RAU
Member
- Jul 6, 2011
- 61
- 11
Kuna tatizo kubwa ambalo linaendelea na kufumbiwa macho. Wachina wanakuja na sera rasmi ya kutafuta kazi na masoko na bidhaa zao. Watanzania wanatafuta kazi hawapati, kodi za watanzania zinasomesha wahandisi ambao nchi yao yeyewe inawanyima ajira. Wachina wanakuja na fandi za kujenga miradi yeyote ambayo wanapata ndani ya nchi hii ili waweze kuleta nondo, cementi na vifaa vyote vya kukamilisha nyumba. Tatizo hili ni bomu linasubiri kulipuka. Wahandisi mnalijua hili? Tanzania inajua kuwa inauwa viwanda vyake vya cementi na nondo?