Ujenzi wa ghorofa moja tu

Ujenzi wa ghorofa moja tu

Unatamani kulala juu ya ghorofa? Nchi kama Singapore watu wengi wanatamani japo siku moja tu walale nyumba ya chini, ground floor,Europe wengi wanatamani wangekua na uwezo wa kupata kiwanja ili wajenge nyumba ya chini! Anyway good lucky ila naamini ukisha lala ghorofani utaijua thamani ya kua na Nyumba ya chini,naongea kwa experience niliyoipitia.
Mkuu weka nyama ya kutosha,usiishie hewani,maana wengi tuna altitude ya namna hiyo.kwa hiyo utuelimishe.
 
garama zote hizo za nini.we tafuta seremala chonga double decker kama za shule ya boarding kazi kwisha hamu haipo tena .kama ikijirudia tandika godoro juu ya dari maisha yanasonga
kha!,kha!kha!!!,we jamaa unataka kuvunja tu,mbavu za watu humu.
 
Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...

Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....

Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....

Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......

Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....

Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......

Naamini umeelewa mkuu! Karibu!

Build with us!

Bila shaka wewe ni Quantity Surveyor.
Umemfafanulia vyema
 
Ungespecify kabisa ukubwa .... na desihn ya vyumba + idadi na material gani itumike maana kuna ghorofa hadi za contenna za gari mkuu 🙂🙂🙂🙂
na huo mshahara wake pia
 
ila jamani hizi BOQ zina overestimate sana yaani unaweza ogopa kabisa kuanza ujenzi
 
ImageUploadedByJamiiForums1468675662.587207.jpg

Kila mtu anapenda ghorofa.
 
Mkuu foundation pekee Fundi anataka milion 8.
Na gharama za vifaa uwe na mili 18 kufikia kwenye hiyo foundation,ukimaliza hapo ndio unaanza kujenga tofari ya kupata vyumba....kwa hiyo kabla hajaanza jitasmini kwa mshahara wako
 
garama zote hizo za nini.we tafuta seremala chonga double decker kama za shule ya boarding kazi kwisha hamu haipo tena .kama ikijirudia tandika godoro juu ya dari maisha yanasonga
Daaaaaa........
 
Huwa natamani sana nilale kwenye ghorofa sasa katika pitapita zangu nikapata wazo la kujenga ghorofa moja chini kuwe sehemu ya kupikia tu na juu pa kulala.

Je naanzaje kupata vibali vya ujenzi? Kiwanja hakijapimwa lakini kipo maeneo ya makazi ya watu na wanaishi na kitanikosti kiasi gani kupata kibali na inawezekana kujenga hiyo floor ya juu kwa kutumia mshahara
2-03D3ADAA-1134736-480.jpg
 
Mkuu nafuta kwanza Land surveyor, akapime kiwanja chako then ile michoro & Data aipeleke kwa Townplanners wa Halmashauri husika kuidhinisha ule upimaji then utaanza kufanya taratibu wa kupata hati milliki ya kiwanja kutoka serikali za mitaa...

Ukimaliza hivyo , Tafuta Architect na umpeleke site kwa ajili ya kudesign nyumba unayotaka....

Architect akimaliza architectural drawings ,kwa kuwa ni ghorofa nakushauri umtafute structural Engineer kwa ajili ya structural drawings.....

Hiyo michoro yote hakikisha inakuwa stamped na uwe na kopi 2 with one original copy kwa ajili yako......

Architect na Engineer wakisha stamp michoro, unarudi Halmashari kwa ajili ya Building permit....

Mkuu hapo sasa ukishapata building permit...unipm ili nikuandalie BOQ kwa ajili ya kumanage cost za mradi wako......

Naamini umeelewa mkuu! Karibu!

Build with us!
Mtoa mada nilivomuelewa hapo ni sehemu ya makazi, that means pana mchoro wa mipango miji.

Kama hivo ndivyo aanze na surveyor then survey plan ikiwa tayari, nenda kwa afisa ardhi kwa ajili ya Hati,
ukitoka hapo muone architect kwa ajili designing na kukuandalia mchoro, then sasa umpelekee hiyo michoro Qs kwaajili kukutengenezea BOQ.
Kutoka hapo kaombe kibali cha ujenzi halmashari husika.
Kila la kheri
 
Unatamani kulala juu ya ghorofa? Nchi kama Singapore watu wengi wanatamani japo siku moja tu walale nyumba ya chini, ground floor,Europe wengi wanatamani wangekua na uwezo wa kupata kiwanja ili wajenge nyumba ya chini! Anyway good lucky ila naamini ukisha lala ghorofani utaijua thamani ya kua na Nyumba ya chini,naongea kwa experience niliyoipitia.
Usichukulie experience ya nchi zawenzetu na bongo kuleviwanja ni shida mjini ukienda Huko kwenye viwanja mbn watu wamejenga ma mansion yenye ghorofaa so uzi wako hausiani kabisa na vibe ya huyojamaa kutaka kukaa ghorofanii
 
Back
Top Bottom