Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,717
- 3,680
Hata ukiwa na million 6 niite nitakujengea bossMkuu foundation pekee Fundi anataka milion 8.
Na gharama za vifaa uwe na mili 18 kufikia kwenye hiyo foundation,ukimaliza hapo ndio unaanza kujenga tofari ya kupata vyumba....kwa hiyo kabla hajaanza jitasmini kwa mshahara wako
