Sina muda wa kusoma kila post nimekwambia. Niwekee hapa hicho kilichosemwa kuhusu Egypt na underground train nione kama hiyo inapingana na ninachokisema. Kama huwezi kufanya hivyo kaa kimya.
Tiba
'No research no right to speak', sasa kama huna muda wa kusoma umefata nini hapa? Una comment mambo usiyoyajua? Mradi tu uonekane na wewe umechangia or?