'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

Ulichokiandika ni porojo,hakuna serikali duniani ambayo haifuatilii na kuweka utaratibu katika sekta binafsi.
Sio vizuri kuihushanisha ikulu na maswala yako uchwara ambayo hayana kichwa wala miguu

Kufuatilia na kuweka taratibu ni kitu kimoja.

Kupanga price ceiling ni kitu kingine tofauti kabisa.

Don't get it twisted.
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
Sidhani km kila kitu kitaachwa kijiamue chenyewe hatutafika! Jambo la maana Serikali na Wamiliki wa shule binafsi wakae kuanalyze gharama za uendeshaji na kupanga bei itakayokidhi pande zote.
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
ISITOSHE HULAZIMISHWI KUMPELEKA MWANAO PRIVATE
 
Katika soko huria serikali inatakiwa kuzibana shule au taasisi nyinginezo zinazofanya biashara to comply with standard. Shule zishindane kwa huduma bora which eventually will determine true market price. Wamiliki wa Shule binafsi wamefanya kazi kubwa kwa Taifa hili, na huwezi kuwalaumu leo kwa sababu serikali ilikuwa haijawahi kuweka regulatory machinery kwenye eneo hili. Wazazi wengi wana kilio na kiwango cha elimu ya watoto kwa hiyo emphasis ya serikali kwa sasa inatakiwa iwe Value for Money Service. H
Kama serikali kupitia regulatory body kama SUMATRA wameweza kupanga madaraja ya mabasi na kupanga viwango tofauti vya nauli....... hili pia linaweza kufanyika kwa shule binafsi. Ni shule gani zinatakiwa ziitwe International school, etc etc. na ada zake

Blanket Regulation itauwa elimu zaidi
 
Eti ujinga wa Ikulu tehetetehehh!!nisamehe labda kama sijaelewa maana ya funga na fungua semi kwenye sentensi yako.
 
mwisho wa ubishoo ni majukumu,tatizo lako unasomeshwa na Loan Board bado ungekuwa unasomesha mtoto ndio ungeelewa kinachozungumzwa humu,sio kila uzi una respond kwingine unapita kimya kimya
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
 
Umeguswa wewe kwenye ilo ndo maana unakuwa mkali kasome masharti ya uanzishwaji wa shule ndo urudi apa.Policy ipo watu walikuwa wakiiby pass.
Kila sector ina bei elekeZi mbona hulalamiki mafuta kupewa bei elekeZi au bse hauko uko?
Basi acha na wenye mafuta wajipangir bei watakavyo tuone kama patakalika apa
Povu la nini? Kama serikali haikuona watu wana "bypass" tutegemee nini kuhusu ada elekezi toka kwa watu wasio na shule wenye chuki na maendeleo wenyewe wakiwa hawana mwelekeo?
 
Du. . . . . !!! Kuna nyuzi nyingine huwa nazisoma halafu nakosa jibu kwmb wahusika huwa wanadadisi au ndio mwisho wa uwelewa wao??!!.

Mh. Magufuli atabaki tu kuwa Jembe mpaka iyo siku uzalendo utakapomuisha na cjui itakuwa lini.

Baba tumbua majipu baba maana hakuna namna.
 
Tuliondoka lini kwenye ujamaa? Katiba iliyopo sasa inasema mfumo wetu ni upi? Tukubaliane serikali isisimae ada. Je kwa nini bei ya mafuta tunataka isimamiwe? na nauli kwa nini zisimamiwe? Turuhusu kila kitu kisimamie na soko ili liwe soko holela na si huria.Na elimu ya juu kila mzazi abebe mzigo wake. Hoja za kipuuzi. Nielezeni mnaoujua na kuamini ubepari ni njia sahihi Harvard university anasoma RAIA yeyote wa Marekani mwenye akili.?
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

wa marekani na waingereza walipobanwa na economic recession waliurudia ujamaa itakuwa sisi ??
 
Hivi badala ya kuwapangia karo ni kwa nini wasiseme 'kutozwa kodi'!?
hapo hata mmiliki wa shule akisema anatoza $50,000 na mwingine anatoza Sh. 200,000/- serikali ikisema VAT ni 18% ina maana kila mmoja wanaolipa karo kubwa watatozwa zaidi na hivyo lengo la uchumi sawa kwa 'matajiri kuwachangia masikini' litatimia kirahisi.
Hata nje ya jf, tuache kudanganyana jamani; hivi itatokea siku kweli gharama za matibabu ya Agha Khan zilingane na Temeke au Sekou Toure!?
 
Comments za great sinkers zinaonesha kwa nini nchi hii uko hivi ilivyo.

Wakimaliza kupanga bei elekezi ya ada kwa shule binafsi basi wahamie kwenye bei za guest house, vyakula alafu watupe na bei elekezi kwenye nguo.
 
Katika soko huria serikali inatakiwa kuzibana shule au taasisi nyinginezo zinazofanya biashara to comply with standard. Shule zishindane kwa huduma bora which eventually will determine true market price. Wamiliki wa Shule binafsi wamefanya kazi kubwa kwa Taifa hili, na huwezi kuwalaumu leo kwa sababu serikali ilikuwa haijawahi kuweka regulatory machinery kwenye eneo hili. Wazazi wengi wana kilio na kiwango cha elimu ya watoto kwa hiyo emphasis ya serikali kwa sasa inatakiwa iwe Value for Money Service. H
Kama serikali kupitia regulatory body kama SUMATRA wameweza kupanga madaraja ya mabasi na kupanga viwango tofauti vya nauli....... hili pia linaweza kufanyika kwa shule binafsi. Ni shule gani zinatakiwa ziitwe International school, etc etc. na ada zake

Blanket Regulation itauwa elimu zaidi
Eti ujinga wa Ikulu tehetetehehh!!nisamehe labda kamma sijaelewa maana ya funga na fungua semi kwenye sentensi yako.
 
Ha ha...
Recall Gov't roles under free market economy; regulatory,distributive,allocative!....
that is to say serikali inawajibika kufanya hicho inachofanya ila kwa mazungumzo na wadau ili "isile kwao" na waweze kutoa huduma!
 
Umeguswa wewe kwenye ilo ndo maana unakuwa mkali kasome masharti ya uanzishwaji wa shule ndo urudi apa.Policy ipo watu walikuwa wakiiby pass.
Kila sector ina bei elekeZi mbona hulalamiki mafuta kupewa bei elekeZi au bse hauko uko?
Basi acha na wenye mafuta wajipangir bei watakavyo tuone kama patakalika apa
BORA UMESEMA, SIO KILA MTU AJIPANGIE BEI TU, FIKIRIA KUNA SHULE YA TANGU MWAKA 1990 KILA MWANAFUNZI MPYA ANALIPIA MAJENGO!! MPAKA SASA INGETAKIWA ITAIFISHWE MAANA HAYO MAJENGO SIO YAKE TENA YAMESHALIPIWA!! LAKINI BADO WANATOZA TU, DAWATI LINAKAA MIAKA ILA KILA MWANFUNZI MPYA ANALIPIA, UKAGUZI NI WA SERIKALI ILA UNALIPIWA!!
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
Kwenye vitu vya muhimu kama Elimu,Afya na Ulinzi hutakiwi kuwaachia wafanya biashara wafanye wawezavyo
 
Huna majazi(Uelewa) na maana halisi ya serikali!!wananchi masikini&matajiri(matabaka)ungeijua husingepoteza muda wa kilalamika na kuhukumu badala ya kuomba kueleweshwa kwa nini serikali ifanye hivo?
 
Back
Top Bottom