Ujenzi wa uwanja wa Afcon 2027 utakamilika?

Ujenzi wa uwanja wa Afcon 2027 utakamilika?

Inaitwa afcon 2027 kwa jina tu lakini itachezwa January-February 2028
Uwanja utakuwa 100%..
Tanzania itahost magrupu 3 kati ya 6....
Moja Dar, pili Arusha, Tatu Zanzibar.
Kwa habari ya uwanja wa Dodoma ni siasa tu
Afadhali waupige greda Kirumba wasimamishe stadium angalau ya 30,000 but modern one.
Dodoma lengo lilikuwa zuri sema watendaji upeo wao sidhani kama unatosha, maana nyumba binafsi Dodoma zipo hovyo sana, hata mahoteli, kumbi za starehe, masoko na muunganiko wa miundombinu mingine imekaa kilocal sana.
Dodoma haina Downtown.
Mwanza kwanza, Dodoma labda kizazi kijacho, waende taratibu.
 
Kiwanja kimoja, bonanza,tena hata hiyo amahoro haikua hivyo
Kwa vigezo vya viwanja 2026, Tanzania tunavyo zaidi ya nane,chamazi,namungo,kaitaba,kmc,isamunyo,mkwakwani,kwaraa
Suala hili umeongea kitu usichojua.
Azam Complex, Major Isamuyo, Mkwakwani, Kaitaba, Namungo, Kwaraa hivyo havikidhi vigezo.
Hiyo Azam Chamazi hatua za makundi na robo au zaidi za shirikisho na klabu bingwa Afrika hakiruhusiwi ndiyo maana wameenda Amani Zanzibar.
 
Nilitamani tuwe na uwanja wa kisasa kwa ajiri ya soccer pekee yake.
Kama Kenya walichofanya kwa uwanja wao mpya wa Talanta sports center wenye capacity ya 60,000.

Hem fikiria watu idadi hiyo wawe karibu na pitch.....
Utakuwa uwanja mgumu mno kwa visiting team.
 
Suala hili umeongea kitu usichojua.
Azam Complex, Major Isamuyo, Mkwakwani, Kaitaba, Namungo, Kwaraa hivyo havikidhi vigezo.
Hiyo Azam Chamazi hatua za makundi na robo au zaidi za shirikisho na klabu bingwa Afrika hakiruhusiwi ndiyo maana wameenda Amani Zanzibar.
Nimeonya watu wengi kudandia hii komenti,mimi nilimjibu kuhusu Rwanda kuandaa chan 2016
 
Mleta mada huna uelewa wa kanuni zinazo simamia mashindano ya afcon,viwanja vinahitajika sita tu sasa ukichanganya kenya Tanzania na Uganda huo wa arusha hata usingekuwepo hakuna shida
 
Yale yale,Miaka nenda rudi mall kubwa ni Mlimani city tu dar yote...CCM ni laana
 
Uka
Kwa mtazamo wangu huu uwanja hauwezi kukamilika sababu ni hizi

1)Kiwanja kipo maporini sana italazimika waanze kujenga miundombinu kama mabarabara , hospital , maduka n.k

2)Bajeti kubwa ya usalama hasa ulinzi mkali maeneo yote ya uwanja maana uko msituni

3)Pesa za afcon mkazitumia kwenye siasa mkasahau mradi kitawalamba tu .

4) Mradi umebakuza takribani miezi tu unadhani utakamilika pitch bado viti kufungwa bado kuweka mataa bado yaani ni zero

5) Mkandarasi akamatwe huwezi peleka kiwanja porini sisi sio sokwe .
6)Sasa mmeomba backup kutoka China wamalizie uwanja mshavurunda turudishe mpira kwa kipa wapewe rwanda.

Afcon inakuja kwenye nchi ambayo hata miundombinu kama barabara ni changamoto, maji hakuna, hospital hadi sasa hazijajengwa anyway ukichanganya siasa na michezo mwisho wa siku inakuaga hivyo .

Ukicheki uwanja wa kenya uko vizuri wamebakiza pitch tu wakamilishe facilities zingine nikumalizia tu
Uongozi mbaya husababisha miradi kufa .

Mliwambia how are you kumbe nahela hamna mlitegemea kukopa ili mkamilishe ujenzi , tajiri hanuniwi aya sisi yunataka uwanja ukamilike

Ukimamilika kwa wakati , uje hapa na picha yako umevaa gagulo, Tukusamehe
 
Kuna uwezokano nchi ikanyang'anywa uenyeji wa michuano hiyo na nchi nyingine hasa Rwanda ikapewa. Nchi ilikuwa imepandwa mzuka/mihemko kutaka kupewa kuandaa michuano hiyo na ikapewa zigo hilo! Sasa muziki wake umekuwa mnene na muda umebaki mchache uwanja na miundombinu yake haujakamilika. Mazingira ulipo uwanja huo ni porini/msituni/kichakani barabara na majengo ya huduma kuzunguka uwanja huo hayajajengwa na panatakiwa eneo hilo liwe kama mji mdogo uliochangamka
Nyie Wanyarwanda mmejaa huku tunawajua lazima mtetee kwenu.

Uwanja utakamilika na mbungi litapigwa.
 
Nyie Wanyarwanda mmejaa huku tunawajua lazima mtetee kwenu.

Uwanja utakamilika na mbungi litapigwa.
ule uwanja unaojengwa arusha we huoni uko porini, mpaka wajenge mitaa kuzunguka uwanja huo ni leo?
 
Back
Top Bottom