Ujenzi wa ghorofa moja tu

High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,915
2,132
Huwa natamani sana nilale kwenye ghorofa sasa katika pitapita zangu nikapata wazo la kujenga ghorofa moja chini kuwe sehemu ya kupikia tu na juu pa kulala.

Je naanzaje kupata vibali vya ujenzi? Kiwanja hakijapimwa lakini kipo maeneo ya makazi ya watu na wanaishi na kitanikosti kiasi gani kupata kibali na inawezekana kujenga hiyo floor ya juu kwa kutumia mshahara
 
huwa natamani sana nilale kwenye ghorofa sasa katika pitapita zangu nikapata wazo la kujenga ghorofa moja chini kuwe sehemu ya kupikia tu na juu pa kulala je naanzaje kupata vibali vya ujenzi kiwanja hakijapimwa lakini kipo maeneo ya makazi ya watu na wanaishi na kitanikosti kiasi gani kupata kibali na inawezekana kujenga hiyo floor ya juu kwa kutumia mshahara
Ungespecify kabisa ukubwa .... na desihn ya vyumba + idadi na material gani itumike maana kuna ghorofa hadi za contenna za gari mkuu :):):):)
 
mkuu vvm juu kuwe na master tu na chini sehemu ya kupikia na je vibali vinapatikanaje vya kujenga
 
huwa natamani sana nilale kwenye ghorofa sasa katika pitapita zangu nikapata wazo la kujenga ghorofa moja chini kuwe sehemu ya kupikia tu na juu pa kulala je naanzaje kupata vibali vya ujenzi kiwanja hakijapimwa lakini kipo maeneo ya makazi ya watu na wanaishi na kitanikosti kiasi gani kupata kibali na inawezekana kujenga hiyo floor ya juu kwa kutumia mshahara
Unatamani kulala juu ya ghorofa? Nchi kama Singapore watu wengi wanatamani japo siku moja tu walale nyumba ya chini, ground floor,Europe wengi wanatamani wangekua na uwezo wa kupata kiwanja ili wajenge nyumba ya chini! Anyway good lucky ila naamini ukisha lala ghorofani utaijua thamani ya kua na Nyumba ya chini,naongea kwa experience niliyoipitia.
 
vibali vinapatikanaje mkuu
Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...

Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....

Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....

Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......

Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....

Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......

Naamini umeelewa mkuu! Karibu!

Build with us!
 
Mkuu weka sample ya kazi zako ulizozifanya na mawasiliano yako pia.
 
83cb2c39b4f1459485ce626e2e5b9e21.jpg

One...
71aaad01a1beb5f88181e79e4f087247.jpg
 
Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...

Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....

Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....

Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......

Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....

Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......

Naamini umeelewa mkuu! Karibu!

Build with us!
asante sana
 
Unatamani kulala juu ya ghorofa? Nchi kama Singapore watu wengi wanatamani japo siku moja tu walale nyumba ya chini, ground floor,Europe wengi wanatamani wangekua na uwezo wa kupata kiwanja ili wajenge nyumba ya chini! Anyway good lucky ila naamini ukisha lala ghorofani utaijua thamani ya kua na Nyumba ya chini,naongea kwa experience niliyoipitia.
hebu elezea na wengine tujue mkuuu
 
Ukikaa huku kwetu uswazi ndio utajua kwanini huyu bwana anataka kiota cha juu. Huku ni dirisha hapa ukuta, hakuna mzunguko wa hewa. Kiyoyozi kwetu anasa pia hatumudu ghalama ya stima, pia ghorofa yako menyewe zina uhuru kuliko yale ya kupanga watu 10+
 
Mkuu hongera sana kuwa na ndoto ya kumiliki ghorofa.Ukifanikiwa kuanza mchakato,karibu tuwasiliane kwa ajili ya kazi ya Structural design and drawings!pia ukihitaji ushauri wa kitaalam katika area hio karibu!
 
Mkuu captein umenifanya nicheke japo ni usiku wa manane na hizi Nyumba zetu za kupanga watadhani kuna misukule inacheka.
 
Back
Top Bottom