Ujinga utaachwa pale tutakapoacha kuhukumu watu kwa hisia na assumptions zisizo na msingi. Mtu akija JF kama mwanaume au mwanamke, jambo la msingi ni hoja aliyokuja nayo, si kumchunguza jinsia yake kwa kubahatisha.
Kama post haikupendezi, ipite tu. Kama una hoja, jibu hoja. Lakini kugeuza kila mjadala kuwa “huyu ni mwanamke anayejifanya mwanaume” au “huyu ni mwanaume anayejifanya mwanamke” ni kupoteza muda na kushusha kiwango cha mjadala.
JF ni sehemu ya mawazo na mijadala, si ofisi ya sensa ya kuhesabu wanaume na wanawake.
Kuwa na heshima mimi nitongozwe na mwanamke?fungua pm yako nikutumie namba yangu nikutongoze
Mi ujinga siachi mpaka ndoa ya Mbaga Jr na BICHWA KOMWE - ipite au mpaka Vishu Mtata akubali kuwa yeye ni HaszuAtakuwa anabamizana na Poor Brain
Nitake radhi mkuu, level za bichwa sijazifikia, mm n mbu kwake 🙌Mi ujinga siachi mpaka ndoa ya Mbaga Jr na BICHWA KOMWE - ipite au mpaka Vishu Mtata akubali kuwa yeye ni Haszu
Aiseeee ila bichwa anavokusifia na kikubali ndo mana nasemaga mbaga jr ni mwanaume mwenye kupendwa humu jf yaan unapendwa na bichwa asilimia mia mpaka anashindwa ku express feelings zake humuNitake radhi mkuu, level za bichwa sijazifikia, mm n mbu kwake 🙌
umeingia list ya kurogwa nyambaf. Dharau utaachaKuwa na heshima mimi nitongozwe na mwanamke?
Astakafirilah shekhe, mm mbona sina hizo taarifa 😂Aiseeee ila bichwa anavokusifia na kikubali ndo mana nasemaga mbaga jr ni mwanaume mwenye kupendwa humu jf yaan unapendwa na bichwa asilimia mia mpaka anashindwa ku express feelings zake humu
kumbe hata wewe umeona hilo
😂😂😂😂 acha umbea we kijana wa GEN ZAiseeee ila bichwa anavokusifia na kikubali ndo mana nasemaga mbaga jr ni mwanaume mwenye kupendwa humu jf yaan unapendwa na bichwa asilimia mia mpaka anashindwa ku express feelings zake humu
Anatuchonganisha tu huyo mtoto mnaku sanaAstakafirilah shekhe, mm mbona sina hizo taarifa 😂
Kweli umejipanga 😹😹😹**** wewe acha kunivuruga matako ya mbwa wewe kacheze na mamako wewe. Leta matako yako niyaonyeshe ujue punda mzee wewe
Mniite niwape mchanga mpute 😹Mimi kuna mbuzi mmoja cku nikimjua hata kama miaka mia lazma tuzichape. Yaan ajipange tu
😹😹😹Ww posti bana achana na habari za kike kwa unavyojielezea tu inaonesha wewe ni mwanamke
Mniite niwape mchanga mpute
Hii kazi ya mtu kupost kitu JF mnaanza kusema huyu ni mwanamke anakuja kiume, cjui ni mwanamme anakuja kike kike muache. Mfano mim ni me afu mtu kabisa na akili zake anasema mimi n dem pumbavu zenu. Hiyo sensor ya kuhesabu wanaume na wanawake nani kawapa? Kama huna cha kukoment achana nayo na sio kuleta mambo ya kidwanzi mbele zangu vichwa mandazi nyie.
Leta mapovu yenu niwatoe nyoro hapa. Akili mnajitoa hambakizi hata za kuvukia barabara. Hapa hakuna mtu anamnunulia mtu simu au bundle aje jf kupangiwa cha kupost mbwa nyie.
Kweli umejipanga
mamako amekupa taarifa zangu leo nilivyompga mti. NtakurogaPole dada... Labda jina lako ndo linaonekana kama la kiume. Lakini basi tu nao hawaelewi. Umeandika mwandiko wa kike kabisa huu. Hata ungejiita Juma lakini tone na mwandiko vya kike kabisa.. sema ulivyowachamba hapa hawarudia tena kusema we ni kama mwanaume.
Pole dada... Labda jina lako ndo linaonekana kama la kiume. Lakini basi tu nao hawaelewi. Umeandika mwandiko wa kike kabisa huu. Hata ungejiita Juma lakini tone na mwandiko vya kike kabisa.. sema ulivyowachamba hapa hawarudia tena kusema we ni kama mwanaume.mamako amekupa taarifa zangu leo nilivyompga mti. Ntakuroga