meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Chadema, of course.kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?
mkuu kwa hiyo sifa ziwaendee WB au walioomba mkopo WB(ccm)Huo ni mkopo wa WB na ni mpango wa siku nyingi sana, kabla ya uchaguzi.
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?
Kwa nini kila kitu mnakihusisha na siasa.Siasa zitatupeleka pabaya kwani kila kitu kinachofanyika tunaweka siasa ndani jambo ambalo ni tatizo kubwa kwa maendeleo ya sehemu yoyote.
Huo ni mkopo wa WB na ni mpango wa siku nyingi sana, kabla ya uchaguzi.
zomba naona nimekufikisha!unadhani bilaHayo ndio mambo ya Jakaya Mrisho Kikwete.
Action speaks louder than words.
nakumbuka barabara ya lami kutoka makuyuni karatu, wakati wa kampeni mkapa kasema ni matunda ya kazi ya ccm.
Badala ya kujenga barabara ya kuunganisha Tabora na Iringa au Tabora na Mbeya , serikali ya CCM inajikomba kuwafurahisha CHADEMA huko Arusha, watu ambao wana uhakika wa kuopata kura zao.kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?