Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,230
Asante mkuu Habibu B. Anga kwa makala pia pole kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wako kwenye makala ile
Ujasusi sebuleni

Naam naamini baadhi ya vitu ambavyo anavisema but kuna vitu vingine anavyovisema tunapaswa kuvichunguza na kufikiri mara mbili.Mkuu heshima kwako! Hatubishani mimi pia ni mpenzi sana wa story zako kwa kweli ni nzuri sana. Kwa burudani unatisha. Kuna huyu jamaa EDWARD SNOWDEN najua utakuwa unamwelewa sana, swali je, unamwamini?
Nimewasha simu sasa hivi... nitacheki meseji. KaribuMkuu nimekutext naomba niadd kwenye group
Hapana chief... hauharibu as long as tunajadili kwa kunoa bongo. Weka hoja mezani tuSi vema kuaribu uzi wa mwingine.
Ni add kwenye tag listWakuu, sioni comment zangu wala uzi huu mpya niliouweka nikitazama pale kwenye profile yangu.
Ni utaratibu mpya au uzee huu teknolojia imeanza kunipiga chenga nimebofya mahala ambako siko??
Sent using Jamii Forums mobile app
Siruhusiwi kuweka hapa utaratibu wa kuwa member wa group... nitext 0718 096 811Je. Hii story utaimaliza au utaishia hewani kama ile nyingine? Utaratibu wa kuwa member wa group lako ni upi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha... funy but not funy... so sadKama ile thread ya The Richest Man ndo imekufa kibudu hv basi kweli Jirani ana ushawishi mkubwa sana kwenye hizi nchi za maziwa makuu...Yaani hata kuandikwa tu anatoa amri kuwa asiandikwe na inatekelezwa....Duu ama kweli....Pole The Bold...wasije tu wakawa wamekubinya naniii mkuu wangu maana hawachelewi.
Hahaha... hapana chief. The Other Half imeshaisha kwenye group... kesho nitaweka New Episode kwenye uzi husikaKuna ile ya THE OTHER HALF nayo naona walishakupa onyo mkuu, lakini ni hisia zangu tu.
Aisee... nakuadd mkuuMi mwenyewe nashangaa moto wa maji sipo wakati ni mdau mzuri sana wa makala zako