The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,793
- 123,829
Ujinga ni kuamini ya kuwa utakuwa masikini mpaka kufa kwako..!!
Ujinga ni kufikiri ya kuwa utakuwa masikini mpaka kufa kwako..!!
Ujinga ni kusuka nywele kwa 50000+ halafu ukaanza kukopa hela ya kula
Ujinga ni kumnunulia kimshtobe kuku wakati mama watoto wako umemwachia buku.