Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...
Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....
Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....
Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......
Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....
Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......
Naamini umeelewa mkuu! Karibu!
Build with us!