yoga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 1,808
- 8,306
So tuseme, hawa wakoloni wa ujerumani nao hawakuwa na akili kuijenga reli hii ya zamani toka DSM mpka MZA?SGR Kwenda mwanza kwanza haina tofauti na ulivyojengwa uwanja wa ndege mkubwa chato
Iko hivi
Ukiwa mza, unafika Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi kwa haraka, so mza ni very potential kufikwa na SGR haswa kwa nchi kama UGANDA kupitishia mizigo yao via Lake VIctoria
Mwanza naturaly ni business centre kwa mikoa ya Shinyanga, Mara, Kagera, Simiyu na Geita! So nilazma SGR ifike ili kurahisisha usafiri wa BIDHAA na watu kwa mkoa na mikoa jirani!
Kutokana na Population ya watu idadi ya mizigo inayotoka DSM kuja mwanza then kuelekea kanda yaziwa ni mingi, the same to bidhaa haswa mifugo, (ng'ombe) mbuzi kodoo pamoja na mazao kama pamba kutoka MZA (kanda ya ziwa) Kwenda DMS
Zingatia mwanza ni second largest city and second to contribute kwenye pato lataifa, it means biashara ipo!