Ujinga na kukosa exposure ni tatizo kubwa sana kwa wana CCM wengi

yaani nyie ni hopeless kabisa, yaaani ni tanzania peke yake ndo nchi nlioona wanaolilia investors waje kuwapa ajira! yaaani nchi ina rasilimali ambazo unaweza turn to cash lakini nyie mlichoona kwenye rasilimali ni ajira tu, hopeless kabisa nyie
Wewe ni kielelezo cha wana Ccm waliokosa akili na exposure. Ni nchi gani duniani zimeendelea hapa duniani bila uwekesaji wa nje???

Unadhani Dubai walioinyanyua ni watu wa ndani?? Singapore walioinyanyua ni watu wa ndani? Malyasia walioinyanyua ni watu wa ndani? China walioinyanyua ni watu wa ndani????

Una elimu gani kwani?
 
Acha kujidhalilisha unadhani kuwa na malighafi ndo kuwa tajiri? Teknolojia unayo?? Pesa unazo???

Nani kakwambia kwenye Bandari ya Bagamoyo wafanyakazi wote watakuwa wachina??? Kawalishe ujinga wako waburundi wenzako huko chato!

Kwenye ndege kuna mtu aliwaambia wanunue ndege bila business plan?
 
Itoshe tu kusema asante Mungu kutuondolea huyu dhalim
 
Mkubwa inakuwa vigumu sana kuelewa pointi yako. Ukiangalia wazee wetu wengi waliofanya kazi nzuri kwa ajili ya nchi hii wengi ni watu wa shamba (wengine wanasema wazi kabisa kuwa ni wakulima au watoto wa wakulima). Naweza kutoa orodha ndefu sana ya kukuthibotishia kuwa washamba wamekuwa na mchango mkubwa sana tena wa maana kwenye nchi hii. Hapa sina maana kuwa wa shamba wote ni watu wa maana.

Lakini pia hao wasio wa shamba (sio lote )kuna wale ambao wamevuruga sana taifa letu, kuna mifano ya watu ambao hujiita watoto wa mini tao wakipewa madaraka wanaita ulaji na nafasi ya kutanua, na sio kufanya kazi. Ndio hao utakuwa maneno 100 kazi sifuri.

Sasa sijui unaposema ushamba sijui maana yake nini maana ukiangalia siku hizi hata watu wa shamba wanatumia sana internet na wanaingiza pesa, kuliko wasio washamba ambao kwao internet ni facebook zaidi na whatsapp, japo kuna wengine pia wanatumia kibiashara.

Unaposema exposure unazungumzia kwa maana ipi? Kuna waliozunnguka dunia nzima lakini kazi sifuri, kuna wale waliokaa nyumbani tu lakini wanafanya kazi nzuri.
 
Msio na bahati ni nyie mliobaki wajane kutwa mnalia-lia kama kunguru aliyepoteza mayai yake.

tuna bahati maana hakuna miradi ya jpm alianzisha itasimama,hata kama ufipa,nyumbu,mbung'o mnapata tabu.

tutaendelea na kazi zake tu.
 
Kwa kifupi mshenzi
My friend Lord denning. Longtime-no see. Hapo tu kwenye bandari ya Bagamoyo tafadhali tuonyeshane kwanza mkataba. Usiingie kwenye band wagon ya wasimuliaji ya “kusimulia “ faida au hasara ya mradi lakini mkataba hauonyeshwi.
Hizo lugha za sisi hatutatoa senti hata moja ni Wachina wameamua kuwekeza, msije mkatupelekea ya Sri Lanka, Mombasa, Zambia na kwingineko.
 

mapimbi wanaojiita wajanja wamejaa hasira baada ya kugundua pamoja na kujinasibu ni watoto wa mjini,kitu wanaweza waonyesha watu ni tatoo kwenye mabega
.

jpm amejua kuwashape,kwa sasa ni hasira tu zimejaa.hata hoja hawana.
 

unauliza jambo la msingi kwa kilaza aliyekosa hata adabu kwa watu wazima na marehem!!!!!
 
Kwingine kote sawa ila mradi wa Bagamoyo tulikuwa tunapigwa na kuumizwa vibaya na Wachina kama yale masharti aliyofafanua Kakoko ndivyo yalivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…