FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,801
- 46,925
- Thread starter
- #41
Kwa hizi mvua naanza kukuelewa...Khaa!! Msitutafutie vifo vya Maji. Tutengeneze kwanza mitaro ya Maji ndiyo tuuanze kufikiria tunnel Kubwa. Msituue bana

napenda sana watu mnaotoa maelezo kwa uhakika sio kubahatishaDefinitely underground rail system ingeleta matokeo ya haraka sana...
Lakini hatuwezi, na kama sikosei Africa nzima hakuna underground trains.
Angalia hii; Mradi wote wa BRT, 21km, gharama yake ni USD 290m.
Source; Additional Financing for Tanzaniaâs Bus Rapid Transit System to benefit 300,000 Commuters and Create 80,000 Jobs
Wakati ujenzi wa ungerground rail system, Kilometre 1 tu inagharimu around USD 200m!!!
Source; Railway Finance
Kwa maneno mengine, ujenzi wote huu wa BRT tunaoufanya tungeweza kujenga kama kilometre moja tu ya underground rail network.
Nilikuwa naomba kuuliza, hivi kati ya BRT na underground train subways, mradi upi ungeweza kuleta matokeo makubwa na ya haraka?
Foleni za Dar usipokuwa na roho ngumu unaweza ukadondosha chozi barabarani kama mtoto mdogo, especially kama unawahi appointment muhimu.
Pia tufahamishane, mradi wa BRT una bajeti ya kiasi gani?, na je pesa hizo zingetosha kutekeleza mradi wa ujenzi wa subway hapa dar?
Pia tufahamishane, ni nini kimesababisha miaka yote hii ya uhuru, tumeshindwaje kua na ka-flyover hata ka kifala ---- walau hata kamoja tu hapa Dar despite the incredible necessity na hasara yote hii tunayopata kutokana na foleni?!
DON FRANCIS
Natafuta tuition
Nadhani umejua cha kufanya october
Natafuta tuition
ya kujifunza kutukana kwa kiingereza.
Umeme wa kuelweka kwanza, na maji safi ya bomba pia kwa wananchi wote wa TZ sio dar peke yake ...then ndio uanze kuwaza sijui ma fly over, subways na underground train....kwanza muweze maji tuu...
Jinsi ulivyoileta hii mada ndio picha halisi ya akili za waafrika wengi na ndio maana likaitwa bara la giza!!
MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO- NYANI NGABU.
Nilikuwa naomba kuuliza, hivi kati ya BRT na underground train subways, mradi upi ungeweza kuleta matokeo makubwa na ya haraka?
Foleni za Dar usipokuwa na roho ngumu unaweza ukadondosha chozi barabarani kama mtoto mdogo, especially kama unawahi appointment muhimu.
Pia tufahamishane, mradi wa BRT una bajeti ya kiasi gani?, na je pesa hizo zingetosha kutekeleza mradi wa ujenzi wa subway hapa dar?
Pia tufahamishane, ni nini kimesababisha miaka yote hii ya uhuru, tumeshindwaje kua na ka-flyover hata ka kifala ---- walau hata kamoja tu hapa Dar despite the incredible necessity na hasara yote hii tunayopata kutokana na foleni?!
DON FRANCIS
Hapana,tena hapana,napenda wote waone waseme hapana,
mwezi uliopita nilikuwa China Mji mmoja mdogo kabisa jimbo la Si chuan,haya mambo ya kawaida kabisa kwao,tena ni Treni za chini ya Ardhi kutoka say Mbezi hadi Posta,ni kama 25km urefu.Treni inakimbia 260km/hr.kwasababu kuna vituo kama 8 kutoka kituo cha kwanza hadi cha mwisho speed inafikia say 140km inakuwa tayari imeshafika kituo kingine.Haya yanawezekana kabisa,Au waweke Fly over za Juu,mji huo huo kuna TWO WAY 20km Fly over,ni cement na Nondo tuu,ndo zimetumika.tena so simple unaanza na nguzo tuu,wao walitumia 3years kukamilisha hizo 20km za juu.
hapa issu ni NIA TUUU.
Nilikuwa naomba kuuliza, hivi kati ya BRT na underground train subways, mradi upi ungeweza kuleta matokeo makubwa na ya haraka?
Foleni za Dar usipokuwa na roho ngumu unaweza ukadondosha chozi barabarani kama mtoto mdogo, especially kama unawahi appointment muhimu.
Pia tufahamishane, mradi wa BRT una bajeti ya kiasi gani?, na je pesa hizo zingetosha kutekeleza mradi wa ujenzi wa subway hapa dar?
Pia tufahamishane, ni nini kimesababisha miaka yote hii ya uhuru, tumeshindwaje kua na ka-flyover hata ka kifala ---- walau hata kamoja tu hapa Dar despite the incredible necessity na hasara yote hii tunayopata kutokana na foleni?!
DON FRANCIS
Nadhani wange jenga over ground light railway network ingekua vizuri zaidi.Japo sijui gharama zake lakini inge okoa sana nafasi , inge punguza pia msongamano wa abiria kwa urahisi zaidi. Ila mwisho wa siku BRT ni dili la wakubwa kwa sababu mradi uki kamilika lazima ita tafutwa kampuni ya kupewa tenda.
Tuna UDA ambayo ni kampuni binafsi ya usafiri dar lakini naamini kuna vigogo wengi serikalini ambao waliona mbali kabla hata BRT haija anza kujengwa waka amua kujiuzia UDA kwa bei chee na tenda wata shinda wwao.Ni maoni yangu tu.
Mitaro tu inatushinda kujenga, tutaweza wapi hizo metro trains???
Definitely underground rail system ingeleta matokeo ya haraka sana...
Lakini hatuwezi, na kama sikosei Africa nzima hakuna underground trains.
Angalia hii; Mradi wote wa BRT, 21km, gharama yake ni USD 290m.
Source; http://www.worldbank.org/en/news/press-release/2013/01/15/additional-financing-tanzania-bus-rapid-transit-system-benefit-300000-commuters-create-80000-jobs
Wakati ujenzi wa ungerground rail system, Kilometre 1 tu inagharimu around USD 200m!!!
Source; http://railway-technical.com/finance.shtml
Kwa maneno mengine, ujenzi wote huu wa BRT tunaoufanya tungeweza kujenga kama kilometre moja tu ya underground rail network.
hiyo mwaka 2050 MUNGU akitupatia uhai
Kwa kukusaidia tu maana umeonekana huna uhakika na ulichoandika, Egypt ambayo ni nchi mojawapo ya nchi za Africa ina underground train, hivyo si kweli kwamba hakuna nchi ya Kiafrica ambayo ina underground train.
Tiba

Kwa nini unataka kunilazimisha kusoma kila kitu. Mimi nimesoma ulichoandika wewe mleta mada. Wengine hatuna muda wa kusoma kila comment. Kubali tu kwamba umechemsha na ni vizuri uka edit hilo bandiko lako kwa ni halisemi ukweli. Egypt kuna underground train, period.
Tiba
Mimi sio mleta mada nimechangia tu, ndio maana ulitakiwa kujua muendelezo wa hiyo post unayoidandia kabla ya kukurupuka. Suala la Egypt lilishazungumzwa! Hongera.., na wewe ume-post JF....!!!