FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,801
- 46,925
- Thread starter
- #81
Ni kweli kabisa.., na miradi ya kinyerezi i-iv imeshika kasi na itatumia pia gesi yetu wenyewe..!Gesi si mnayo nyingi tu songosongo
Tatizo liko wapi?
Ni kweli kabisa.., na miradi ya kinyerezi i-iv imeshika kasi na itatumia pia gesi yetu wenyewe..!Gesi si mnayo nyingi tu songosongo
Tatizo liko wapi?
Subway zinategemea Sana umeme...zikija hapa tutakufa umeme ukikatika
Nilikuwa naomba kuuliza,
Hivi kati ya BRT na underground (subway) trains, mradi upi ungeweza kuleta matokeo makubwa na ya haraka?
Foleni za Dar usipokuwa na roho ngumu unaweza ukadondosha chozi barabarani kama mtoto mdogo, especially kama unawahi appointment muhimu.
Pia tufahamishane; mradi wa BRT una bajeti ya kiasi gani? Na je, pesa hizo zingetosha kutekeleza mradi wa ujenzi wa subway hapa Dar?
Pia tufahamishane, ni nini kimesababisha miaka yote hii ya uhuru? Tumeshindwaje kuwa na ka-flyover walau hata kamoja tu hapa Dar despite the incredible necessity na hasara yote hii tunayopata kutokana na foleni?
DON FRANCIS
Hahahahahah sisi wa kazi wa Dar ndoo tunapata shida sanaKwa hali ya Tanzania na maliasili tulizonazo tuna uwezo kabisa w kuwa na vitu kama hivi.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Gesi si mnayo nyingi tu songosongo
Tatizo liko wapi?
Ndoto za mchana
Kwa hali ya Tanzania na maliasili tulizonazo tuna uwezo kabisa w kuwa na vitu kama hivi.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Definitely underground rail system ingeleta matokeo ya haraka sana. Lakini hatuwezi, na kama sikosei Africa nzima hakuna underground trains. Angalia hii; Mradi wote wa BRT, 21km, gharama yake ni USD 290m.
Source; http://www.worldbank.org/en/news/pr...em-benefit-300000-commuters-create-80000-jobs.
Wakati ujenzi wa ungerground rail system, Kilometre 1 tu inagharimu around USD 200m!!!
Source; http://railway-technical.com/finance.shtml
Kwa maneno mengine, ujenzi wote huu wa BRT tunaoufanya tungeweza kujenga kama kilometre moja tu ya underground rail network.
Mkuu ni kujipanga tu.
Kama Ethiopia wenye njaa Kali choka mbaya wameweza sembuse sisi Tanzania