Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Ndio sio real , hiyo ni picha kutoka kwenye computer....ni project ambayo inaanza soon...Hizo picha za nyumba siyo halisi kabisa
Ndio sio real , hiyo ni picha kutoka kwenye computer....ni project ambayo inaanza soon...Hizo picha za nyumba siyo halisi kabisa
N
Uchoyo si kitu kuzuri mkuu hii ni ramani yangu.
ni lazima! ni vile tu wabongo tunafanya kazi kwa mazoea na kutofauta sheria, kanuni na taratibu zilizopo! naongea hivi kwa sababu mi ni mdau na nimeshiriki kwa namna moja au nyingine katika ku enforce taratibu hizo!Sio lazima uwe na BOQ
kwa kuwa uko nyuma ta keyboad ndio unalopoka hivyoKuna kabila fulani kule kwetu kanda ya ziwa wanapenda sana maghorofa na wakifika dar utawaona mimacho iko juu. Sina shaka na wewe ni wa kulekule.
hakuna sehemu niliyoandika nchi ya "Indonesia" au mwenzetu Dishi limeyumba kidogo?!sikuwa na maana hiyo ila jinsi ulivyo jibu ilionyesha kama vile Indonesian haikaliwi na watu wenye ngozi nyeupe basi nikajua Indonesia inakaliwa na waafrika
Wala sio ugomvi mkuu ni joke tu usikasirike
INATOSHAhakuna sehemu niliyoandika nchi ya "Indonesia" au mwenzetu Dishi limeyumba kidogo?!

Nabisha ! Sio lazima! ....ni lazima! ni vile tu wabongo tunafanya kazi kwa mazoea na kutofauta sheria, kanuni na taratibu zilizopo! naongea hivi kwa sababu mi ni mdau na nimeshiriki kwa namna moja au nyingine katika ku enforce taratibu hizo!
Nabisha ! Sio lazima! ....
Wapi ushaenda Halmashauri unataka Building permit ukaulizwa BOQ?
Otherwise , uende bank kwa ajili ya Mkopo.....
Uko sahihi Mkuu.Kila mtu anatamani asichokuwa nacho mkuu. Uzuri sisi tuna options ya kujenga ukitakacho, wale wanatamani hawana option. Ndio utofauti upo hapo.
Unatamani kulala juu ya ghorofa? Nchi kama Singapore watu wengi wanatamani japo siku moja tu walale nyumba ya chini, ground floor,Europe wengi wanatamani wangekua na uwezo wa kupata kiwanja ili wajenge nyumba ya chini! Anyway good lucky ila naamini ukisha lala ghorofani utaijua thamani ya kua na Nyumba ya chini,naongea kwa experience niliyoipitia.
Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...
Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....
Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....
Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......
Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....
Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......
Naamini umeelewa mkuu! Karibu!
Build with us!
Vp kama ulishafanyiwa kazi na surveyor na michoro ilishapitishwa ila bado kupata hati huwez kuendelea? Yaani, huwezi kufanyiwa architectural designs na ikapitishwa halmashauri iwapo tayari survey imefanyika ila bado hatua ya kupata hati?
duuuuuu labda rushwa inapita sasa au wanafanyaje kama hawafati hizi hatuaMitaani hasa kwenye makazi mapya tunaona maghorofa mengi yanajengwa kwenye viwanja vya kupimiana kwa miguu tu. Hamna hizi process zaidi ya mkataba wa mauziano ambao unasimamiwa na serikali ya mitaa. Hapa naona mambo mengii
Mshahara wako sh ngapi?? Weka range apa tuone!iyo Gorofa Unataka ya matofali ya kuchoma au ya kawaida au yale vibrated? Mpk sasa umekusanya mishahara mingapi na upo mkoa gani?Huwa natamani sana nilale kwenye ghorofa sasa katika pitapita zangu nikapata wazo la kujenga ghorofa moja chini kuwe sehemu ya kupikia tu na juu pa kulala.
Je naanzaje kupata vibali vya ujenzi? Kiwanja hakijapimwa lakini kipo maeneo ya makazi ya watu na wanaishi na kitanikosti kiasi gani kupata kibali na inawezekana kujenga hiyo floor ya juu kwa kutumia mshahara
OKNabisha ! Sio lazima! ....
Wapi ushaenda Halmashauri unataka Building permit ukaulizwa BOQ?
Otherwise , uende bank kwa ajili ya Mkopo.....
Mitaani hasa kwenye makazi mapya tunaona maghorofa mengi yanajengwa kwenye viwanja vya kupimiana kwa miguu tu. Hamna hizi process zaidi ya mkataba wa mauziano ambao unasimamiwa na serikali ya mitaa. Hapa naona mambo mengii
Mimi nilimaanisha kama mtu una eneo kubwa la kutosha (siyo katika mitaa iliyobanana unayoirejea), na surveyor amelipima na mchoro umeshapitishwa kabisa lakini bado mchakato wa hati, je unaweza anza mchakato wa architectural designs na mengine ili kujenga ghorofa?
Noted with thanks= good luck
labda bado dengue inasumbuaHuu uzi kila nikitaka kuweka picha inakataa
