Ujinga wa Wanawake wa Kiafrika

1. Ndege wafananao...........
2. Kama unadate mwanamke mko ndani ya mkoa mmoja anakuomba nauli, wewe ndo mwenye matatizo ya akili au huyo ndo mnafanana.
3. Lakini mbona siku wanaume mmejitambua? Mbona mnawafata wenyewe kuwapeleka out na vyakula mnawanunulia wenyewe kelele za nini sasa?

4. Kwahiyo mnataka hela yenu iliwe na nani?
5. Wanaume acheni ubahili mkifaga hela yenu mtaachaga benk waanze kuigombania ndugu ambao hata hawakuwapa huduma ya kiroho.
 
Mtoa mada kasema mtafute love na Sio ajira kupitia love
 
Hata marekani feminists wapo wengi we call them gold diggers and there millions of them. All women are devils with only a few cases who are trying to be different
 
Point hapa kwann mnageuza wanaume Kuwa wazazi wenu, Yani unakuta demu Kila kitu anataka umhudumie aisee... Anatoka kwao anaenda kupanga Ili wanaume wamhudumie Yani kudate na mwanamke saiv unakua mzazi wake.
Kama kwenye Ndoa ni sahihi kuhudumiwa.
 
Upo sahihi nakurekebisha kwenye namba moja; hawana akili kabisa.
 
Point hapa kwann mnageuza wanaume Kuwa wazazi wenu, Yani unakuta demu Kila kitu anataka umhudumie aisee... Anatoka kwao anaenda kupanga Ili wanaume wamhudumie Yani kudate na mwanamke saiv unakua mzazi wake.
Kama kwenye Ndoa ni sahihi kuhudumiwa.
Umeuliza vyema sana na wanajidai kuzunguuka sjui Hilo swali wasichoelewa nin
 
Demu kama huyu ni kupiga na Kusepa Yani mtu bila aibu et anaomba 100 aisee...😂 Kituko hichi ni Bora zaidi hata akuombe 50000 kuliko 100 inaonyesha n namna gan ana njaa huyu demu
Hana njaa basi tu vituko na hapo sikumpa maana najua hakosi 100 ni attention tu nilikua nimeuchuna ndio akatuma hio kuniamsha wakati kaniambia yupo msibani ulisikia wapi msibani watu wanaenda kuchat?
 
Wanakata stimu hao kuna dem nipo nae kwa group moja ndio nipo kwenye process za kumtafuna aisee juzi nikamtext mambo akajibu poa kinyonge sana nikamuuliza mbona kinyonge shida nini akasema et hana hela nikamuuliza ela ya nini akajibu et hela ya kula hapo hapo nikakata mazoea
 
Hahaha duh Safari ni ndefu Sanaa.
Huenda kweli alikuwa na njaa chief.
 

Mada ilitaka kumaanidha jinsi wanawake wa kizungu wanakuwa independent na africa kuwa tegemezi.

Ndomana nimesema si kweli, asilimia kubwa wanataka kuhumiwa pia, ila kwa sababu tabia zao zinakuwa too mucj stress, ndomana wanaume wanaona ni bora waende Dini kila mtu ajilipie cos lolote linaweza kutokea.

Ila wanawake wa kiafrika ni bora kuliko wao, cos atakupigia, kufua, atakuheshimu na mambo mengine tofauti ila wao waliowengi sana hawawezi kufanya hvyo.

Kumuhudumia mwanamke wa kiafrika ni sahihi iko chini ya himaya yako kuliko Rangi yeupe huwez cos yeye ana maisha yake licha mmeoana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…