Hakuna shaka yoyote kwamba, Al-Qaeda ilikuwa inaongozwa na Osama bin Laden! Ni nani huyu Osama bin Laden? Ushahidi wa moja kwa moja unaopatikana kwenye vyanzo vinavyoaminika pamoja na uongozi wa Marekani kukiri (kama alivyofanya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekeni Bibi Hilary Clinton) kwamba al-Qaeda iliundwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na kupewa kiasi cha dola za Marekani bilioni tatu ($ 3bn/-) ili kundi hilo liendeshe vita dhidi ya Urusi (USSR) ya zamani iliyokuwa ikiikalia Afghanistan (rejea: http://www.theinsider.org, news.bbc.co.uk, na http://www.forbes.com).Hapana chief... hauharibu as long as tunajadili kwa kunoa bongo. Weka hoja mezani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shaka yoyote kwamba, Al-Qaeda ilikuwa inaongozwa na Osama bin Laden! Ni nani huyu Osama bin Laden? Ushahidi wa moja kwa moja unaopatikana kwenye vyanzo vinavyoaminika pamoja na uongozi wa Marekani kukiri (kama alivyofanya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekeni Bibi Hilary Clinton) kwamba al-Qaeda iliundwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na kupewa kiasi cha dola za Marekani bilioni tatu ($ 3bn/-) ili kundi hilo liendeshe vita dhidi ya Urusi (USSR) ya zamani iliyokuwa ikiikalia Afghanistan (rejea: http://www.theinsider.org, news.bbc.co.uk, na http://www.forbes.com).
Kiongozi wa Al-Qaeda alipata mafunzo yake ya kigaidi chini ya usiamizi wa CIA na Marekani ilikuwa inajua malengo ya kuanzishwa kwakwe. Marekani haikuwahi hata siku moja kumtafuta Osama bin Laden, hususan kwa tukio la mashambulizi ya Septemba 11, 2001. Kama walikuwa wanamtafuta, kwanini waliiondoa familia yake nchini Marekani siku mbili tu baada ya kudai kuwa ndiye aliyeishambulia nchi hiyo?
Serikali ya George W. Bush ilifanya mpango ili watu wa ukoo wa Osama bin Laden waondolewe Marekani ili wasibughudhiwe. Machi 28, 2005, gazeti ‘Daily Time’s la Pakistan, likiripoti kutoka Washington DC., Marekani, lilidai kuwa FBI (Shirika la Upelelezi la Marekani) iliwasaidia Wasaudia kuondoka baada ya mashambulizi ya Septemba 11.”
FBI walishiriki kikamilifu kuandaa ndege kwa ajili ya makumi ya raia wa Saudia—wakiwamo ndugu wa Osama bin Laden—baada ya mashambulizi ya kigaidi ya 9/11.”
Taarifa hiyo ilichapishwa pia katika gazeti ‘New York Times’ ,‘The Times’ lilisema nyaraka ilizozipata kutoka serikalini zinaonesha kuwa mawakala wa FBI walizilinda na kuzisindikiza familia mbili za Kisaudia kuondoka Marekani, na Wasaudia wengine waliruhusiwa kuondoka bila hata kupekuliwa au kuhojiwa.
Ndege zilizowabeba raia hao wa Saudi Arabia ziliandaliwa baada ya tukio la Septemba 11 wakati kukiwa na madai kuwa kuna uhusiano na ushirika kati ya Rais George W. Bush na familia ya kifalme ya Saudi Arabia na ile ya bin Laden. Gazeti ‘Edinburgh Evening News’ la Septemba 3, 2003, liliripoti hivi: “Serikali ya Marekani imeruhusu watu wa familia ya Osama bin Laden kupanda ndege na kuondoka Marekani mara baada ya shambulio la Septemba 11, pamoja na kwamba anga lote la Marekani lilikuwa limezuiwa kuruka ndege … hiyo ni pamoja na kuruhusiwa kwa ndugu wa bosi wa Al Qaeda.”
Tukijifunza mambo mengine kuhusu familia ya Bush na familia ya bin Laden huenda tukapata mwanga zaidi katika kujua mambo haya. Je, ni kweli kwamba Bush alimlinda sana Osama bin Laden huku akidai kuwa anamtafuta? Ni kweli kwamba Bush na familia ya Osama walikuwa wabia kibiashara?
Familia ya Bush ni mshirika mkubwa wa kibiashara wa familia ya bin Laden, au angalau ndivyo ilivyokuwa. Kaka yake Osama, Salem bin Laden, ndiye aliyekuwa karibu zaidi na Bush kibiashara.
Salem ndiye alikuwa msimamizi wa makampuni makubwa zaidi nchini Saudi Arabia yaliyojulikana kama ‘Saudi Binladin Group’ (SBG). Hata baada ya kifo chake kilichotokea Jumapili ya Mei 29, 1988, Salem na George H. Bush walikuwa karibu sana kibiashara. Kampuni yake ilikuwa ikifanya kazi za ujenzi wa barabara, viwanda na nyumba katika maeneo mbalimbali duniani. EDWARD SNOWDEN alidai kwamba "Osama bin Laden" ni mshirika (operative) mtiifu na makini wa CIA kwa muda mrefu sasa. Anaendelea kudadavua kwamba Marekani ilipanga shambuluo la bandia la kumuua Osama kushirikiana na Pakistan Secret service na hili tukio limemkumbatia Osama na kumfanya awe salama zaidi, kwasababu kila mtu ameamini Osama ameuwawa, hivyo hakuna mtu atakayejishughulisha kumsaka.
