manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Nilikua ninahamu sana kuona hii ramani mana ilikuwa inachelewa kuload. Duh!! Umeniweza mkuu![]()
Uchoyo si kitu kuzuri mkuu hii ni ramani yangu.
Nilikua ninahamu sana kuona hii ramani mana ilikuwa inachelewa kuload. Duh!! Umeniweza mkuu![]()
Uchoyo si kitu kuzuri mkuu hii ni ramani yangu.
Uzuri wa ramani hii haihitaji AC hata joto la tropical AC ni built in na solar power.Nilikua ninahamu sana kuona hii ramani mana ilikuwa inachelewa kuload. Duh!! Umeniweza mkuu
BOQ inaenda sambamba na michoro ili apate building permit!Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...
Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....
Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....
Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......
Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....
Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......
Naamini umeelewa mkuu! Karibu!
Build with us!
very informative,,lakini hivi hakuna kampuni inayoweza kunifanyia hizi process wakati mi nikiwa nimejinyosha,,unajua sipendi sana mizunguko zunguko.?Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...
Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....
Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....
Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......
Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....
Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......
Naamini umeelewa mkuu! Karibu!
Build with us!
Kweli kabisa hata mimi nitaiombaUzuri wa ramani hii haihitaji AC hata joto la tropical AC ni built in na solar power.
Teh teh teh teh![]()
Uchoyo si kitu kuzuri mkuu hii ni ramani yangu.
Zipo za kibongo 10% kama kawaida yao! unahamia baada ya miaka 2 nyumba inapasuka ufavery informative,,lakini hivi hakuna kampuni inayoweza kunifanyia hizi process wakati mi nikiwa nimejinyosha,,unajua sipendi sana mizunguko zunguko.?
Na wewe nae ndio umekurupuka toka usingizini? Au ulikua unaota? Wapi umeambiwa Indonesia wanakaa waafrika?!napita tu kumbe Indonesia wanakaa waafrika Asante kwa kutujuza mkuu
Jibu la kitu gani? Uwe unasoma comment na kuzielewa vizuri kabla ya kucomment.Tupe sababu sasa, mbona unazunguka hutak kutoa jibu?
Na wewe nae ndio umekurupuka toka usingizini? Au ulikua unaota? Wapi umeambiwa Indonesia wanakaa waafrika?!



sikuwa na maana hiyo ila jinsi ulivyo jibu ilionyesha kama vile Indonesian haikaliwi na watu wenye ngozi nyeupe basi nikajua Indonesia inakaliwa na waafrika Kuna kabila fulani kule kwetu kanda ya ziwa wanapenda sana maghorofa na wakifika dar utawaona mimacho iko juu. Sina shaka na wewe ni wa kulekule.Huwa natamani sana nilale kwenye ghorofa sasa katika pitapita zangu nikapata wazo la kujenga ghorofa moja chini kuwe sehemu ya kupikia tu na juu pa kulala je naanzaje kupata vibali vya ujenzi kiwanja hakijapimwa lakini kipo maeneo ya makazi ya watu na wanaishi na kitanikosti kiasi gani kupata kibali na inawezekana kujenga hiyo floor ya juu kwa kutumia mshahara
Jibu kwanini hawataki kukaa kwenye magorofa??Jibu la kitu gani? Uwe unasoma comment na kuzielewa vizuri kabla ya kucomment.
Wazee wa CRB....afanye hayo kwanza hizo za crb na Aqrb ni dakika za mwishoBila kusahau kwenda kupata stika.....la sivyo akiweka slub tu atasumbuliwa..... na akiwa na mkono mzito fine si chini ya m5 kama sikosei
Kama una kiwanja kimepimwa na una hati miliki, unaaaza kwenye Building permit baada ya michoro yote na vitu vingine. Muhimu.......na mtu akitaka kuvunja nyumba ya chini na kujenga ka-lodge ka kizushi ka ghorofa 1 napo inabidi apitie this whole process mkuu?
kama unapokea milion 10,unajenga tu bila tabuSwali lako la kama unaweza kujenga kwa kutumia mshahara humu ndani hakuna atayeweza kukujibu. Na kama wakikupa jibu litakuwa so dissapointing.
Zipo mkuu...bila wasiwasi....very informative,,lakini hivi hakuna kampuni inayoweza kunifanyia hizi process wakati mi nikiwa nimejinyosha,,unajua sipendi sana mizunguko zunguko.?
Boq inakuwa baada ya michoro( Detailed working Drawings)BOQ inaenda sambamba na michoro ili apate building permit!
Sio lazima uwe na BOQBOQ inaenda sambamba na michoro ili apate building permit!