FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,801
- 46,925
Nilikuwa naomba kuuliza,
Hivi kati ya BRT na underground (subway) trains, mradi upi ungeweza kuleta matokeo makubwa na ya haraka?
Foleni za Dar usipokuwa na roho ngumu unaweza ukadondosha chozi barabarani kama mtoto mdogo, especially kama unawahi appointment muhimu.
Pia tufahamishane; mradi wa BRT una bajeti ya kiasi gani? Na je, pesa hizo zingetosha kutekeleza mradi wa ujenzi wa subway hapa Dar?
Pia tufahamishane, ni nini kimesababisha miaka yote hii ya uhuru? Tumeshindwaje kuwa na ka-flyover walau hata kamoja tu hapa Dar despite the incredible necessity na hasara yote hii tunayopata kutokana na foleni?
DON FRANCIS