Ujinga Ni.........

Ujinga Ni.........

Joined
Mar 21, 2012
Posts
20
Reaction score
14
Ujinga Ni............
1.Ujinga ni Kumenya pili pili.
2.Ujinga ni kuuliza Konda yupo wapi wakati
umepanda piki piki.
3.Ujinga ni Kupiga Kandambili Kiwi.
4.Ujinga ni kesema Rose muhando Malaya cz
anajua hadi utamu wa yesu.
5.Ujinga ni Kumwambia Dereva wa Boda Boda
akuekee Mzigo Kwenye Bootiii.
6.............
7............
Ujinga ni...........
# Hebu tupia Maujinga Mengine ktk reply hapo
 
Ujinga ni kusema wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao...
 
Namba 4 hapo juu nimeipenda japo mi ni uamsho toleo la 3.
UJINGA NI KUVAA TISHETI YA NJANO IMEANDIKWA KASI MPYA,ARI MPYA, NGUVU MPYA. KISA ETI WEWE NI MPENZI WA YANGA JAPO CHAMA LAKO CDM
 
1. Ujinga ni kuamini kila CCM ikishinda uchaguzi basi wameiba kura

2. Ujinga ni kuamini CDM inaingia ikulu 2015 kisa tu huipendi CCM

3. Ujinga ni kuhisi kuwa hata wewe ukipewa nchi unaweza kuongoza kisa tu JK anaongoza nchi wakati hakuna cha mana anachokifanya

4. Ujinga ni kuamini mjukuu wa Bi Kidude akiolewa na mtoto wa Wassira (Tyson) watazaa .........
 
Fred-el Suárez;4955133 said:
Ujinga Ni............
1.Ujinga ni Kumenya pili pili.
2.Ujinga ni kuuliza Konda yupo wapi wakati
umepanda piki piki.
3.Ujinga ni Kupiga Kandambili Kiwi.
4.Ujinga ni kesema Rose muhando Malaya cz
anajua hadi utamu wa yesu.
5.Ujinga ni Kumwambia Dereva wa Boda Boda
akuekee Mzigo Kwenye Bootiii.
6.............
7............
Ujinga ni...........
# Hebu tupia Maujinga Mengine ktk reply hapo

ujinga ni kwenda ubungo terminal na kuulizia usafiri wa pemba
 
ujinga ni kuziba masikio ili usione na kufumba macho ili usisikie
 
Ujinga ni kupanda City treni (Mwakiembe's) ukiwa umebeba Chapati na juisi ya kula njiani...
 
ni ujinga vijana kujadili ujinga wakati hakuna uhakika wa ajira wala kesho yetu.
ni ujinga kutumiwa na viongozi wa kisiasa.
Ni ujinga kuwa na mademu wengi eti dent, same age na jimama flan.
 
Ujinga ni kuoa wake wengi kisa eti dini inaruhusu

Ujinga ni kuoa mke mmoja kisha unakuwa malaya wengi kisa dini hairuhusu kuwa kuoa wake wengi ila inaruhusu umalaya.

Ujinga ni kuruhusu ushoga nyumba za ibada kisa haki za binadamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom