushing)album pekee mambo ya movie sio mpenzi. Je naruhusiwa kutoa picha moja na kuondoka nayo nikiipenda?
aarrrrrrrrgghhh! mambo gani haya ya kumfananisha mgeni ambaye hujawahi kumuona?
Karibu sana,ila herufi zako ukizipanga upya zaja kama mwita25.Teh teh.Ndio nimeingia hivyo JF. Mkipenda nikaribisheni au mnune.
Samahani A, labda ni pacha maana sura hadi unavyoongea mnafanana!