Ujio wa Yesu na Dini

Fikiria kdogo husiwe mtanzania ww mtoa mada! ukiongelea wazungu unamaanisha ngoz nyeupe bila shaka...?? bas ujue wapo maskini Pia unaongelea wazungu kiutawala hasa miaka ya 1900...bas ujue pia wao kw wao walitawaliana isitishe ROMA ilikuwa na nguvu kipindi hiko cha wakna YESU km hv leo hawa wazee wa minyuklia so WEW ulitaka dini zije vp ikiwa uku kuna wamasai kule wahispania mara ubelgiji ingewezekana vp FIKIRIA kwanza acha urevi
 
ukikuta mtu haamini katika uwepo wa Mwenyezi Mungu muumba wa kila kitu,without the shadow of doubt huyo ni mtu ni kichaa
Kichaa ni mtu anayesema kuna Mungu bila kuwa na ushahidi.
 
hawakuwa na imani yoyote,walipovami misri na kukuta imani ya watu weusi wsliamua kuiba maandko na kutengeneza biblia,uzuri hawakuwa smart sana kwenye kuiga,biblia imejaa contradiction za kijinga jinga sana
Mkuu Wazungu walikuwa wapagani kama waafrika na wao ndo walianza kuamini Ukristo wakauleta na Africa.Biblia ina contradiction kwako kwa sababu huielewi.Hata nikikupa kitabu cha wachawi hutakielewa maana Unatumia akili yako ya kawaida na hauko kwenye position.Biblia ni spiritual matters tafiti....sio Abbott au V.k Stroud.
 


Bibilia ipi unayoiongea wewe ??? Queen james version, King james version, New King james version , NIV, RSV, Douay ..........
 
Fanya mema,maana yasemwayo yapo na yanakuja.ole wako.
 
hujui kitu wewe,waafrika walikuwa na imani(soma the book of the coming forth,wazungu wanakiita book of the dead) uone hao wazungu walivyocopy and paste hicho kitabu(hayo maandiko yalikuwepo zaidi ya miaka 5000 kabla ya biblia feki)...kama unahitaji nikupe contradiction kumi za kwenye biblia...wazungu hawakuwa smart walipokuwa wanacopy ile papyrus.,achana na ujinga wa kuamini uzushi wa wazungu blackman
 
Hebu na wewe tunga utunzi wako ufanikiwe.
because i am no liar so i can not create and spread lies like white people bewitched you with the word of yahwe and the bible...wake up!!!
 
Akili ndogo isiendeshe akili kubwa umepewa akili na utashi kujua njia ipi sahihi ndo maana umetofautishwa na kiumbe yeyote duniani na ukawekwa juu ya vyote sasa kazi kwako kujua makusudi ya mungu ni nini kukuumba na kuku leta duniani mungu yupo ni halisi kabisa na wokovu upo na pia kuna maisha mengine baada ya haya kwa hiyo jitafakari utaishia wapi bora uamini utafute kuzijua siri za mungu alie hai utapata kitu kuliko kutafuta kuzijua siri za wakoloni zilizokwisha pita hazikusaidii
 
Kichaa ni mtu anayesema kuna Mungu bila kuwa na ushahidi.
Unajua mahakamani unaweza ukapeleka ushahidi kabisa na ukakataliwa ikiwa umeupata ushahidi huo kinyume cha taratibu.

Hivyo kila jambo lina taratibu zake,wewe unaposema watu wanaamini mungu bila ushahidi kwa maana ulitaka uwepo ushahidi kabisa ndipo watu WAAMINI kuwa kuna mungu.

Hii inaonesha hata hujui unachokibishania na kukijadili hapa taratibu zake zikoje,na ndiyo maana mara nyingi huwa napenda kusema kuwa hili jambo la uwepo wa mungu ni la imani hivyo jambo la imani lina taratibu zake ila cha kusikitisha watu wanatumia akili nyiiingi na nguvu zao kujadili jambo hali ya kuwa wako nje ya taratibu.
 
Kwahiyo wazungu ambao unasema wao walikuwa hawana imani ina maana walipotengeneza hiyo biblia feki na ndipo walipoonza kuitumia na kuanziisha kuwa na imani kwa mara ya kwanza?
 
Wewe uliwai kumwona huyo Yesu
 
Mbona mwisho wa siku aliokoka before hajafariki? Aliaminije sasa hii habari ya Yesu
 
Kwahiyo wazungu ambao unasema wao walikuwa hawana imani ina maana walipotengeneza hiyo biblia feki na ndipo walipoonza kuitumia na kuanziisha kuwa na imani kwa mara ya kwanza?
wale waasisi kimsingi sio kwamba walianzisha ukristo kwa ajili ya kuwa na imani na kwenda peponi au vitu kama hivyo,walianzisha ukristo kama chombo muhimu kucontrol watu,na walianza kuenforce hiyo version yao ya ukristo misri walipoiba maandiko,hii ilikuwa muhimu kutawala wakati ule,wazungu wa sasa hivi wengi wanaujua ukweli huu,wavivu ndio wanajifanya kumjua yesu...hakujawahi kuwepo kitu yesu..it is a make up story..rejea uzi wangu humu humu kuhusu ufeki wa biblia na yesu...nakumbuka na wewe ulikuwa mchangiaji kwenye ule uzi,nilitoa shule mubashara.
 
Linanitatiza hili suala la wazungu kutokuwa na imani yeyote maana hata afrika tulikuwa na imani zetu.
 
Eti Mtemi flani alikua mchawi balaa anaweza kausha shamba kwa kulinyooshea kidole!.. na bado ALIPIGWA na AKATAWALIKA!...
Muamini Bwana Yesu Kristo Mfalme wa yote!..
 
Linanitatiza hili suala la wazungu kutokuwa na imani yeyote maana hata afrika tulikuwa na imani zetu.
mkuu somo la wazungu jinsi walivyoibuka ni refu kidogo,lakini kimsingi civilization imeanzia africa na misri(kemet) ndio chimbuko,wagiriki na badae warumi walipovamia misri walikuta watu weusi wakipractice imani ambayo badae wazungu waliikopi na kuiita ukristo,hakukuwepo mungu anayeitwa yahwe/yehova wala allah.
 
Kwa maana hiyo hata kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja pia wasio amini dini wana maendeleo kiasi kikubwa kuliko wenye kuamini dini?

Hebu fafanua.

Yes..walio na maendeleo wengi hawaamini katika dini kama moja ya chombo au nyenzo ya kuwafanya waendelee..dini yaweza kuwa kofia tu kwa wachache wao.
 
Mbona mwisho wa siku aliokoka before hajafariki? Aliaminije sasa hii habari ya Yesu

Nadhani angakuwa hai angelitujuza but conceptya wimbo wake ukijiuliza kwa undani yaweza kukupa picha nyingine.
 
Well said. Congrats. Ndiyo walewale wa kila siku m niombeeni wakati sisi hatujui na wala hauko tayari kukiri madhaifu yako. What if ulishawahi kuua mtu tukikuombea dhambi ya kiburi hauwezi kupona kwa sababu tunachoombea sicho. Wanachosahau ni kwamba kufa kwa Yesu pale msalabani pazia lililokuwa likifunika patakatifu pa patakatifu lilipasuka na tangu hapo mahusiano ya mwanadamu na Mungu ni ya mtu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…