tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
Mimi atakaye ni ambia Al zawahir yule namba mbili wa Usama yuko wapi? Na anafanya nini? Akija na story kuwa hivi vikundi vya kigaidi chanzo chake ni nini, kwa faida ya nani? Basi huyo ndiye ni takaye muamini katika habari za hivi vikundi vya itikadi kali za kiislam.
Tusisahau habari ya kuuwawa kwa Usama ndiyo iliyompa kiulaini Obama kipindi cha miaka 4 ya pili katika kuiongoza USA kama rais.
Tusisahau habari ya kuuwawa kwa Usama ndiyo iliyompa kiulaini Obama kipindi cha miaka 4 ya pili katika kuiongoza USA kama rais.