Ujenzi majengo yote mapya wachina inakuwaje

RAU

Member
Jul 6, 2011
61
11
Kuna tatizo kubwa ambalo linaendelea na kufumbiwa macho. Wachina wanakuja na sera rasmi ya kutafuta kazi na masoko na bidhaa zao. Watanzania wanatafuta kazi hawapati, kodi za watanzania zinasomesha wahandisi ambao nchi yao yeyewe inawanyima ajira. Wachina wanakuja na fandi za kujenga miradi yeyote ambayo wanapata ndani ya nchi hii ili waweze kuleta nondo, cementi na vifaa vyote vya kukamilisha nyumba. Tatizo hili ni bomu linasubiri kulipuka. Wahandisi mnalijua hili? Tanzania inajua kuwa inauwa viwanda vyake vya cementi na nondo?
 
biashara usindani na itasaidia bei kushuka,
pili wanashinda tenda sio kuwa wanaåpewa tu kujenga
,tatu duniani wanaaminika kwa ujenzi
 
Wachina ilikuwa enzi za Mao ndugu hawa wa sasa chakachua kabsaa kuna road wamejenga kama sikosei ni Singida na ingine Arusha kama sikosei hazijamaliza mwaka choka mbaya uku wakijifanya ndo lowest bidder bila kujali quality
 
Yaani hili linanikera sana sana,kwa nini sisi wenyewe watz tusipendane na kukuza uwezo we2 mi cjui tutashindanaje na haya mambo ya afrika mashariki,kwa kweli foreigners wamezidi jamani,
 
biashara usindani na itasaidia bei kushuka,
pili wanashinda tenda sio kuwa wanaåpewa tu kujenga
,tatu duniani wanaaminika kwa ujenzi

Nadhani hujui unachoandika hapa au hujaielewa mada! Wakati mwingine ni vizuri kusoma post za wenzako uelewe na sio kuchangia hata kama hujaelewa!
 
mchina ndio baba wa tanzania kwa sasa,anatuuzia kuanzia dawa ya nguvu za kiume,wanawake anawakuza makalio vijana anawauzia pikipiki yaani mpango wote ni kutupunguza tu tukijashtuka nusu ya nchi watakua wao wamechukua.
 
Kichwa cha mwendawazimu kinahitaji fundi......? Zambia kila mara wanatuonyesha mfano lkn tunajifanya hatuoni
 
Wachina acheni wafanye biashara kuanzia ya umachinga mpaka ujenzi wa maghorofa ili wale wajenzi wa kibongo wenye bei kubwa washike adabu, na wale wanaotuuzia nvitu toka china kwa bei ya ulaya wakome.
 
Wachina ilikuwa enzi za Mao ndugu hawa wa sasa chakachua kabsaa kuna road wamejenga kama sikosei ni Singida na ingine Arusha kama sikosei hazijamaliza mwaka choka mbaya uku wakijifanya ndo lowest bidder bila kujali quality

Hiyo barabara tatizo halipo kwa wachina. Ni baadhi ya watendaji wasio waaminifu kwa serikali na mambo ya 10%
 
Wachina ilikuwa enzi za Mao ndugu hawa wa sasa chakachua kabsaa kuna road wamejenga kama sikosei ni Singida na ingine Arusha kama sikosei hazijamaliza mwaka choka mbaya uku wakijifanya ndo lowest bidder bila kujali quality

ni kweli mkuu quality yao huwa ni ya chini sana.
 
Wachina siku hizi wasanii. Nilipita udom ustawi wa jamii, kuna majengo mapya, hajahamiwa tayari yamechoka na wanakarabati. Wanashinda zabuni kutokana na rang zao.
 
