Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,748
- 5,117
- Thread starter
- #41
Faida ni kubwaKuandaa haya mashindano taifa linapata faida gani?
.itachochea sekta ya utalii kukua zaidi hapo pesa za kigeni tutapata nyingi tu
●Wafanyabiashara watanufaika sana maana bidhaa muhimu zitauzika kwa uharaka zaidi hivyo faida kubwa
Na mengine mengi km uwekezaji