Israel yaua mwanadiplomasia wa Ufaransa Ukanda wa Gaza, Paris yataka maelezo

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936

Dec 17, 2023 10:21 UTC

Shirika la Habari la Ujerumani limeinukuu Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa ikisema kuwa mwanadiplomasia wa nchi hiyo amefariki dunia kutokana na majeraha aliyoyapata wakati wa mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza.
Taarifa iliyotolewa na Wizara Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kwamba afisa huyo pamoja na wenzake wawili na wanafamilia alikuwa amekimbilia katika nyumba ya mmoja wa wafanyakazi wenzake katika ubalozi mdogo wa Ufaransa huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza, karibu na mpaka na Misri wakati waliposhambuliwa na jeshi al Israel.
Taarifa hiyo imesema kuwa nyumba hiyo ilishambuliwa na Israel Jumatano iliyopita, na kusababisha mwanadiplomasia huyo kujeruhiwa na kuua watu wengine 10.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imeongeza kuwa, mwanadiplomasia huyo - ambaye alikuwa akifanya kazi na serikali ya Ufaransa tangu 2002 – aliaga dunia baadaye kutokana na majeraha, na kwamba "Ufaransa inalaani shambulio la bomu la Israel lililolenga jengo la makazi ambalo lilisababisha vifo vya raia wengine wengi."

Ufaransa imeitaka Israel "kutoa ufafanuzi kamili kuhusu mazingira ya shambulio hilo haraka iwezekanavyo."
Israel ilianzisha vita dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mapema mwezi Oktoba mwaka huu na hadi sasa imeua shahidi karibu watu 20,000 - wengi wao wakiwa watoto na wanawake. Makumi ya maelfu na wengine wamejeruhiwa, na Wapalestina zaidi ya milioni moja wamelazika kuwa wakimbizi baada ya makazi na nyumba zao kuharibiwa kwa mashambulizi ya pande zote ya jeshi katili la Israel.
 
Wapumbavu hao kila mtu wanammaliza.
20231217_154407.jpg
 
Hao wanadiplomasia walikuwa wanafanya nini Gaza wakawa walionywa waondoke.Huo si uduanzi?!!
 
Wote wamoja hao.
Israel, USA, Uingereza, Ufaransa, Egypt, Saudi Arabia, UAE, Oman, Bahrain, Qatar, Kuwait, Jordan.

Wote ni kitu kimoja.

Huyo mwanadiplomasia alikuwa anafanya nini kwenye mapigano huko?
Nyinyi vichaa wa dini hao freedom fighter wenu hivi ndivyo huwa fanya wa Africa wenzenu
 
Attachments

  • video_1702824138747.mp4
    5.5 MB
Nyinyi vichaa wa dini hao freedom fighter wenu hivi ndivyo huwa fanya wa Africa wenzenu
Wewe huelewi ulisemalo, tazama mazayuni baada ya kichapo cha kuingiliwa mpaka kwenye kambizao jana na leo, wameanza kutoka nduki wao wenyewe:

Walikua wanatafuta nini wakati mkubwa wa kazi alishatoa onyo kwamba hataki mtu yoyote atie pua hapo kwenye uwanja wa mapambano?
 
that is our brother blood of our own blood killed in cold hearted

aliwakosea nini hao?

Israel should do us a favor "kill Em all"
wipe out all of them for the future
Sasa na hao watoto wanao uawa na Israel waliwakosea nn Israel?
Israel mpaka sasa kasha uwa waandishi wa habari zaidi ya 75 wengine kutoka mataifa tofauti je hao waliikosea nn?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom