nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
Ujinga ni kulaza gari ya >millioni 80 nje, au ccm hafu Mke analala ndani..
Ongeza yako hapa ya kimatani zaidi.....
Ongeza yako hapa ya kimatani zaidi.....
Ujinga ni kulaza gari ya >millioni 80 nje, au ccm hafu Mke analala ndani..
Ongeza yako hapa ya kimatani zaidi.....
mods hamishieni huu uzi jukwaa la jokes
Na kama huna nyumba yenye geti na mlinzi gari ya milion 80 bado wakati wako wa kuinunua haujafika.
unamaanisha mke alale nje then gar lilale ndani ama?
Ujinga ni kudhani gari lina thamani kuliko binadamu
nyambaffffff