Huwa kuna sehemu maeneo ya Mnazi mmoja kuna kama chuo kidogo huwa naenda , darasa ni kwa saa moja Huwa mara chache naenda na gari, ila Kuna kitu hakipo sawa, yaani haiwezekani nipaki kwa saa halafu bili ije 5000
Hicho chuo kipo kama gorofani, juzi wakati nashuka nakuta mtu wa parking yupo na simu yake anarekodi tu magari aliyokwisha kuyapiga picha tayari bila kujua hilo gari limeondoka au laaa
Sasa mi naamini ipo hivi, kama usipongea nae ukampooza hata buku ili asikuscani Yani wewe ndo utabeba gharama ya hiyo slot siku nzima
Serikali tunaomba macho kwenye hili