Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Sasa km mwanamke analipia bill, naul anatumia yake, kodi ya apartment analipia yeye, kwann amnyenyekee mwanaume??
Hata hapa Africa mwanamke anayefanya hivyo, hawezi kumnyenyekea mwanaume wake.
NDO MAANA BONGO MTOTO KIUME AKITAKA KUINGIA KWENYE RELATIONSHIP MAMA YAKE HUWA WA KWANZA KUWA NA WASIWASI KWAMBA MWANAE ANAJIINGIZA KWENYE MATATIZO.
Miaka kadhaa hapo nyuma nilibaatika kwenda California-san Fransisco & San Diego katika harakati za maisha nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana jinsi mahusiano ya wenzetu yalivyo
Kwanza unakuta wenzetu wakitoka out mfano kufanya shopping Kila mtu anajinunulia vitu vyake.huku tz Binti hata kama ana kazi vocha nayo ataomba
Wakipanga appointment Kila mtu anakuja Kwa kujilipia usafiri wake au anajipambania usafiri huku kwetu utasikia anasema Hana nauli na ni nyimbo ya Kila siku
Yani wenzetu Kwa asilimia kubwa katika Kila wanachofanya watahakikisha Kuna cost sharing na hii imepelekea wanawake huko kuingia kwenye mahusiano kutafuta real love na sio kujikwamua kiuchumi kama hawa dada zetu wa kibongo ambao wanapenda red carpet treatment ilihali hata chupi zao hawajui kusafisha..
Wadada wengi wametoka kwenye familia masikini za kutupwa lakini wakiwa kwenye mahusiano ukamtoa out atajidai kula kuku na kubakiza ilihali kwao kuku ni mpaka Christmas Tena wageni wakija au atataka umnunulie masimu ya gharama wakati hata asset Moja ya maana Hana ya kumuingizia kipato
Kiukweli Kwa hizi tabia za hawa mademu wa kiafrika nadiriki kusema ni kupe na hawastahili kbsa kupewa nyongeza kama hawatojitambua
Wanawake wengi wa kiafrika hasa wa kizazi kipya ni
1.Walemavu wa akili
2.Wanyonyaji
3.Wasaliti
4.Wabinafsi
5.Wanapenda umalkia
6.Wanajamba hovyo
7.Hawana upendo
8.Hawathamini utu
9.Hawapendi kuwajibika
10. Hawana ushauri wa maana
[emoji1545] Sina Ganda Wala risasi[emoji1545]
Swala siyo hawana tabia mbaya, ni kwa sababu wanakua ugenini na wanaona acha waishi kwa heshima, hapa bongo TZ Kwa sasa kupata mwanamke mwenye nidhamu ni wa kuhesabu, na wao ni wale waliozaliwa kutoka 1988 kurudi nyumaHiyo California, San Diego labda za Mabox, hakuna wanawake wenye shida ya tabia na matatizo kama wa America weusi.
Hakuna wanawake wenye value USA kama wa bongo, wanathaminiwa sama kwa tabia njema, compared to Negros.
Ndo maana wa Tanzania wengi tulioishi au kukaa Marekani, alikuwa akija binti tokea Bongo tunapambania, hata kuibiana.
Swala siyo hawana tabia mbaya, ni kwa sababu wanakua ugenini na wanaona acha waishi kwa heshima, hapa bongo TZ Kwa sasa kupata mwanamke mwenye nidhamu ni wa kuhesabu, na wao ni wale waliozaliwa kutoka 1988 kurudi nyuma
Hawa wa TikTok, Facebook, Instagram na tamthilia ni ujinga kua nao
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapana.
Haipaswi kuwa hivyo.
Unyenyekevu wa mwanamke kwa Mwanaume wake ni agizo toka Kwa Mungu bila provision yoyote.
Haijasema mke anyenyekee kwa mume anauempa hela tu.
Ni zaidi ya hivyo.
Msipotoshe.
Upendo haipaswi kuwa na masharti.
Kwamba unamtii mwenye hela tu ?! Haipaswi kuwa hivyo.
Mpaji ni Mungu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna upendo usio na masharti wewe. Mungu mwenyewe anatupenda ila katupa masharti kibaaaaao.
Tafuta pesa uwe "mwanaume" uheshimiwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna upendo usio na masharti wewe. Mungu mwenyewe anatupenda ila katupa masharti kibaaaaao.
Tafuta pesa uwe "mwanaume" uheshimiwe.
Huyo anaeombwa ni ndege wawili wafanana nao mkuuDemu kama huyu ni kupiga na Kusepa Yani mtu bila aibu et anaomba 100 aisee...😂 Kituko hichi ni Bora zaidi hata akuombe 50000 kuliko 100 inaonyesha n namna gan ana njaa huyu demu
Ila bora uwe nazo tu. Imagine hauna, amani ya moyo inatoka wapi?Kuwa na pesa ni vizuri lakini sio kwamba ndio utakuwa umefanikiwa na kuwa na utoshelevu wa kila kitu.
Kuna watu wana hela lakini hawana Furaha wala amani ya moyo na nafsi.
Hiyo ni nadharia tu.Upendo haipaswi kuwa na masharti kwa mujibu wa wajuvi wa mambo.
😂😂😂Hahaha umeongea ukweli mtupuHuyo anaeombwa ni ndege wawili wafanana nao mkuu
Una date namna gani na mwanamke wa kuomba Mia kama yeye mwenyewe sio 100 nae 😄
Wewe unaielewa wapi bhana au unataka kuleta ubishoo tu hapa? Kweni mimi unanijua mpaka useme Marekani siielewi? Kweni wewe ukitaka kumaanisha unadhani utakua unaielewa kuliko hapa Tanzania au Kenya labda? Acheni ubishoo bhana, watoto wa kike tunawajua vzr sanaNafikiri, naamini Marekani huielewi.
Wewe unaielewa wapi bhana au unataka kuleta ubishoo tu hapa? Kweni mimi unanijua mpaka useme Marekani siielewi? Kweni wewe ukitaka kumaanisha unadhani utakua unaielewa kuliko hapa Tanzania au Kenya labda? Acheni ubishoo bhana, watoto wa kike tunawajua vzr sana
Unataka kuleta ubishoo wa kumaanisha kua umezamia America miaka mingi kwa hiyo unaisemea kuliko hata nchi yako, huo ni ushamba ndugu
Ni kazi kweli, hapa jirani kwangu kuna apartments, wanawake 3 wamepangiwa nyumba na waume za watu. Kupenda mserereko kutatuuaPoint hapa kwann mnageuza wanaume Kuwa wazazi wenu, Yani unakuta demu Kila kitu anataka umhudumie aisee... Anatoka kwao anaenda kupanga Ili wanaume wamhudumie Yani kudate na mwanamke saiv unakua mzazi wake.
Kama kwenye Ndoa ni sahihi kuhudumiwa.
Hapo n mwendo wa Kugongwa tu wakipewa Mimba wanaachwa wanatafutiwa wengine,, Alfu wanaanza kulia Single mother!!! Yani Hawa ndugu zetu huwa hawangalii future yaoNi kazi kweli, hapa jirani kwangu kuna apartments, wanawake 3 wamepangiwa nyumba na waume za watu. Kupenda mserereko kutatuua