Ujasusi Sebuleni Kwetu

Ujasusi Sebuleni Kwetu

Mimi atakaye ni ambia Al zawahir yule namba mbili wa Usama yuko wapi? Na anafanya nini? Akija na story kuwa hivi vikundi vya kigaidi chanzo chake ni nini, kwa faida ya nani? Basi huyo ndiye ni takaye muamini katika habari za hivi vikundi vya itikadi kali za kiislam . Tusisahau habari ya kuuwawa kwa Usama ndiyo iliyompa kiulaini Obama kipindi cha miaka 4 ya pili katika kuiongoza USA kama rais.
Unamuongelea al-zawahiri yupi? Muhammad al-Zawahiri au Ayman al-Zawahiri??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ile thread ya The Richest Man ndo imekufa kibudu hv basi kweli Jirani ana ushawishi mkubwa sana kwenye hizi nchi za maziwa makuu...Yaani hata kuandikwa tu anatoa amri kuwa asiandikwe na inatekelezwa....Duu ama kweli....Pole The Bold...wasije tu wakawa wamekubinya naniii mkuu wangu maana hawachelewi.
Ndio maana jiwe hapindui kwake kila kitu anaomba msaada kwa Tolu.
Juzijuzi nasikia hafi M7 no mnyarwanda pia usione ajabu haya yanayosemwa jiwe nalo ni wa ukouko pia ndio maana anatuahaibia uchumi wetu tu halafu anasepa kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima yako mkuu,

Hebu tuandikie hiyo makala kuhusu Al-Qaida kuwa "kazi" ya CIA tufaidi hiyo ilmu chief...

Kama unasema hili kwa sababu tu umesikia watu wanasema hivyo but hjui kwa nini basi nitakusaidia kukupa sababu kwanini watu wanadhani al-qaida ni kazi ya CIA kisha nitakuchambulua hiyo sababu na kukupa udhaifu wa hiyo sababu/hoja.


Nakukaribisha tuufanye huo mjadala hapa sasa hivi.

Hakuna haja ya kutumia lugha kali wala ya maudhi... tujadili tu kama watu tunaopeana ilmu. Karibu chief

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni akili za kukubali jambo bila kufikiri!

Watu hao huzidi kujitapaza ujinga wa kudumu kwa kuamini hadithi za kwenye vijiwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom