Ujenzi wa uwanja wa Afcon 2027 utakamilika?

Ujenzi wa uwanja wa Afcon 2027 utakamilika?

angekuwepo magufuri huo uwanja ungekuwa ulishaisha lakini hawa waliopo walishapiga pesa na wameshajenga majumba yao ya kifahari walitegemea kama kawaida wakipewa vimasada watadanganyishia
Magufuli alijenga uwanja gani?..alikamilisha mradi gani?
 
Kiwanja kimoja, bonanza,tena hata hiyo amahoro haikua hivyo
Kwa vigezo vya viwanja 2026, Tanzania tunavyo zaidi ya nane,chamazi,namungo,kaitaba,kmc,isamunyo,mkwakwani,kwaraa
Umeona ulivo ZEZETA WEWE Yani sadio mane ukamchezeshe majaliwa stadium? Nimo NDANI nalia tuna VIONGOZI WA hovyo SANA, nalia KWA kweli INASIKITISHA sana
 
Uganda na kenya ndiyo waliojificha kwa tz, maana kenya hata kiwanja chenye sifa hawakuwa nacho
HAWAKUA NA KIWANJA? UNAFAHAMU UTARATIBU WA KUOMBA KUANDA MASHINDANO? HUWEZI OMBA WENYEJI HUNA KIWANJA, SASA WATU WA CAF WATAKAGUA WAPI? HUNA KIWANJA? HUNA AKILI WEWE BAKI KWENYE SIASA MPIRA HUUJUI KABLA TANZANIA HAJA OMBA WENYEJI YE NA WENZAKE WATU WA FIFA NA CAF WALIKUA WASHA FIKA HAPA NA WAKATEMBELEA VIWANJA KIKIWEMO CHA ARUSHA , AMIR ABEID, NA MI NILIKUWEPO HAPO UWANJANI KIPINDI HICHO NIPO ARUSHA, BAKI KWENYE SIASA HUKU SI MAHALA PAKO USILAZIMISHE, UNGE KUWA MKE WANGU NINGE KUA NAKULAMBA MAKOFI KILA SIKU, UBISHI TU WAKIJINGA
 
Unaelewa maana ya 'kiwanja chenye sifa'?!..una upeo mdogo sana
 
Tulia kwenu kenya na njaa yenu kali
Huku hakuna njaa? Mbona tunalialia kwa wachina wasaidie pesa za ujenzi wa uwanja. Uwanja wenyewe watazamaji 30k tu lakini bado unatushinda tunataka kuwakopa pesa wachina
Screenshot_20260208-122506_1.jpg
 
Hii fursa ikiondoka ndio basi tena, itabidi nchi isubiri miaka miaka mingi kuja kuandaa tena kama itakuwa tayari ina viwanja bora. Tatizo ni kuwa na viongozi wasiokuwa na maono ya fursa za nchi. Walipojenga uwanja wa mkapa waliona imetosha kumbe walitakiwa kujenga viwanja vingine katika majiji mengine ili iwe rahisi kuomba na kupewa kuandaa michuano mikubwa. Kuna michezo ya jumuiya ya madola, olimpiki na kombe la dunia lakini hakuna maono ya kujiweka tayari kuwa na viwanja vya michezo hiyo ili ukiomba kuandaa unapewa kwa kuwa tayari una viwanja
Kuandaa haya mashindano taifa linapata faida gani?
 
Back
Top Bottom