Nani anakudanganya???
mbona watoto wa magufuli wanasoma shule za serikali na mkewe ni mwalimu wa shule ya serikali.
mbona watoto wa magufuli wanasoma shule za serikali na mkewe ni mwalimu wa shule ya serikali.
Bei elekezi kwenye nauli za mabus na daladala, mafuta ya magari, maji na umeme uliona powa tu. Sasa imekuja sehemu yako unayonyonyea wananchi umeona nongwa eeh? Subiri uisome namba. Na bado zinakuja bei elekezi kwenye kodi ya nyumba za kupangisha, guest house na gharama za hospitali. Mtanyooka tu
HUDUMA YOYOTE INAUZWA! KWA HIYO KILA HUDUMA NI BIASHARA! KUMBUKA: DUNIANI KOTE NA SIKU ZOTE NI VITU VIWILI TU YINAVYOUZWA: 1. BIDHAA. 2. HUDUMAKwanza mleta mada jiulize, hao wenye shule waliomba kutoa Huduma au kufanya biashara?
kabla ya kuanza kutukana Ikulu jitukane mwenyewe kwanza mpumbavu wewe...
nisaidie ni kwa nini watu mmeambiwa na serikali yenu kuwa inatoa elimu bure lakini hamtaki kuwapeleka kwenye hizo shule za bure?!BORA UMESEMA, SIO KILA MTU AJIPANGIE BEI TU, FIKIRIA KUNA SHULE YA TANGU MWAKA 1990 KILA MWANAFUNZI MPYA ANALIPIA MAJENGO!! MPAKA SASA INGETAKIWA ITAIFISHWE MAANA HAYO MAJENGO SIO YAKE TENA YAMESHALIPIWA!! LAKINI BADO WANATOZA TU, DAWATI LINAKAA MIAKA ILA KILA MWANFUNZI MPYA ANALIPIA, UKAGUZI NI WA SERIKALI ILA UNALIPIWA!!
HAKUNA BIASHARA ISIO NA UTARATIBU, SHULE SIO STAREHE KAMA KUNYWA BIA!nisaidie ni kwa nini watu mmeambiwa na serikali yenu kuwa inatoa elimu bure lakini hamtaki kuwapeleka kwenye hizo shule za bure?!
Mimi binafsi sioni kama Ikulu inaleta ujinga wa kiujamaa hapana kwa mtizamo wangu Ikulu ina lengo lakusaidia jamii yenye kipato cha chini na kati kuweza kumudu gharama za shule zinazotozwa na shule binafsi na hakuna pahala ambapo mzazi analazimishwa na serikali kumpeleka mwanae shule hizo bali kuweka utaratibu wa ada ni wazo zuri lenye masilahi mapana kwa watu ili kuondoa ugumu wakulipia gharama zingine,, ukiangalia ada tunazolipa shule za serikali ni ndogo sana pamoja na malazi, chakula ni muhimu kuangalia umuhimu wakuisaidia jamii ifurahie matunda ya uhuru kwa kila mtanzania na si kubagua makundi ya wenye nacho na wasionacho.Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!
Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".
Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!
Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!
Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!