AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Mkuu umeongea kwa hisia kali ni kweli ethiopia hawana resource za kutosha kutushinda sisi ila kwa ss wale wana vitega uchumi kama ethiopian airliner ambayo wana fleet 56 hapo ni 787 dream liner na airbus wanazo sisi hata ndege moja ukiondoa ya Rais hatuna na jana nimesoma ktk taharifa zao wame order kutengenezewa fleet 36 ndio shirika lenye ndege na safari nyingi dunian linalotoka Africa. Sisi tuna kila kitu ya kuzizidi nchi nyiingi za Africa tatizo ufisadi na kukosa maaharifa. Adis kuna hotel five star za kutosha hakuna mkoa tz ambao una hotel nying na bora kama Adis Ababa.
Ukiondoa Ethiopian Airline Hawa wahabeshi unadhani wana kitu gani cha kuizidi bongo?
Kama wao ni maskini wa kutupwa wamethubutu iweje sisi wenye uwezo tushindwe?