Naomba usisahau kunishtua ukileta mwendelezoNifah Divine... glory to yhwh BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea shareef conscious wambeke The Boss Deejay nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully Van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi @Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly the wolf everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi YNWA adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther Ntuzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli Deadbody KING easy mahoza Msolo kkenzki deborah1 KIDUDU buffalo44 winlicious riziki Allys MUHUNZI Moses2015 nacktary Liuumi dochivele Renzo @barbers hmjamii mbere TATIANA famicho LUCKDUBE mwanadome Straton memphis ghazar Graph Theory Honey Faith Shunie Slave ddcmanesto zinginary pacesetter Nkanaga KOMUGISHA mikatabafeki johnsonmgaya lee empire wigo MJINI CHAI Asprin mtzmweusi Erasto kalinga Chrizo kichakaa man LULU bike FORTALEZA poleni shibumi ZE DONE umande Edger Sr sir joshua sammoo Roram Password Bavaria hambiliki mwanangu Asili100 Evarist Massawe nice1 Jumong S Rogie 1babake nasreen uberito baest dustless Kilemachocho Tumosa mtembea kwa miguu Debbs Joe scorpnose musacha shibumi seeker of knowledge Simuchi Veni Vidi Vici TUJITEGEMEE abuu garcia Hon Nkundwe Festo Festo marion09 mike2k The dream bro kay vandelintz kirikou1 POINT LOAD lusaka city Dirham Rodcones bato MANCNOO multiphill90 GEORGE Dalali mwanamalundi90 MwaFreeca Roram Ta-kibombo troublemaker mambo KOMUGISHA calabocatz Papaa Azonto Msemachochote Mdomo bakuli tizo1 option dikembe iL Buono fakalava ABDUL KAREEM @Gobe Justine Marack Goodluck Mchika MR UNINFORMED darcity nkasoukumu nG'aMBu thatonegAl kabanga MPARE KIBOGOYO Edward Sambai Rassa mnonje srinavas last king of uscoch proto cute Kennedy krava Rais2020 kbosho Mzee wa BsN sam2000 fuma 999 Bableee dawa yenu The Certified DON SINYORI mij addenbwii ONTARIO Kobe The Vein Mondray jaxonjaxon successor mzee wa liver sawariya Sitaki ukuda Domhome Mpatanishi MKANDAHARI mtugani wa wapi huyo wealthier cluecell Toyota escudo mgumu2 troublemaker Linamo shedede kamtu33 SteveMollel ngushi Donald stewart Mshuza2 Glycel mnonje Ochuanilove SingleFather Santi DEOD 360 ngushi anatory antony ukhuty chris van chicha auxillius Goma Son Hubeb pes KING DUBU VILLAIN mwayena donbeny Aleppo JipuKubwa shoo61 BOMBAY John mungo Nyakageni bato Dogo 1 sufra chamlungu painscott wegman Bravo Engliash MOSELBAY wa stendi FaizaFoxy bigmind cadabraa Internal Kelvin mwalukas mnonje Kelvin X Somoche Wgr30 Miiku Poise Jabman kalamuyamwalimu BOMBAY the say juxhb witnessj Gide MK Mmanyema mgogoone Mnongane Mandingo koncho77 afsa ngaboru Paradoxer Heavy Metal KIMBURU 06 Raaj kichekoh ngumba njeche kikale DullahTza Goodluck Mshana julius Darcy Denis Kasekenya mashonga kitalembwa Khaleed Shaban middle east SirChief jiwe jeusi Mkambarani mansakankanmusa gambada ynwa ney kush mossad 03 white wizard xtaper Mzigua90 Ollachuga Oc Gidbang Mateja M.G Yango jipu abaa4all DIBAJI Agenda1 Grahnman The MaskmaN Slim5 Xubzero agprogrammer JoJiPoJi Architectus blance86 Mamtolo monde arabe Ngao Ya Imani stardust JK naiman64 Dharra seledunga ABB SHAMMA Richard Waziri wa Kaskazini Mwinjuma1 Kanungila Karim baracuda Mwamba028 besaro Pyepyepye Bilionea Asigwa ibn Kiti Chema Tugas Royal Warrior mederii mmangO manzi james LIKUD adrenaline Royal Son Mhadzabe salaniatz Natasha Ismail jiwe jeusi chibalangunamchezo
John Mloy conjuget Van Pauser great G Mtoto wa nzi Zeus1 hindustan Sci-Fi MAN OF PEACE kashata emnly danny baraka bb MTOTELA kbosho TEMLO DA VINCA

NEXT EPSODE:itakua samahani kwa usumbufu siwezi endelea na hii makala sababu familia ya Ghailani kule zanzibar wameona inawadisturb maisha yaokwahyo basi sitaendelea nayo nasababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeambiwa nisiendelee.😀😀😀 hii makala nayo haiishi nanilijua tu ukikatisha ile ya kagame basi itafuata hii ya 1998 balozi kulipuliwa halafu nayo itakatishwa next epsode.
Dah ina maana ndo basi tenaNEXT EPSODE:itakua samahani kwa usumbufu siwezi endelea na hii makala sababu familia ya Ghailani kule zanzibar wameona inawadisturb maisha yao kwahyo basi sitaendelea nayo na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeambiwa nisiendelee.hii makala nayo haiishi na nilijua tu ukikatisha ile ya kagame basi itafuata hii ya 1998 balozi kulipuliwa halafu nayo itakatishwa next epsode.