Ujerumani na ufaransa waitosa marekani waungana pamoja norway na spain sakata la icc

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,199
3,592
Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa
..

Na kuitosa marekani
 
Kilichofanyika Gaza ni mauaji ya kigaidi, hali inatisha ni vile tu vyombo vya habari vya magharibi havisemi, lakini ingekuwa si Israel imefanya hivyo ni taifa lenye uhasimu na west, kwanza ingeandaliwa nakala ya video ya kutisha iliyoandaliwa na studios kubwa duniani kama MGM, NetFLix, Paramount, SONY, BBC, Fox n.k halafu inapigwa promo za hatari kuzungumzia ugaidi iliofanyika.

Halafu baada ya hapo ICC wanafuatia , halafu wanaingia NATO, hapo anatafutwa mtu hadi apatikane.

Netanyahu amefanya uhalifu watu elfu 33 unaua. Jamaa amekosea sana.
 
Kwa akili yako kuna mwenye ubavu wa kumkamata Netanyahu?
Kiukweli sidhani kama Netanyahu akienda SA watamkamata, labda siku akitoka madarakani, uwezo wa kumkamata wanao lakini consequences zitakazojitokeza hakuna atakayetaka hilo.

Ni kama issue ya China kumpiga mikwara yuke naibu spika wa bunge la US asiingie Taiwan Nancy Pelosi, dunia nzima imekaa inatizama China itafanya nini? Yule mama kaingia Taiwan na China ikabaki kutizama tu, hawakufanya lolote. Kuna ule mtandao huwa unaonyesha na ku trace safari za ndege, siku hio watu wameingia ku trace ndege ya Nancy hadi mtandao ukazidiwa ukatoka online.
 
S
simpangii ila ukweli ni kwamba hawezi kwenda huko kwa sasa coz atakamatwa kweli,ataenda kwenye nchi ambazo haziungi mkono warranty ya ICC tu hata Norway wameshasaini hati ya kumkamata endapo ataenda huko
Si wakamsake hapo kwake
 
Hakuna taifa lolote hapo ulaya LA kumkamata, Netanyahu. Nyie mnafikili ni rahisi.
 
Back
Top Bottom