Kuna tatizo kubwa ambalo linaendelea na kufumbiwa macho. Wachina wanakuja na sera rasmi ya kutafuta kazi na masoko na bidhaa zao. Watanzania wanatafuta kazi hawapati, kodi za watanzania zinasomesha wahandisi ambao nchi yao yeyewe inawanyima ajira. Wachina wanakuja na fandi za kujenga miradi yeyote ambayo wanapata ndani ya nchi hii ili waweze kuleta nondo, cementi na vifaa vyote vya kukamilisha nyumba. Tatizo hili ni bomu linasubiri kulipuka. Wahandisi mnalijua hili? Tanzania inajua kuwa inauwa viwanda vyake vya cementi na nondo?
Mkubwa, moja ya sababu ya hilo ni kwamba serikali ya Uchina inahisani miradi mingi sana ya ujenzi nchini, na moja ya masharti yao ni kwamba makampuni ya serikali yao, not least the China Railway Engineering lazima wapewe kujenga. Ili sehemu kubwa ya msaada wa China inarudi huko huko kwao.

Lakini kingine, umeshawahi ku deal na ma engineer wa kiswahili? Unaweza kupata hypertension.
 
Wachina acheni wafanye biashara kuanzia ya umachinga mpaka ujenzi wa maghorofa ili wale wajenzi wa kibongo wenye bei kubwa washike adabu, na wale wanaotuuzia nvitu toka china kwa bei ya ulaya wakome.

alafu pia wachina wanapiga kazi hadi usiku.. wabongo watataka weekend out!.. pesa nyingi....
 
Tatizo sio wachina na wachina kujenga sio nongwa . Tatizo wajenzi aw zamani kutokana na uchache wa wataalam walitupiga sana.
 
Ndo freedom of movement of labour and goods...ndo utandawazi na kuliwa na dudu hili ambalo tuliliingia kichwa kichwa bila kujua,sahiv tunalialia tu kwanini na sie tusiende kufanya kazi kwao?tumebaki na wazee wa chukua chako mapema wanagawana 10% na serikali yao ndo hivyo nguo zinaivuka hata sera yao kwenye hili haijulikani ni ipi...ni bora CDM ikaingia ili wakatekeleza sera yao inayokidhi haja
 
Heshima kwako RAU.

Mkuu ni kweli hili tatizo limekuwa kubwa kuliko watu wanavyofikiri.Wiki mbili zilizopita nilikuwa Handeni nikakumbana na wachina wanajenga barabara Handeni - Korogwe.Mafundi wa kichina wametapakaa kuanzia Korogwe hadi Handeni mjini utadhani Tanzania haina waandisi wala haijawahi,haina mpango wa kujenga University.

Arusha majengo yote makubwa NSSF ,PPF na Palace Hotel opposite na ofisi ya mkuu wa mkoa yanajengwa na wachina.Ukienda miji mikubwa miradi mikubwa yote imechukuliwa na wachina.Serekali imekaa haioni ubaya wa mambo yanayoendelea wako busy na uchaguzi wa Igunga,wako busy na uanzishwaji wa mikoa na wilaya mpya,wako busy na uteuzi wa wateule wachache,wako busy na ununuzi wa magari ya kifahari,wako busy na harakati za kutugawa watanzania kwa kutupandia mbegu chafu na mbaya ya udini na ukabila ili waendelee kutawala ilihali wameshashindwa[pitia gazeti la Habari leo walianza na mzozo wa kanisa katoliki sasa wameshika bango suala la hijjab].

Kifupi waTanzania wanapita

Kuna tatizo kubwa ambalo linaendelea na kufumbiwa macho. Wachina wanakuja na sera rasmi ya kutafuta kazi na masoko na bidhaa zao. Watanzania wanatafuta kazi hawapati, kodi za watanzania zinasomesha wahandisi ambao nchi yao yeyewe inawanyima ajira. Wachina wanakuja na fandi za kujenga miradi yeyote ambayo wanapata ndani ya nchi hii ili waweze kuleta nondo, cementi na vifaa vyote vya kukamilisha nyumba. Tatizo hili ni bomu linasubiri kulipuka. Wahandisi mnalijua hili? Tanzania inajua kuwa inauwa viwanda vyake vya cementi na nondo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom