nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
Ujinga ni kulaza gari ya >M80 nje(ccm), wakati mkeo analala ndani....
Weka yako hapa tufurahi pamoja.
Weka yako hapa tufurahi pamoja.
ujinga ni kununua simu la laki nane halafu msg bado unaandika kwa vidole gumba!!!😱
Gari unapanda barabarani na nyumbani utapanda gari???Ujinga ni kulaza gari ya >M80 nje(ccm), wakati mkeo analala ndani....
Weka yako hapa tufurahi pamoja.
Gari unapanda barabarani na nyumbani utapanda gari???
Mi hata sijui. Ila nadhani vyote vinastahili kuwa ndani wkt wa usiku
Ujinga ni kuona kitu kina thamani kuliko mtu...
Ujinga ni Kuvunja sheria zilizowekwa ili uonekane mjanja au wa mjini..!!
Uko juu aiseee
Ujinga ni kufikiri weupe ndio uzuri.
Ujinga ni kupanda bodaboda na kuvaa helmet kibishoo as if ajali nayo itakuja kibishoo
ha! haaaaaa! Umenichekesha kinomaaaa!!