Ujenzi wa Subway Trains jijini Dar

Ujenzi wa Subway Trains jijini Dar

Umeme wa kueleweka kwanza, na maji safi ya bomba pia kwa wananchi wote wa TZ sio Dar peke yake...T hen ndio uanze kuwaza sijui ma fly over, subways na underground train.... Kwanza muweze maji tuu...

Jinsi ulivyoileta hii mada ndio picha halisi ya akili za Waafrika wengi na ndio maana likaitwa bara la giza!!

WAAFRIKA NDIVYO TULIVYO Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
FRANCIS DA DON
Sawa Brother, think big lakini wenzenu walimaliza haya ma shida ya maji na umeme kwanza ndo hayo mengine yalifuata. US au Ulaya umeme kukatika au maji kutotoka bombani ni mpaka mwisho wa dunia . Sasa hapo utatambua jinsi walivyo mbali.
 
Last edited by a moderator:
RanCIS DA DON
Nchi hii ipo kama walivyo wananchi wake.
 
Last edited by a moderator:
jembe_jembe
Well, binafsi nimegoma kutembelea private car siku za kazi. Ni mwendo wa daladala na bodaboda.., sijui wenzangu..
 
Last edited by a moderator:
Underground train inalipa kuliko hayo mabasi ya kasi. Wenzetu, mfano, London wanaongeza njia za underground tube wala sio kuingiza hadithi ya mabasi ya kasi kama vile hakutakuwa na magari mengine.
 
Huko chini kutakuwa kunanuka balaa maana mikojo, vinyesi, michupa ya maji safi sijui kutakuaje. Ukitaka kujua kutaakuje, nenda Kariakoo shimoni na utafiti wako uanzie pale.
 
Khaa!! Msitutafutie vifo vya Maji. Tutengeneze kwanza mitaro ya Maji ndiyo tuuanze kufikiria tunnel Kubwa. Msituue bana
 
Mkulubilanga
Nami ndio wasi wasi wangu.Hata hivyo serikali hii hata kama wataongoza ukawa kwa mradi mkubwa hivyo hawawezi. Labda wamwombe tajiri wa Africa Bw. Dangote awekeze au ashirikiane na matajiri wa hapa nchini kushirikiana mradi huo wa underground train.

Ikishindikana watangaze tender ya uwekezaji wa mradi huo kimataifa. Kwa njia hiyo atapatikana mwekezaji mwenye uwezo wa kufanya na huo usafi. Serikali itashiriki kupanga na kusimamia nauli na kulipwa kodi stahiki.

Nayo serikali ya CCM sijui kwa nini haijawaza hilo.
 
Last edited by a moderator:
Mauza uza
Ndugu sikubaliani na wewe kabisa kwani ijulikanavyo na uhalisia dar ndio kitovu cha uchumi usitegemee uchumi kukua kwa kukaa foleni masaa sita! We need to think on solutions.
 
Last edited by a moderator:
Yeah, joshuamwambene.com ila kwa gharama niliyozungumzia ni kwa full underground rail network, sio mixed kama Cairo metro (ambayo mostly ni elevated with tunnels).
 
Last edited by a moderator:
Mkulubilanga
Safiii mkuuu. Wengi hatuangalii hili tunafikiria subway. Wakati Bongo mvua ikinyesha kidogo Posta maji kibao.

Sasa hizo subway si zitajaa maji kila mara? Kiufupi hii nchi inaendeshwa kisiasa ndoo maana maendeleo yake yanaenda kisiasa tu. We huoni karibia uchaguzi ndo mnaletewa BRT sasa hizo fly over zitajengwa karibia uchaguzi wa mwaka 2020. Halafu na hizo 2 lane kuanzia Kimara mpaka Kibamba zitajengwa ukikaribia uchaguzi mwaka 2025.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom